hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais ililenga kukataza wateuliwa na watendaji kuacha kuanza kutafuta urais wafanye kazi na hatanii

    Raisi akifikia muhula wake wa pili kulikuwa na mazoea ya wabunge na mawaziri kuanza kampeni mitandaoni nk na kutwa kushindana kuunda mitandao ya kujenga makundi ya kampeni ya kuutaka uraisi badala ya kufanya kazi Raisi Hilo kaonya watu wafanye kazi na ninavyomjua hatanii he mean business...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

    Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli amesema uchaguzi mkuu wa 2025 utatoa fursa kwa vijana kwa sababu zaidi ya 65% ya wapiga kura ni vijana Rais Magufuli ametoa mfano wa mh Lukuvi kwamba hawezi kuwa Rais wa JMT 2025 kwa sababu atakuwa na miaka zaidi ya 70. Maendeleo hayana vyama! ======= RAIS...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Rais Bunge la 12 ni nzuri lakini sikuipenda

    Imejaa mambo mengi sana ya kutimiza kwa miaka 5. Inatia mashaka kuwa huenda akaanzisha miradi mingi sana itakayolazimu aongezwe muda ili aikamilishe mwenyewe vizuri na kwa ubora kama alivyokusudia. Ningetamani kama angejikita kwenye umalizaji wa reli, bwawa la umeme, uchimbaji wa chuma na makaa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vikuu Rais haja ahidi kuwapunguzia riba ya mkopo wa chuoni badala yake ataongeza idadi ya wanufaika

    Ni wakati wa wanafunzi kuwa wapole, walitegemea riba itapunguzwa imekuwa tofauti badala yake fedha zitaongezwa ili wengi wapate mikopo maana yake ni mtaji unawekezwa ili ukue kwa riba ile ile ya 15% . ushauri wangu ni wazazi wajitahidi kutafuta pesa wawasomeshe watoto si kwa mikopo maana...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Rais ina uhusiano wowote na bajeti ya mwaka huu au itakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani?

    Sijaelewa kitu kimoja naomba mnifafanulie vizuri 1. Mapendekezo na aliyoyasema kuyafanya au kuyatekeleza je yana uhusiano na bajeti ya Mwaka huu au yatakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani. Mfano Bima ya Afya kwa wote, maeneo tajwa kujenga barabara na hayakujadiliwa kwenye bajeti ya mwaka...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais imeonyesha njia; Tozo na kodi kwa mahoteli na lodge zipunguzwe

    Nimesikiliza hotuba nzuri ya Rais na kubaini kuwa Rais anayo nia njema ya kulipeleka mbele taifa letu. Kwa upande wa miundo mbinu ya watalii mahoteli ni muhimu sana yakaboreshwa kwa kuyawekea mazingira mazuri hivyo nashauri mambo yafuatayo: 1. Kupunguza bei ya leseni ya TALA kwa mahoteli kama...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kenyatta: Maana na tafsiri yake

    By Bright, Political Analyst Rais Kenyatta alipokuwa anahotubia Bunge alizungumza maneno mengi ila kwa sasa nitafanya uchambuzi kwenye maneno machache tu aliyo yatamka kuhusiana na kile kinachoendelea nchi jirani na Kenya. 1. Rais Kenyatta hajamtaja mtu na haja point specifically nchi husika...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika Uzinduzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi

    TAREHE: 11 NOVEMBA, 2020 Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid; Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Omar Othman Makungu; Jaji Mkuu wa Zanzibar, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Joe Biden mara baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa 46 wa Marekani

    Habari za leo wana JamiiForums, Natumai muwazima wa afya njema. Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden. Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza mfananisha na Obama kwa jinsi anavyo hutubia. Mimi nadhani tutarajie yale aliyoyafanya Obama ndio...
  10. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Akitoa hotuba wakati wa kuapishwa Dkt Magufuli. Je, mtazamo wa Museveni unahakisi ule wa wengi wa Marais wa Afrika juu ya demokrasia ya vyama vingi?

    Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity, strategic security na brotherhood. Ingawaje hiyo strategic security sikuielewa vizuri. Pia alisema kuwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais mpya wa Marekani Joe Biden baada ya ushindi kwa Kiingereza na Kiswahili (Biden-Harris)

    HOTUBA YA JOE BIDEN BAADA YA USHINDI My fellow Americans, the people of this nation have spoken. They have delivered us a clear victory. A convincing victory. A victory for “We the People.” We have won with the most votes ever cast for a presidential ticket in the history of this nation -- 74...
  12. Freddie Matuja

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Museveni kwenye kuapishwa kwa Rais Magufuli, imenitafarisha mambo 4

    Hotuba ya Rais Museveni kwenye Kuapishwa kwa Rais Magufuli, imenitafarisha mambo 4; karibu tujadili tukiwa na open mind. Naomba ku-declare interest ninamuunga mkono JPM kwa nafasi ya Urasi 2020-25. Kama unaidhika usiendelee kusoma huko chini. Ila kama una imani ya kusifu tu, pia usisome ili...
  13. Kididimo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: TVs na Redio zitoe kwa usawa hotuba za mwisho za Wagombea Urais wote. Miaka yote kuanzia 1995 hadi 2015 ilifanyika hivyo

    Ni maoni yangu kuelekea hitimisho la Kampeni leo 28/10/2020. Lengo kuu ni ili Wananchi wawasikie kwa lugha moja katika kuhitimisha na kesho wafanye maamuzi sahihi. Naamini leo hakuna pumba au chuya, ni mwendo wa "SERA".
  14. tikatika

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
  15. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 TUJADILI: Je, hotuba za mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu katika kampeni huwa anamtukana Mgombea Urais - CCM na Rais wa JMT ndugu Magufuli?

    Nimeanzisha mjadala huu baada ya tukio la jana huko Chato la msafara wa Mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM mara baada ya kumaliza kuzungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni. Kabla ya tukio hilo la Jana tulimwona yule ajiitaye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
  17. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii shamrashamra mwishoni mwa hotuba ya Salimu Mwalimu inasisimua sana

    Ukiona watu walivyofurahi mwishoni mwa hotuba ya Mgombea mwenza wa Nafasi ya urais kwa tiketi ya CHADEMA unapata hisia za matumaini ya ukombozi wa watu toka makucha ya CCM.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama Chetu akisoma hotuba zinakuwa na hoja, akitoa kichwani analeta taharuki kwa lugha inayodhaniwa kuwakera akina mama

    Nashauri wasaidizi wa Mwenyekiti ambaye pia ni Mgombea wetu katika kipindi hiki cha kampeni wamshauri hotuba zake azisome tu. Wapinzani wetu wanafuatilia kila neno litokalo kinywani mwake na wanatumia baadhi ya maneno, ambayo wakati mwingine ni ya utani, kutuchapia viboko huku mtaani. Bahati...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani

    Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani. Siku zote watu wanasema ukitaka kuwa na hekima jifunze kutoka kwa wenye hekima. Wasikilize watu wenye hekima. Hata ukipata nafasi basi ongea na kuzungumza na watu wenye hekima...
  20. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
Back
Top Bottom