hotel

  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hotel kutoa zawadi ya mil 1 kwa couple itakayovunja kitanda siku ya Valentine

    Dunia haikosi vituko, Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine. Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Emir of Katsina Muhammadu Dikko (1865 - 1944) emerged from Midland Hotel barefooted shortly after his arrival in England on June 5, 1921.

    Emir of Katsina Muhammadu Dikko (1865 - 1944) emerged from Midland Hotel barefooted shortly after his arrival in England on June 5, 1921. Behind the emir was his young son and successor, Usman Nagogo. The emir had audience with King George V on June 11 before he proceeded to Mecca for Hajj.
  3. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Lodge au Hotel Dar es salaam

    Wakuu habari! Kama mnavyoiona hali ya Hewa hii, naomba nifahamishwe lodge au Hotel yoyote nzuri Dar ila iwe imejificha ficha kidogo. Iwe maeneo ya Dar tu. Budget yangu 50,000 to 70,000.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

    SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali. Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa? Hata hivyo, kunoga huku huko Zanzibar kunatuhusu pia sisi huku bara? Au huku kwetu ni yale ya matetemeko Kagera...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hotel tano za Jambiani, zateketea kwa moto

    Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba Hotel 5 zilizopo Jambiani Zanzibar zinateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo hakijafahamika na kwamba hoteli zilizoathirika ni pamoja na Villa de Coco, Sharazad, Spice island, Fun Beach na Cobe. Chanzo: TSN
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kutoka Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika. "Bila Uwazi, Hakuna Uwajibikaji" -Ludovick Utouh

    Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  7. Tuelimishanee

    JamiiForums Tanzania Lodge / Hotel nzuri Mwanza

    Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021

    Tunawakaribisha kwenye Press Conference Leo kama tangazo linavyoonyesha sisi Wamachinga tuliobomolewa vibanda vyetu, tunaomba mtuafuatilie tutakua online. Pia tutampongeza Mheshimiwa Raisi kwa speed yake ya kutuwekea mazingira mazuri ya biashara. Jiji limeanza kupendeza PIA, SOMA: -...
  9. BAK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan world record holder Agnes Tirop found dead following alleged stabbing at an Islamabad hotel

    Kenyan world record holder Agnes Tirop found dead following alleged stabbing By Aleks Klosok, CNN 58 mins ago Kenyan long-distance runner Agnes Tirop, who represented her country at the recent Tokyo Olympics, has died aged 25, Athletics Kenya (AK) announced in a statement Wednesday. ©...
  10. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Prof Sarungi: Mimi ni msafi

    THISDAY CORRESPONDENT Musoma THE former Minister for Defence and National Service, Prof. Philemon Sarungi, has denied any personal involvement or criminal wrongdoing in the controversial dealings surrounding the Buhemba gold mine in Mara Region. Sarungi recently came under sharp criticism...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

    Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi. Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018. Familia ya Rusesabagina...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahali Mzuri: The Best Hotel in the World

    A Maasai Mara tented camp, Mahali Mzuri, owned by British tycoon Sir Richard Branson has been ranked as the number one hotel in the world. The Travel + Leisure World’s Best Awards released on Monday shows that people love the hotel for its rooms, location, service, food, and value. The...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maasai Mara hotel named top in the world

    A Maasai Mara tented camp, Mahali Mzuri, owned by British tycoon Sir Richard Branson has been ranked as the number one hotel in the world. The Travel + Leisure World’s Best Awards released on Monday shows that people love the hotel for its rooms, location, service, food, and value. The...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wananchi la Katiba kufanyika Lamada Hotel tarehe 28/8/2021

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukaa hoteli au sehemu na Kivulana cha tabia hii?

    Nipo Restaurant moja maarufu katikati ya Jiji. Mbele yangu kimekaa kivulana (ingawa anaonekana kuwa na umri wa kuitwa Mwanaume) kipumbavu. Toka kimefika kinapiga kelele kwenye simu kuonesha kinatukana wafanyakazi wake, kina ongea deals kubwa kubwa za millions of money na mizigo mingi iliyopo...
  16. Elitwege

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa Peacock hotel, Joseph Mfugale afariki dunia

    Joseph Mfugale ambaye alikuwa mmiliki mwenza wa Peacock hoteli amefariki dunia leo asubuhi. ======== Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa...
  17. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Aliomba afikie nyumbani kwangu nikakataa. Je, nilikosea?

    Habari wanajamii? Poleni na majukumu ya week nzima! Niende moja kwa moja kwenye uzi husika, mwaka 2013 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae familia yao ilikua karibu sana na familia yetu. Tulidumu kwenye mahusiano kwa muda kidogo mpaka 2017 ambapo tuliamua kuachana, sababu kubwa ikiwa yeye...
  18. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wa mabasi ya mikoa wanasimamisha gari za abiria hotel za bei mbaya?

    Serikali yetu hembu tusaidieni sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inazidi shamiri sna kwa wale ndugu zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

    Nimekuwa naangalia jengo la iliyokuwa Embassy Hotel kwa muda mrefu sana sasa imefungwa na hakuna hata dalili yoyote ya kufufuliwa au kutumika kwa shughuli nyingine ya kibiashara. Jengo lipo mahali pazuri sana lakini linasikitisha sana linavyochakaa na sina hakika kama linalipiwa kodo stahili...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa lodge, restaurant sure hotel

    Wakuu Nina tafuta kazi ya kusimamia lodge,mgahawa au hotel nina uzoefu wa kutosha usiopungua miaka kumi hasa upande wa restaurant pia nimeshafanya kazi Katika migahawa mikubwa ya kimataifa ya jijini Dar es Salaam na Arusha. Nina uwezo wa kuwafundisha wafanyakazi mbinu za kukuza biashara...
Back
Top Bottom