Hivi Tausi waliopelekwa JS Hotel hapo awali nani aliidhinisha? Nani mmiliki?

Mbona tausi wapo wengi sehemu tofauti tofauti tu. Kwa anayepajua "MT.Meru Game Lodge" iliyopo Arusha USA River hao ndege wapo wengi sana na wa rangi tofauti, kama Tausi weupe nk.

Mimi sioni kama ishu kuwajadili ndege ambao at a Mimi au wewe tukitaka kuwamiliki tunawamiliki
 
Hivi hao tausi kwako wewe mkazi wa buza kwa lulenge wanakusaidia nini hata wakigawiwa wote?

Mbona tunakomaa na ishu z kipuuzi sana?
Iyo ni nyara ya serikali ni lazima tuhoji. Tunahoji bombadia ambazo hatujawai kupanda sembuse Taus aliotuachia baba wa taifa?
 
Ugawaji wa Tausi huu Ugawaji wa Tausi, kabla ya Raisi Hajagawa tausi kwa wastaafu, kuna hotel inaitwa JS imeshapatiwa hao Tausi kitambo,

Ni mmiliki nani na nani hasa aliruhusu wato Ikulu?

Britannica
Mkuu Britanicca, acha uchokozi na uchochezi, tausi ni ndege tuu kama ndege wengine wote na wanapatikana mahali pengi.

Kwa bandiko hili, ikiamuliwa kufunguliwa kesi ya uchochezi, jee utaweza kuthibitisha kuwa hao tausi wa JS Hotel pale Chato ni tausi kutoka Ikulu yetu?, unamaanisha kuna mwizi kaingia Ikulu yetu, akawaiba wale tausi wa Nyerere pale Ikulu ambao ni nyara za taifa, akawapeleka huko JS hotel?.
Au anamaanisha miongoni mwa watu wenye access na Ikulu yetu, kuna mtu ni mwizi kaiba tausi wetu ambao ni nyara za serikali, na kuwauza kwa JS hotel ya Chato?.

This is criminal liability, hivyo kama kuna tausi wa nyara za serikali pale JS Hotel, Chato, na police wetu wanasoma JF, waanzishe uchunguzi hapo JS kuchunguza yafuatayo
  1. Jee ni kweli JS hotel ya Chato kuna tausi?.
  2. Waliwapata wapi hao tausi?
  3. Wana vibali vya kumiliki nyara za serikali?
  4. Kama ni tausi kutoka Ikulu yetu, nani aliruhusu nyara hizo za serikali kuchukuliwa na kupelekwa hotel binafsi?.
  5. Kama ni kweli tausi hao wa JS hotel ni kutoka Ikulu yetu, then huu nao ni ufisadi tuu kama ufisadi mwingine wowote!.
NB. Angalizo: Kufuatia JS hotel kuwa karibu na Ikulu ya Chato, usikute tausi ambao Mkuu Britanicca amewaona ni tausi wa Ikulu ya Chato wakiranda randa mitaani kama wale Tausi wa Ikulu ya Magogoni wanavyo randa randa maeneo mengi, and this being the case, hakuna kesi wala hakuna issue!
P
 
Ugawaji wa Tausi huu Ugawaji wa Tausi, kabla ya Raisi Hajagawa tausi kwa wastaafu, kuna hotel inaitwa JS imeshapatiwa hao Tausi kitambo,

Ni mmiliki nani na nani hasa aliruhusu wato Ikulu?

Britannica

Toa taarifa vizuri, hiyo Js ipo wapi, iko ndini ya nchi au nje ya nchi, au mkoa gani?
Sio wote tuanojua Hiyo JS
 
Ugawaji wa Tausi huu Ugawaji wa Tausi, kabla ya Raisi Hajagawa tausi kwa wastaafu, kuna hotel inaitwa JS imeshapatiwa hao Tausi kitambo,

Ni mmiliki nani na nani hasa aliruhusu wato Ikulu?

Britannica
Kwanza nani alimwambia kuwa hao wastaafu wanahitaji Tausi????????? Kiherehere kwa sababu watu tumeulizia imekuwaje kule hotelini kwake na nyumbani kwake amewaiba ndiyo maana anahalalisha hao viongozi kupewa hao TAUSI. Ingekuwa vizuri awagawie na hizo pesa anazoiba pia...Maana tunasikia MATRILLIONI hayana maelezo! Anawaongezea kazi bure hao wastaafu...wakati wana kazi nyingi za kufanya na kukaa na familia zao....ANAWAPA KAZI YA KUCHUNGA VICHECHE VISIWALE HAO TAUSI.
 
Hivi hao tausi kwako wewe mkazi wa buza kwa lulenge wanakusaidia nini hata wakigawiwa wote?

Mbona tunakomaa na ishu z kipuuzi sana?
Una maanisha tukio la Mh Rais kugawa Tausi kwa maraisi wastaafu lilikuwa la kipuuzi!!!!
 
Hivi hao tausi kwako wewe mkazi wa buza kwa lulenge wanakusaidia nini hata wakigawiwa wote?

Mbona tunakomaa na ishu z kipuuzi sana?
Hapo issue si tausi hasa bali tabia ya mtu kutapanya vitu vya ndani mwako. Hii tabia inapokomaa inaweza liingizia taifa hasara nyingi.
 
Back
Top Bottom