hoja

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual. Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
  2. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kuongezewa muda wa Rais kubakia madarakani itaendelea kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

    Awali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu. Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilimshinda kwa hoja afisa usalama akaondoka kwa aibu

    Alhamisi mapema nikiwa job tukiwa tumepata taarifa ya msiba wa Rais Magufuli,tukiwa hatujui pa kushika au pakuachia alikuja afisa mmoja wa usalama kikazi. Nikampokea nikasalimiana naye vizuri as usual. Ila siku hii hakuchangamka sana kutokana na taharuki ya msiba. Nikamwambia kila kitu...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Hoja dhidi ya Hoja: Maswali Sahihi Huleta Majibu Sahihi: Tatizo la Kudhania Kutoonekana kwa Magufuli

    MASWALI YASIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYOSAHIHI: TATIZO LA KUDHANIA Na. M. M. Mwanakijiji Katika hoja yangu ya wiki iliyopita nilijikuta nami nimechokosa udhanifu (assumptions) katika kujenga hoja hiyo na hivyo kuingia kwenye mtego wa maswali yasiyo sahihi. Mtu anapouliza kitu anafanya hivyo...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Mndeme: Wafanyabiashara msigome, tumieni busara kuwasilisha hoja Serikalini

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa rai kwa wafanyabiashara kuepuka kufanya migomo isiyokuwa na tija badala yake kutumia hekima na busara kuwasilisha hoja zao serikalini. Mndeme ametoa rai hiyo wakati anazungumza katika kikao cha wafanyabiashara Mkoani Ruvuma kilichofanyika hivi...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Malumbano la hoja: Mchangiaji ashangaa jiji la Dar kuvunjwa kwa kisingizio cha kubana matumizi , ashangaa Chanika kuwa jiji magomeni kuwa nje ya jiji

    Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji . Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo, wewe ni Waziri jadili hoja za Wizara uliyokabidhiwa

    Nimefuatilia mahojiano ITV Kati ya mtangazaji na Dr. Kitilla Mkumbo kuhusu hoja mbalimbali. Kwa ngazi yake ya elimu na hoja alizotoa unaona namna elimu ya Phd isivyo na umuhimu hasa kwa mwanasiasa. Leo Kitila Mkumbo aliyekosa ushawishi kwa Wana ubungo anatuaminisha upinzani imepoteza imani kwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hoja kuhusu China kuweka mtego wa madeni barani Afrika ni habari za uwongo zinazotungwa na nchi za magharibi

    Katika karne ya 21, kutokana na mahitaji ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, kiwango cha madeni cha nchi za Afrika kimeongezeka sana, na shida ya madeni ya Afrika inafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa na nchi za Afrika. Pamoja na kwamba kiwango cha ushirikiano kati ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo aliyotoa Rais Magufuli Mbezi Louis ni porojo za siasa, nashusha hoja

    Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali. Magufuli...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wa CCM wanatumia hoja za wapinzani walizotoa Bunge lililopita? Hakuna hoja mpya?

    Kwanini hoja zilezile zilizotolewa kwenye bunge Mwaka 2015-2020 ndizo zinazoibuliwa leo na wabunge wa CCM wakati kipindi zinatolewa walizipinga? Hoja ya kutumia taskforce kukusanya kodi iliezwa vyema bunge lililopita na wabunge wa CCM na uongozi wa Bunge pamoja na Mawazir waliipinga vikali...
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania HOJA: Je, umahiri wa lugha ya kigeni ni kipimo cha akili?

    Kumekuwa na hoja miongoni mwetu Watanzania kuhusu matumizi ya lugha za kigeni hasa Kiingereza kutumika kama kipimo cha mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili. Je, hoja hii ikoje? na ina ukweli kiasi gani? HOJA NAZOWAZA ZITHIBITISHE KWAMBA KUJUA KIINGEREZA SIO KUWA NA AKILI NI KAMA IFUATAVO: - Lugha...
  12. 2019

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja za hawa wanazi wa CCM, ni dhahiri tumeanza kuongea lugha moja

    Rejea kichwa cha habari juu. Kwa sasa bungeni hakuna wapinzani wa kweli, kwa hoja za wabunge halisi, wanazi, wanachama kindaki ndaki, watiifu wa CCM kama Nape Mnauye, Joseph Musukuma kuhusu kufungwa kwa biashara sasa tunaelekea kwenye chumba kimoja. Hii ni dalili ya kuanza kuongea lugha moja...
  13. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono hoja ya kuimarisha mifumo ya nchi

    Mtindo wa sasa wa mambo miradi inayofanyika inategemea maamuzi ya mkuu wa nchi ni hatari Sana na inatujengea utamaduni mbaya kama nchi. Kuna maeneo ya nchi hii kama Rais Hana mzuka nayo inakuwa bahati mbaya Sana kwao. Nitatoa mfano mmoja Kwa sasa mkuu anapenda kuona Jimbo lake linapaa na Kwa...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hoja za Tanzania na Burundi kuhusu Corona ni za kuigwa

    Kwa upande wa Tanzania raisi wa nchi hiyo Makufuli alipokuwa akizindua shamba la miti kwao Chato alisema tuendelee kuchukua tahadhari ya ugonjwa lakini hakuna haja ya kujawa na hofu na kwamba watu wajifukize na hata akataja dawa zilizothibitishwa na mkemia mkuu kuua virusi na bakteria...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Corona Wabunge wetu mjitambue nyinyi ni wawakilishi wa Wananchi na sio wataalamu

    Nimesikiliza baadhi ya michango ya wabunge wetu juu ya Corona nikabaki na maswali mengi najiuliza hawa wanaongea bungeni kama watu gani? Anasimama mbunge bungeni anachangia mjadala kwa kuelezea Corona ni nini? Inasambaa vipi? na kibaya zaidi anahitimisha kwa kutoa wito kwa wananchi ni kitu gani...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM yaanza kuzifanyia kazi hoja za Lissu

    Wadau wa Jf mnakumbuka wakati wa kampeni Lissu alipinga suala la wamachinga kupewa vitambulisho ambavyo havina picha wala majina. Sasa baada ya kuumbuka kwa kutoa vitambulisho ambavyo havina picha wala jina la mhusika Serikali ya CCM imeamua kujirekebisha baada ya Lissu kuwashambulia wakati wa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla amuomba Rais Magufuli kutolea kauli ombi walilompelekea Waziri Bashe, lakini Bashe apangua hoja kwa data!

    Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo. Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa scheme ya umwagiliaji kwa naibu waziri wa kilimo mh Bashe lakini kwa kuwa Rais Magufuli yupo jimboni hapo...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hoja - Tuiondoe rangi nyeusi kwenye Bendera haina maana

    Ile rangi inatuchelewesha ni kiza tu hatuoni tunaoenda ni bora iondolewe,halafu tusidanganyane watanzania sio weusi wa kuifikia rangi ile nyeusi iliyopo kwenye Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Tanzania tupo weusi lakini hatujawafikiwa wa South Sudani wala baadhi ya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Bado nalia na Sheria ya Bodi ya Mikopo ya 2016

    Bado nalia na Sheria ya Bodi ya Mikopo ya 2016.Leo nimesoma katika gazeti moja la nipashe majibu kuhusu Utekezaji wa Sheria hii. Pamoja na mambo mengi Bodi wanasema wanakata asilimia 15 badala 8 na Retention fee inayokatwa kwa mdaiwa eti Sheria hii ilihusisha wadau ikiwemo vyama vya wafanyakazi...
Back
Top Bottom