huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Grand Canyon

    Huduma kwa wateja

  2. Sam Gidori

    Huduma ya Intanet yarejea Ethiopia baada ya kuzuiwa mwishoni mwa juma

    Shirika linalofuatilia upatikanaji wa huduma ya intanet la NetBlocks limesema huduma ya intaneti kwa majukwaa ya Facebook, WhatsApp na Instagram imerudi nchini Ethiopia baada ya kukosekana mwishoni mwa juma. Taasisi ya Huduma za Habari ya Ethiopia na Kampuni inayomilikiwa na Serikali ya...
  3. wilson nisha

    Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

    Jina langu naitwa #####, ni mkazi Wa Mbeya, kwasasa naishi mkoani Njombe taaluma yangu ni mwalimu. ELIMU: Nimesomea bachelor of arts with education Chuo kikuu cha Dodoma, na kuhitimu mwaka 2017. Literature in English na history kama masomo ya kufundishia. UZOEFU; nimefundisha kama mwalimu Wa...
  4. Shadow7

    Mfahamu Nkosana Makate, mvumbuzi wa huduma ya Please Call Me

    Nkosana Makate ni raia wa Afrika Kusini ambaye alivumbua huduma maarufu ya ‘Please Call Me’ ama ‘Tafadhali Nipigie ‘, uvumbuzi ambao mpaka sasa kesi bado ipo mahakamani kufuatia kutokukubaliana fidia na mtandao wa simu ya Vodacom. Makate anadai jumla ya bilioni 75 za Kitanzania ikiwa ni kama...
  5. A

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) kutotoa huduma saa nzima

    Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?
  6. ladyfurahia

    Tunatoa huduma ya Uchapishaji

    Habari Wadau Onana nasi kwa huduma zifuatazo: Kwa habari ya mahitaji yako ya KUCHAPISHIWA (PRINTING): Calendar, Diaries, Tshirts, Mugs, Stickers, Posters, Books, Forms, Business cards, Wedding cards, Banners, Media marketing, vilevile tunadeal na Wedding planner kwenye sherehe mbalimbali...
  7. sonofobia

    Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke. Hakuna anaejali. Unasikilizwa kwa mbinde. Meneja hapatikani. Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje! Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%. Hali ni mbaya sana...
  8. B

    Tigo, nini umuhimu wa hii huduma ya "Longa Nae"?

    JF, Naomba kujadili Hawa jamaa wa TiGO Nini hii Longanae, utakuta nusu ya airtime ambayo unalipia mfano kwa Sh 3,000 kifurushi Cha Combo kwa wiki unapata muda wa maongezi dakika 200. Kati ya hizo dakika 100 wanazi-fix automatic kwa mtu mmoja tu unayemchangua kuongea nae muda mrefu na dk 100...
  9. Ndokeji

    NHIF inachangia kuua Huduma za Afya kwa kutolipa madeni ya Hospitali

    Shirika letu la Bima (NHIF) limechangia kuua Huduma za Afya katika kulipa Madai ya Hospitali zetu kwa kuchelewesha kulipa kwa wakati, ambapo hospitali zote nchini zimekuwa zikilamika kuchelewesha malipo hayo ili ziweze kununua dawa,vifaa tiba na kulipa uendeshaji wa hospitali NHIF imekuwa na...
  10. kmbwembwe

    Wanahabari na vyombo vyao wengi ni waganga njaa kuliko kutoa huduma ya habari

    Wanahabari wengi na vyombo vyao zaidi wapo kufanya biashara kuliko kutoa huduma sahihi ya habari. Wakiwa chini ya ushawishi mkubwa wa falsafa ya kimagharibi wanaona habari za uzushi uongo kuhusu sera zinazochukiwa na wazungu ndio zinauza kuliko kuandika au kusema kweli yenye manufaa kwa...
  11. Grena

    Vodacom mbona hamuweki option ya kuongea na customer care?

    Habari zenu wakuu, Karibu wiki Sasa laini yangu ya Vodacom imekuwa na shida. Kila nikijaribu kupiga Ile namba ya huduma kwa wateja 100 ili wanipe maelekezo hamna Option ya kuzungumza na mhudumu zaidi ya zile bonyeza moja, Bonyeza this, Bonyeza that. Inaamana Vodacom hawana option ya kuzungumza...
  12. Analogia Malenga

    Waziri wa Maji aitaka EWURA kuhakikisha mamlaka za maji zinaboresha huduma

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, jana Aprili 28,2021 amefanya kikao kazi na watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Katika Kikao hicho Waziri ameitaka EWURA wahakikishe mamlaka zote za maji nchini, zinatoa ankara sahihi kwa wateja wa maji na zinafuata sheria...
  13. MK254

    Wakazi wa mkoa wa Mwanza Tanzana kunufaika na huduma ya reli ya Nairobi hadi Kisumu, yajayo raha tu

    Hayawi hayawi huwa... Kenya Railways Corporation (KRC) has begun refurbishing 31 trains ahead of the launch of Nairobi - Kisumu train service. In a statement shared on Wednesday, April 28, the corporation noted that the refurbishment is being done by the state-owned Numerical Machining Complex...
  14. robinson crusoe

    Vyeti feki: Baada ya form 4 sasa angalieni na digrii feki maofisini. Wako wengi wanatuumiza kwa huduma mbovu

    Nasikia kuna wabunge wanawatetea wenye vyeti feki, binafsi naomba serikali iongeze ukaguzi wa vyeti feki vya digrii serikalini. Utendaji mbovu unaojadiliwa baada ya Assad kuzungumzia uzoefu wake akiwa CAG, yawezekana ni matokeo ya watu hawa. Tunao watu wengi na hasa wale waliijaribu elimu ya...
  15. Komeo Lachuma

    Simba msimsajili Mohammed Hussein. Mwacheni aende anakopelekwa na Mzozo na Wachambuzi. Mshukuruni kwa huduma yake, Mwacheni!

    SIMBA NI TEAM KUBWA. MOHAMMED HUSSEIN ni mchezaji kama wachezaji wengine waliopita Simba wakaenda zao. Huyu hawezi Isumbua Simba hata kidogo. Mwacheni Meneja wake asiye na Shule amchukue ampeleke anakotaka. Mkimsajiri Mo Hussein kwa kushirikiana na huyu Meneja Mhuni. Alikuwa na njia sahihi za...
  16. TheDreamer Thebeliever

    Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

    Habari wakurugenzi..! Nilikiwa nashauri haya makampuni yaanze kukubali gharama za simu tuwe tunazilipa kama kodi ya nyumba tuwe tunalipa kila baada ya miezi au mwaka na tunaandikishiana na kuwe na mikataba kati ya mtumiaji wa huduma na kampuni husika . Hilo swala la kulipa vifurushi naona...
  17. G

    Ushauri: Mgogoro wa familia kuhusu huduma na malezi ya watoto

    Wana great thinkers Kuna ushauri tafadhali unahitajika. Kwa ufupi kuna mzazi (mwalimu wa sekondari) mkristo alizaa na wanawake wa 2 tofauti Wa kwanza mke wa ndoa watoto wa3, Mwanamke Wa pili aliishi nae watoto wa 2. Mke wa Kwanza aliendelea kuhudumia watoto wake bila msaada wowote kutoka kwa...
  18. kimsboy

    Tsh 190 unapata mb 100 masaa 24 halotel watabaki juu mawinguni

    HALOTEL WATABAKI JUU MAWINGUNI TSH 190=MB 100 MASAA 24 Hapa unakuta ndo usiku bundle limekata na kuna issue ya muhimu unataka kuwasiliana na ndugu au miamala fulani ya kifedha au kuperuzi watsaap na google kusoma soma bando limekata na simu haina hela labda 200 tu ipo na mawakala na maduka...
  19. THE SHADOW ONE

    Karibu tukuhudumie kwa huduma ya nyumba yako (Wiring, kupaka rangi, kuweka CCTV Camera)

    Kwa huduma zinazohusiana na nyumba kuweka wiring bei nafuu, kupaka rangi za kisasa, kuweka CCTV Camera, Umeme wa Fensi, Alarm systems. Karibu sana tupo kanda ya ziwa mikoani tunafika. Hutajutia huduma zetu popote tupo. Biashara ni uaminifu huna haja ya kuni-pm.
  20. Baba ilham

    Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Habari, Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala. Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje? Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo...
Back
Top Bottom