VIDEO YA MZEE WA ILEJE ASIYE TAKA KUMPELEKA MTOTO WAKE SHULE.
Na Elius Ndabila
0768239284
Mwanzoni mwa wiki hii kuna video moja imetrend sana ikimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya ILEJE Mh Mkude akihojiana na Mzee ambaye hataki kumpeleka mtoto wake shuleni.
Mzee huyo akionyesha utetezi wake kwa...
Salaam Wana JF.
Nimesoma na kuona andiko la Bwana Tundu AM Lissu kutoka Ubelgiji akijenga hoja juu ya maendeleo ya vitu na watu ndani ya eneo la Chato anapotoka rais wa sasa Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Sijaona mantiki ya Lissu kupotosha umma wa Watanzania dhidi...
Wanabodi,
Ukizingatia changamoto tulizo kuwa nazo ni vyema kuona kwamba tumevuka mwaka 2020 salama.
Kitu ambacho ningependa kujadili na wenzangu leo ni hali ambayo imekuwa ikijitokeza na kujumuisha viongozi serikalini kutumia njia ya ukali usio wa lazima na kwa vipindi vingine njia ya kuwa...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda...
Rais wa Zanzibar yupo na Mtizamo tofauti kuhusu Zanzibar, pamoja na kwamba anajua aliingia kwa njia zenye vitendo vya kidemokrasia bado anatambua kwamba bila Zanzibar moja hakuna maendeleo.
Amejaribu alivyoweza kumvuta Maalim Seif karibu kwa lengo lakupunguza machungu lakini bado hajaondoa...
Hio ndio hali halisi. CCM inajaribu kuhadaa umma eti kwamba Dr Mwinyi yuko tayari kwa maridhiano, sio kweli.
Tokea kumaliza kwa uchaguzi wa 2020 ulioacha machungu, simanzi, vilio na dhulma za wazi kile kinachoitwa maridhiano wala hakipo hadi sasa. Hakikuwepo mwanzo na hakuna dalili...
Picha ya Pamoja ikimwonyesha Mhe. Halima Mdee na wenzake 19 mara tu baada ya kuapishwa na Spika Job Ndugai (hayupo pichani) JIjini Dodoma Juzi
Nimepata fursa ya kusikiliza maelezo ya Halima James Mdee aliyoyatoa jana, tarehe 01 Desemba 2020, mbele ya waandishi wa habari, katika Hoteli ya...
Nawashauri CHADEMA watumie mwanya huu kujenga hoja kuwa zile trilioni 2 ambazo zingeliletwa Tanzania kwa sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, basi wapewe wapinzani wajenge vyama vyao.
Najua ni ngumu, lakini hakuna lisilowezekana, inategemea unasimamiaje hoja yako.
Kwa haya yanayoendelea...
Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni...
Habari wakuu,
Nimefuatilia hoja za watu mbalimbali humu na katika sehemu nyingine mtaani na media, nimefuatilia wengi wanaotoa hoja ya hawa ndugu 19 kutoshughulikiwa, msingi wao ni chama kupata ruzuku ili kiweze kuwa na nguvu ya fedha kujiendesha, wengine wanasema chama kiendelee kuonekana...
Polisi mali yao,Nchi mali yao,kila kitu mali yao,lakini mbona wamekwama kwenye kujenga hoja???
mbona mambo muhimu yakijadiliwa wanakuwa na jazba???
hawa watu wanakwama wapi?
hawa
Mhe. Prof. Kabudi, samahani I wish to know yale majibu umewapa EU umetoa kwa niaba ya kikao cha Baraza la Mawaziri mlichokaa na Rais akiwa mwenyekiti au umetoa kama Wizara au ni maneno yako binafsi.
It seems maneno yako yataibuwa mtifuwano wakidiplomasia nakuleta shinikizo uondolewe na usipo...
Salaam wana JF,
Nianze andiko hili fupi kwa kusema Tanzania ni taifa imara kwa misingi ya siasa, uchumi, utamaduni na utawala bora, Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ulimwengu tunayo misingi na taratibu za ndani za kuendesha shughuli zetu za kiutawala kulingana serikali iliyopo madarakani...
Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli.
Je, ni kweli mmebeba mapesa ya watu kwa jina la CORONA na hamjazitumia kwa lengo husika.
Je, ni...
Ni kawaida ya CHADEMA kwenda na matukio na wakati mwingine huvamia tu agenda bila ya kuwa na mwelekeo wowote.
Hebu tuache hizo hoja za kibunge kutoka kwa hao wabunge kiduchu wa EU zijibiwe na wabobezi kutoka katika kamati yetu ya bunge ya mambo ya nje.
Sisi watanzania wengine ukiwemo wewe...
Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo:
Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili uti wa mgongo wetu wa Taifa kutoka "kilimo" na kuwa "biashara-mtandaoni".
Vijana wengi sasa...
CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana.
Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia jumatatu wataanza maandamano yasiokuwa na kikomo kwa kile walichodai eti kuibiwa kura katika Uchaguzi...
Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete.
Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana, na kibaya zaidi...
Nimezunguka kila Kona ya nchi hii, nimeona mengi, nimesikia mengi, nimeambiwa mengi, nimefundisha baadhi ambayo nilijaliwa kufundisha. Ndugu zangu Wana Songea, Sasa ni wakati wa final urgument yaani ni wakati wa hoja za majumuhisho.
Ndugu zangu watanzania kapigeni kura tarehe 28/10/2020...
Hii ni kauli ambayo Dkt. Magufuli alitumia sana jana katika mkoa wa Kilimanjaro na arumeru mkoani Arusha na probably atairudia kwenye mikutano iliyobaki ya kampeni. JPM ana maanisha wananchi kutumia haki yao ya kidemokrasia kumchagua mbunge toka kambi ya upinzani ni kufungwa miguu na mikono hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.