hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mag3

    JamiiForums Tanzania Huku ndiko tulikofika, TBC chombo cha UMMA hakirushi hotuba za mgombea Urais, Mh. Tundu Antiphas Lissu lakini kinatumika kurusha matusi ya Polepole!

    Huko ndiko CCM imetufikisha kama taifa. TBC chombo kikubwa cha UMMA kinatumika kuwatukana Watanzania wanaopinga utawala wa kibabe usiozingatia sheria wala Katiba. Badala yake TBC chombo kinachowafikia wananchi walio wengi kinatumika kusifia uvunjaji wa wazi wa kanuni na sheria tulizojiwekea...
  2. The suspender

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na watoa huduma ya habari mitandaoni

    Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa kikao cha Tume ya Taifa ya UIchaguzi na watoa huduma ya habari mitandaoni katika ukumbi wa Mikutano wa Mwl. J. K. Nyerere 15 SEPTEMBA, 2020 Wakurugenzi & Wakurugenzi Wasaidizi wa Idara, Watoa huduma ya habari...
  4. Mindi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli mbele ya Mgeni wake Rais Museveni imejaa Hofu ya Kampeni

    Hapa niandikapo, Rais Magufuli amehitimisha hotuba yake. Sasa hivi anaongea Rais Museveni. Hotuba ya Rais Magufuli imejikita katika kuchambua faida ya bomba la mafuta toka Uganda. Lakini kilichojitokeza hasa ni ile "tone" ya Magufuli. Alikuwa anarudiarudia maneno, hana amani, tofauti na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtanzania amka: Wasanii kazi yao ni usanii, Kampeni za Uchaguzi Mkuu si usanii, hatuhitaji maigizo wala kukatiwa mauno!

    Msikilizeni huyu kijana. Baadhi ya wasanii walikuwa wakifanya mambo machafu. Mambo yasiyoendana na maadili ya Watanzania. CCM iwe makini katika kuchagua wasanii wa kufanya kampeni. ======= Kila baada ya miaka mitano ukichagua hovyohovyo itakugharimu wewe, mke wako, mdogo wako, mama yako...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Asante Lissu amesababisha ajira za walimu kutangazwa, hotuba ya bajeti ya Waziri hapakuwa na hilo

    Ni mtu mpuuzi tu anayeweza kumdharau mtu kama Tundu Lissu. Lissu kasema Serikali haijaaijiri walimu tangu 2014, hapo hapo serikali inaitupa bajeti ya Ndalichako na kaika hali ya kupaniki inatangaza kufungua dirisha la kuajiri walimu kwa maelfu. Katika hotuba ya waziri wa elimu, yeye aliahidi...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti. Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali. Mwaka 2015, Dkt...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zijue hotuba zilizowapa watu uraisi : Obama na Kiwete

    1. Hotuba ya kwanza ni ya Obama mwaka 2004 akiwa ni "kijana" mdogo tu wa miaka 40, aliyoitoa katika mkutano mkuu wa Democrats (Democrats convention) kumpitisha Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Democrats John Kerry. Obama aliwakong'a nyoyo wana Democrats kutokana na kutoa hotuba kali sana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hii hapa hotuba ya Tundu Lissu Dodoma, ambayo Magufuli ameamua kumjibu akiwa Musoma.

    ..hotuba ya Tundu Lissu akiwa Dodoma. ..sikujua kuwa amerusha makombora makali kumlenga Magufuli. ..baada ya kuisikiliza nimeelewa kwanini Magufuli amezungumza vile akiwa Musoma.
  12. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa hii hotuba ya Tundu Lissu Segerea, amepotosha

    Nimesikiliza hotuba ya Lissu leo Segerea, naona lissu ana improve safi sana, tatizo bado iko palepale japo limepungua kidogo katumia muda mwingi kumshambulia jpm kulipo kuelezea yeye na serikali yake watafanya nini, machache aliyo yaelezea nayo ni kama ifuatavyo. 1. Ujenzi wa barabara ya...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi. Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wa hotuba ya Lissu - Kawe

    Leo nimefurahishwa Lissu kaongea huku ametulia tena kawa mpole, naona keshasoma upepo. Katika hotuba yake naomba nichambue kidogo maelezo yake, kimsingi hayo aliyoyaelezea yaliwahi kutekelezwa na awamu zilizopita na yakashindikana, ni maneno yakuombea kura tu sio yakiutekelezaji. 1. Kuhusu fao...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii afungua Kikao cha kujadili Uhifadhi Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara

    Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki akitoa Hotuba ya Ufunguzi katika Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini hotuba za Wanasiasa wa Tanzania (wa Upinzani na Chama Tawala) ni za kiwango cha chini mno? Nimewawekea mifano ili wajiongeze

    Hivi tatizo ni nini? Hatuna waandishi wazuri wa hotuba? Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo? Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilichomponza Balozi Adadi Rajabu hiki hapa

    Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi. Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

    Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
  20. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania VUNJO: Hii hapa hotuba nzito ya Mwenyekiti wa TLP Taifa Mhe Dk Augustino Lyatonga Mrema kwa Watanzania

    HOTUBA YA MHE DK AUGUSTINO LYATONGA MREMA-VUNJO Ndg Wanavunjo na Watanzania kwa Ujumla, Mimi Augustino Lyatonga Mrema nimehudumu Serikalini kwa awamu zote tano,Leo naomba kusema toka ndani ya moyo wangu kwa hakika Sijawahi ona kiongozi Mchapakazi,Mpenda watu na Mwadilifu kama Dk John Pombe...
Back
Top Bottom