Dkt. Lwaitama: Vuta nikuvute hoja ya majimbo/ushindani mkali 2020.. Part 1

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
LWAITAMA / VUTA NIKUVUTE HOJA YA MAJIMBO / USHINDANI MKALI 2020.. Part 1



Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Dkt. Azaveli Lwaitama amesema ushindani katika uchaguzi wa mwaka 2020 ni mkali hasa katika kueleza hoja za maendeleo ya taifa. Lwaitama amezungumza hayo kwenye mahojiano maalum na MwanaHALISI TV...
 
Back
Top Bottom