house

A house is a building that functions as a home. They can range from simple dwellings such as rudimentary huts of nomadic tribes and the improvised shacks in shantytowns to complex, fixed structures of wood, masonry, concrete or other materials containing plumbing, ventilation, and electrical systems. Houses use a range of different roofing systems to keep precipitation such as rain from getting into the dwelling space. Houses may have doors or locks to secure the dwelling space and protect its inhabitants and contents from burglars or other trespassers. Most conventional modern houses in Western cultures will contain one or more bedrooms and bathrooms, a kitchen or cooking area, and a living room. A house may have a separate dining room, or the eating area may be integrated into another room. Some large houses in North America have a recreation room. In traditional agriculture-oriented societies, domestic animals such as chickens or larger livestock (like cattle) may share part of the house with humans.
The social unit that lives in a house is known as a household. Most commonly, a household is a family unit of some kind, although households may also be other social groups, such as roommates or, in a rooming house, unconnected individuals. Some houses only have a dwelling space for one family or similar-sized group; larger houses called townhouses or row houses may contain numerous family dwellings in the same structure. A house may be accompanied by outbuildings, such as a garage for vehicles or a shed for gardening equipment and tools. A house may have a backyard or front yard, which serve as additional areas where inhabitants can relax or eat.

View More On Wikipedia.org
  1. Hell is real

    JamiiForums Tanzania Kwanini waajiri wengi hawapendi house girl wenye watoto?

    Habari wakuu!! Siku hizi kuna uhaba mkubwa wa house girl, waajiri wengi hawapendi wadada wenye watoto, tatizo ni nini??? Wakati hiyo ni kazi kama kazi zingine. Kwa upande wangu mm naona huu ni ubaguzi na unyanyasaji Kwenye swala nzima la ajira!!!
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imekaaje hii. Najikuta nachukia tu kuona house girl anapoongea na mabwana zake kwenye simu

    Sijui Mimi ndo nina shida au vipi! Mtoto wa watu (house girl) anahaki ya kuwasiliana na watu wake! Lakini pale anapopigiwa simu na mabwana zake au kuchat na kitochi pachapacha mbele yangu huwa nachukia sana, huwa natamani nifurushe kabisa! Siyo bek3 tu, hata wadogo zake na mke wangu wa kike...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika biashara ya nyumba ya wageni (Guest House)

    Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto. Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe na uhakika wa kupata maji. Maji yakikosekana fanya jitihada ya kujaza matank ya akiba. Kuna...
  4. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania House girl kanifichia siri, sijui nimpe zawadi gani?

    Kwema wakubwa? Wife alisafiri kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi. Sasa me toka juzi nilikuwa silali home, nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani. Nilikuwa narudi home asubuhi, so kumbe nahisi wife ni kama alikuwa kaweka mtego. Leo karudi asubuhi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

    Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi. Maziko ya Media Tanzania yamefana.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Amfumania mume wake na house girl, alimlipisha pesa ili yaishe

    Hiki kisa kilitokea muda kidogo. Nakumbuka nilitoka mkoani kuja kusoma tuition dar, nilifikia kwa baba mdogo. Siku moja najiandaa kurudi shule mkoani nikaenda kariakoo kununua vitu mbali mbali vya shule, kurudi home nikagonga get akaja baba mdogo kunifungulia . Bahati mbaya mimi sikufunga na...
  7. ViwanjaTanzania

    JamiiForums Tanzania House4Rent 2 Bedrooms House for rent at Block 41, Morocco, Dar es Salaam.

    Rental house with 2 bedrooms, 2 bathrooms, paved compound, ample parking, wall fence, specious compound, located in a cool neighborhood within well developed area with good security in Block 41 behind Best Bite Namanga. Interested to have a look? Please schedule a DAY and HOUR for a visit or...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meet 24-Year-Old Kenyan Working in Biden’s White House Office of Digital Strategy

    Joy Ngugi is perhaps the only Kenyan who works at the White House where some of the critical decisions affecting the US and the world are made. The 24-year old works in the Office of Digital Strategy and was recently listed among the future power players in US President Joe Biden’s...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

    Ninaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri. Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kuangalia mifugo, kuangalia nyumba nk Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa Rais Joe Biden amng'ata mlinzi wake

    Champ na Major ambao ni mbwa wa Rais Joe Biden, wamehamishwa kutoka White House na kupelekwa Delaware kwenye makazi binafsi ya Joe Biden. Hii ni baada ya mbwa mmoja (Major) kumng'ata afisa wa CIA ambaye anamlinda Rais Biden. The two German Shepherds belonging to President Joe Biden and first...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Walimu Tarime wanajisaidia Guest House wakati serikali inanunua madege

  12. E

    JamiiForums Tanzania Modern living house design

    Hello everyone, I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the project which I'm making this week as you can see on the photos below. These photos show the house design. This house has four bed rooms, it's a modern living house. I've not finished yet b'cause...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Marekani ameweka ujumbe wa Valentine kwenye bustani za White House

    Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
  14. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram). Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako. Kwa bei poa kabisa utapata design yako Baadhi ya kazi zetu Affordable price tupigie...
  15. chawa wa mama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania House girl au house boy ni mtumwa mamboleo, ni ukatili kuwa na mtumwa ndani

    Waarabu waliwakusanya kwa kuwakamata waafrika na kuwauza Amerika na Ulaya., Biashara ile imeisha, tunaona sasa wamebadili mtindo wa utumwa, mnachukua watoto wa masikini vijijini na kuwafanyia kazi za ndani kwa ujira mdogo. Ni ukatili tu, wengi wa hao watumwa wenu ambao mnawaita wadada wa kazi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani (house boy) ndugu zangu nisaidieni

    Natafuta kazi za ndani (House boy) ninaweza kutunza bustani na kufanya usafi naombeni msaada. Mawasiliano yangu ni 0674709210
  17. M

    JamiiForums Tanzania Guest house nzuri around Mlimani City

    Habari zenu. Nilikuwa naomba kujuzwa guest house nzuri ambazo zinatoa breakfast karibu na Mlimani City
  18. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Waandamizi White House wanazidi kuambukizwa Corona

    Kauli ya Trump baada ya kurejea White House Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kurejea ikulu ya Marekani, White House, hapo siku ya Jumatatu baada ya kulazwa katika hospitali ya kijeshi ya Walter Reeds nje kidogo ya Washington DC, akipokea matibabu kutokana na kupatikana na maambukizi ya...
  19. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walipeni wafanyakazi wenu wa ndani vizuri ona huyu alivyofanyiwa na house boy wake

    ZAMBIA- A Lusaka man has reportedly snatched his Chinese boss’ wife as payback for non-payment of salary in due time. The man who was angry over the delaying of his salary by the Chinese boss decided to pay his boss back by snatching his wife. The man shared a photo of himself and the wife of...
  20. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa movie ya White House Down

    ..Ni John cale..capitol police officer..baba wa mtoto mmoja wa kike.. ..Alimuahidi binti yake kuwa angepata kazi kwenye ikulu ya marekani..kama special agent..mtu anaeangalia maisha ya raisi kwa ukaribu.. ...Akaongozana na binti yake..akaenda kufanyiwa interview.. ..Na majibu...
Back
Top Bottom