hotel

  1. Faana

    JamiiForums Tanzania The first-ever space hotel could open as early as 2027

    Wenzetu hao! You see, the hotel is going to be in space. No, seriously. A California-based company called Orbital Assembly is currently working on what would be the first-ever hotel orbiting Earth, and they want to have it up and running as early as 2027. The hotel will be part of a massive...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wamiliki wa Hotel kuchukuliwa hatua ikiwa wageni wao watatoka bila kuvaa stara

    Serikali ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua wamiliki wa hoteli ambao wageni wao watatoka hotelini wakiwa hawajavaa nguo za stara. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale amewataka wageni hasa watalii kutovaa nguo zinazokiuka maadili wawapo maeneo ya umma, mfano sokoni. Chanzo: Swahili Times
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali ifute Hotel Levy kwenye mamlaka ya halmashauri

    Serikali iko kwenye mchakato wa kutayarisha bajeti ya 2021/22. Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali katika bajeti ijayo aidha ifute HOTEL LEVY katika Mamlaka ya Halmashauri au iweke tozo ya flat rate badala ya makadirio ambayo inaashiria harufu ya rushwa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Simba wafanyiwa vurugu congo: Mashabiki wa As vita wavamia hotel ya Simba, Luis nusra apigane

    Mashabiki wa kikosi cha As Vita wamevamia kambi ya Simba iliyopo katika hoteli ya Rayol hapa Kinshasa muda mchache kabla ya kwenda uwanjani. Mashabiki hao mara baada ya kufika hapa hotelini saa 11:10 jioni kwa saa za Kinshasa walianza kuimba nyimbo zao mbalimbali. Wakiwa wanaimba nyimbo hizo...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Elimu: Hotel Desderia yatumika kufundishia Landscaping Ardhi University

    Hotel ya kisasa ya nyota 3 ya Desderia iliyoko Jijini Mbeya imejiongezea majukumu yake baada ya sasa kuanza kutumika kwenye masomo ya Chuo Kikuu nchi Tanzania. Pichani ni wasomi kutoka Ardhi University ya Dar es Salaam wakiwa na MD wa Hotel hiyo Mh Joseph Mbilinyi walipofika Hotelini hapo...
  6. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu hotel nzuri Mwanza

    Nataka kwenda Mwanza for personal issues. Naomba kufahamu the best hotel, located at the beach front na ambayo ina big rooms, madirisha makubwa facing the beach. Price siyo tatizo. Umbali kwenda mjini au airport siyo tatizo pia. Shukrani sana.
  7. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo atamani Halmashauri zijitegemee baada kutembelea mradi wa Government City Complex wa jijini Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara. “Nikiangalia hoteli...
  8. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

    Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote. Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
  9. Bhujegwe

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya Hotel Management

    Naomba kuchukua fursa hii kuuliza juu ya mafunzo yanayotolewa vyuo vya ufundi,na kwa umuhimu wa pekee natafuta kujua ni muda upi unahusika kwa mtu kusoma hadi kuhitimu course ya Hotel Management. Swali langu linajengwa na utata uliopo kwa vyuo hivi huku mitaani. Kuna vyuo kwenye matangazo yao...
  10. luangalila

    JamiiForums Tanzania Ngurudoto Hotel ni kweli imekuwa Hostel ?

    Habari za kuzinduka ! Wadau nimekuwa naona comments za wadau wakidai Ngurudoto Hotel imekuwa Hostel za wanafunzi jqmbo ambalo binafsi nimekuwa mgumu kuamin ukizingatia sinq access ya kufqnyq prove kwa kwenda Arusha. Bac kama ni kweli I hope kama juna wanafunzi aliye bahatika kupata room hapo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

    Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto. Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
  12. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sehemu nzuri, ona hii hotel kisiwani, ziwa Tanganyika

    Inaitwa Lupita.
  13. venchwa

    JamiiForums Tanzania Niko na mtoto wa mtu tunakula maisha hapa Nairobi Kempisk hotel Westland

    Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi arusha kupata Covid 19 certificate, tukakomaa kuhonga 500 ya Kenya wakatupa za kufoji, Tukaanza...
  14. hp4510

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Lodge au hotel mzuri njombe

    Kesho Nina safari ya njombe, naomba msaada kwa mtu yoyote ambae yuko njombe Anipe connection ya hotel au lodge mzuri ya kuanzia elf 40 Kuja chini Iwe kwenye maeneo Mazuri ambayo ni easy pia kufika
  15. S

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport

    Paul Rusesabina aliyekua Manager wa Hotel Rwanda akiwaokoa Watutsi wasivamiwe na kuchinjwa na Interahamwe hatimaye amefikishwa mbele ya sheria kwa makosa ya kuhusika na njama za mauji hayo hayo. Baada ya filamu ya Hotel Rwanda kueleza kisa cha Rusesabina, wakati wote dunia ilimuona kama shujaa...
  16. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia kwa macho yangu chakula kikipimwa temperature pale Serena Hotel, maana yake nini?

    Huu utaratibu wa kukipima joto chakula kwa kutumia thermometer kama mgonjwa wa homa maana yake nini?
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame amekanusha kwamba Serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye ni nyota wa filamu ya Hotel Rwanda

    Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo. Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
  18. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wote wa Hotel kusajiliwa kidijitali kuanzia Oktoba

    Kwa Mujibu wa The Citizen Online ya Jana Sept 3, 20, watumiaji wote wa hotel na guest house kusajiliwa kidijitali kupitia wizara ya Maliasili na utalii. Hii inahusisha watalii wote wa nje na ndani kwenye hotel na guest zote zilizojisajili kama zenye hadhi ya kitalii. Wamiliki wa hotel...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Mogadishu: Vikosi vya Somalia vyazima shambulio baya katika Elite Hotel

    Vikosi maalumu vya Somalia vinasema vimemaliza uvamizi Somali uliofanywa katika hoteli iliyopo katika mji mkuu Mogadishu ambayo ilivamiwa na wananamgambo wa al-Shabab Takriban watu 10 wameripotiwa kuuawa katika hoteli ya - Elite Hotel iliyopo katika eneo la ufukwe wa Lido, pamoja na wanamgambo...
  20. kisu

    JamiiForums Tanzania Natafuta hoteli nzuri (3 star kwenda juu) iwe karibu sana na Mlimani City Mall

    Nategemea kuja Dar kutoka ng'ambo hivi karibuni, na ninataka kukaa karibu sana na mlimani mall ili niwe naenda kwa miguu toka hotelini ingawa mguu wangu mmoja ni mbovu kidogo, natafuta hoteli nzuri (3 star kwenda juu) iwe karibu sana na Mlimani Mall. Napendelea kukaa karibu na mlimani mall ili...
Back
Top Bottom