Imekaaje hii. Najikuta nachukia tu kuona house girl anapoongea na mabwana zake kwenye simu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Sijui Mimi ndo nina shida au vipi!

Mtoto wa watu (house girl) anahaki ya kuwasiliana na watu wake!

Lakini pale anapopigiwa simu na mabwana zake au kuchat na kitochi pachapacha mbele yangu huwa nachukia sana, huwa natamani nifurushe kabisa!

Siyo bek3 tu, hata wadogo zake na mke wangu wa kike (shemeji) wakipokea simu za wanaume wao mbele yangu huwa namaindi kinyama ila huwa siwambii!

Nalipa mshahara, nalisha vizuri, navisha kama watoto wangu!

Lakini ile pacha pacha ya zimu za wanaume nikisikia huwa natamani nimfukuze kabisa aondoke kwangu!

Huwa naona kama natunza mizigo ya watu!

Je hili la kuumizwa na simu za bek3 au shemeji ni Mimi tu na huko kwenu?
 
Wafurushe kabisa mkuu.Kama vipi baki na mkeo tu, uoshe vyombo na mkeo. Wasikuchezee.

Tunafanana kidogo. Mimi nakerwa nikiona viumbe kama nzi,kuku, n.k., vikifanya mapenzi mbele yangu. Kuna siku nimewazabua kofi nzi na mpenziwe. Bahati nzuri/mbaya nikawakosa kikaishia kuuchapa ukuta. Hadi kiganja nikaekewa hogo(P.O.P). Sitaki mchezo kabisa!
 
Wafurushe kabisa mkuu.Kama vipi baki na mkeo tu, uoshe vyombo na mkeo. Wasikuchezee.

Tunafanana kidogo. Mimi nakerwa nikiona viumbe kama nzi,kuku, n.k., vikifanya mapenzi mbele yangu. Kuna siku nimewazabua kofi nzi na mpenziwe. Bahati nzuri/mbaya nikawakosa kikaishia kuuchapa ukuta. Hadi kiganja nikaekewa hogo(P.O.P). Sitaki mchezo kabisa!
Sawasawa
 
Waambie haupendi. tabia zao za kuchart au kuongea na simu na wanaume mbele yako. Coz inawachukulia kama wadogo zako
 
Dah mi naona sawa tu coz ana miaka 22 halafu mi mwenyewe mtoto wa mtaani tu sioni haja ya kumbania uhuru.
 
Mkuu huo ni wivu tu, na vipi wa kiume wakichart na madem zao??

Labda hapo wewe kinachokuuma ni kua hawana time na wewe(kukutamani) coz hata wewe ni mwanaume, badala yake wanazimika na wana nje huko na wewe unawacare kwa kila kitu.

Nimeona hapo kwenye comment ndio umesema ishu ya kuleta maradhi home, ila kwenye uzi wako hujabase sana huko, inaonekana una tatizo la kihisia zaidi na sio matokeo hasi yanayoweza kuletwa na wafanyacho hao wadada.
 
Iyo hali ni kawaida kwa wanaume tulio wengi lakini haina umuhimu wwt ila kama wanafanya mbele yko ndo shida tofauti na hapo take it easy
 
Ni kwa sababu una hisia naye na unamtaka kimapenzi ndo mana. Pole, ukiweza baki wewe na mkeo tuu hapo ndani, au piga kazi ya kuridhisha ili asiwaze watu wengine wa nje ya hapo kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom