hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni: Spika awaonya watakaovaa tai nyekundu

    Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi. Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Bungeni: Usisahau kuongelea mambo haya...

    Mheshimiwa Rais, Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge, tena kwa mara ya kwanza; usisahau kuongelea mambo haya: 1. Ajira kwa vijana. 2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa 3. Gharama za tozo za simu 4. Katiba mpya 5. Maridhiano ya kitaifa 6. Ripoti ya CAG 7. Ubovu wa bunge la JMT. Kila la...
  4. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wanaichambua hotuba ya Mbowe na hawaigusi kabisa ile ya Zitto kuhusu CAG?

    Ikumbukwe kuwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe walitoa hotuba zao siku moja ila walipishana masaa tu. Zitto Kabwe alijikita kwenye ripoti ya CAG na akaelezea ubadhirifu katika maeneo kadhaa ikiwemo ATCL. Freeman Mbowe yeye alijikita kuuelezea utawala wa awamu ya tano ulivyohitimika na kuanza kwa...
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

    Mh. Rais Samia. Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe. Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe wa mwaka 2021 amkana Mbowe wa mwaka 2020 kuhusu lockdown

    Ndugu zangu, Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu wa juzi (mwaka 2021) anakana anasema hakumaanisha hivyo. Teknolojia hatari sana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Baada ya kutafakari hotuba za Mbowe na Zitto nawapongeza wabunge wa CHADEMA ambao hawakuunga mkono juhudi

    Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao. Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni...
  9. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

    Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili. Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking. Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli. Nadhani siku...
  10. justin mwanshinga

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena. Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Taifa maandalizi yakamilika , Kurushwa Live kuanzia saa 9 mchana

    =======
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

    Freeman A. Mbowe: "Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena." "Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa namna viongozi wa CCM walivyonuna baada ya hotuba tusubiri mkwamo

    Jana hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyempongeza Mhe. Rais kwa Hotuba nzuri, hata akina Kigwangala wanaokesha mitandaoni walikaa kimya. Watu waliopongeza ni wapinzani na wanaharakati pamoja na wananchi wa kawaida. Siku zote ccm si chama kilichopo kwa ajili ya wananchi ni chama kwa ajili...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  15. size 96

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

    Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri...
  16. Mhujumu Uchumi

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni hotuba ya mwendazake ungesikia...

    INGEKUWA HOTUBA YAKE TUNGESIKIA Ndugu zangu! Nataka niwaambie ukweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Tusibaguane kwa vyama, dini na makabila yetu maana Maendeleo hayana Chama! Kuhusu KODI; Wizara ya Fedha, Kitengo cha TRA nimeona hapa Bajeti yenu ya mwaka huu. Mmesema mnahitaji Billioni 27...
  17. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mama Samia Inatoa Mwelekeo wa Tanzania Mpya

    Hotuba ya mama inatoa uelekeo wa Tanzania mpya. Ameongea mambo mengi lakini nitatoa maoni kwenye manne; 1. KODI Mama hataki matumizi ya nguvu kwenye kodi. Anajua wafanyabiashara wanatishwa kupewa kesi za uhujumu uchumi ili kulipa kodi. Huu ndio ulikua mchezo wa TRA kwenye utawala wa...
  18. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii ya rais Samia, hakika inatibu msongo wa mawazo

    HOTUBA YA SAA 1 NA DAKIKA 16 YA MHE RAIS NI TIBA YA MSONGO WA MAWAZO. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo hotuba ya Mh Rais inaendelea kujenga matumaini mapya katika Taifa letu. Ni hotuba nzito ambayo inajiegemeza kwenye misingi ya utawala bora na yenye kuleta mawanda mapya ya fikira juu ya nguvu...
  19. Kimbakuli

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 6 ndio nimeanza kusikiliza hotuba ya Rais tena

    To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta...
  20. M

    JamiiForums Tanzania "Hats Off" Rais Samia Suluhu hii ni moja ya Hotuba za kuwekwa kwenye rekodi

    Wanajukwaa habari zenu, Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali. Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri...
Back
Top Bottom