hoja

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

    Chama cha CHADEMA kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe lililopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma. Jimbo la Muhambwe liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge Atashasta Nditiye kufariki dunia Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma alikokuwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hoja: Tuteue viongozi kutokana na wingi wa mali zao kwanza, kama ilivyo kigezo cha kuwatumbua wanapoiba mali

    Kama kuna mdau humu atufikishie hili bungeni. Bunge lione umuhimu wa kuboresha sheria za uongozi wa Umma. Ili pamoja na mambo mengine kigezo cha Mali kitumike kwanza kumuweka mtu katika uongozi. Tuache kabisa hii tabia ya kuwapa uongozi watu maskini kwasababu hawana mbinu ya kutufikisha...
  3. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Tuna Spika dhaifu sana na kupelekea Bunge kuacha kujadili hoja za msingi

    Ndugai asiposikia tena hili ndo basi tena. Sauti ya leo ni sauti ya mwisho na asipoelewa atakuwa na tatizo la akili. Wananchi wamesema kwa muda mrefu, wataalamu wamesema, viongozi wa dini wamesema. Lakini ni kama ameweka pamba masikioni. Sasa amezungumza raia namba moja. Ndugai achague kusuka au...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

    Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili. Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
  5. Kitchener

    JamiiForums Tanzania 4% ya mapato kwenda Zanzibar kama Hoja ya Muungano

    Kuna hoja nimekuta watu wanaongea, ni kuhusu kile ambacho mama amesema waziri wa fedha akakae na mwenzake wajadili na kusuluhisha katika kero za muungano. Ninaupenda sana Muungano,ninauunga mkono. lakini, nilijiuliza kitu kimoja, mimi kama mtu wa bara sitaki tupigwe pia kama wazenji wasivyopenda...
  6. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania namshauri Spika Ndugai kuwa huu si muda wa vijembe na utani kwa kina Mbowe. Tujibu hoja chafu za awamu iliyopita

    Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea! Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya CHADEMA fedha za matibabu ya Mh.Ndugai hayakutekelezwa

    Kama mnakumbuka CAG Prof.Assad alihoji malipo ya matibabu ya Spika zaidi ya dola 12,000,000 mwaka 2017. Mpaka leo CAG hajajiridhisha na malipo Ndugai hajapeleka nyaraka kufunga hoja. Humu JF tunataka kuona nyaraka zote zinawasilishwa kwa CAG vyeti vya matibabu na madaktari walifanya...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yawasilisha hoja ya fidia

    Kamati ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama imewasilisha hoja maalum katika Kamati ya Bunge ya Uongozi kuhusu migogoro ya fidia kati ya wananchi na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). Akizungumza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Jumatatu Aprili 12 2021 Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

    Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa wabunge kutafakari sana kabla ya kuchangia hoja zao; Watanzania walilia watalia na wengi

    WABUNGE WETU MNAOTOA USHAURI JUU YA MIRADI ILIYOANZISHWA WAKATI WA HAYATI JPM TAFAKARINI SANA KABLA YA KUONGEA. Nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa muda sasa ila ninachokiona kinasikitisha sana. Wabunge wengi wanaoshauri wanatoa ushauri kama hawakuwepo kabisa Tanzania na ndiyo wanaona yanayotokea...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nasimama kuhesabiwa: Hakuna mradi hata mmoja wa hayati Magufuli niliouunga mkono na hoja nilizotoa ndizo za leo

    Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli. Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule...
  12. Dam55

    JamiiForums Tanzania Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

    Wasalaam wakuu, Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi. Katiba yetu iko wazi jinsi...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mdude Nyagali kuanza kujitetea kwa hoja nzito Mahakamani apigwa na kuteswa zaidi Gerezani kwa madai ya kuisumbua Serikali

    Madai haya mapya yametolewa mahakamani jijini Mbeya , ambako Mdude Nyagali anaendelea kujitetea dhidi ya tuhuma za uongo alizobambikiwa kinyama za madawa ya kulevya . Mdude amedai mbele ya Mahakama huku machozi yakimtoka kwamba , baada ya kuanza kujitetea tarehe 25 march 2021 , na kesi yake...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hasara za kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kumshambulia mtu badala ya hoja zimemmaliza Tundu Lissu baada ya Mtesi wake kupumzika

    Hoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa kufanya kampeni mpaka usiku ilikuwa kila anapopst ujumbe lazima uambatane na kejeli kwa mwendazake...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katazo Batili la Mikutano ya kisiasa liondolewe ili kurudisha nchi yetu kwenye mapambano ya hoja

    Mwalimu Nyerere aliwahi kunukuliwa miaka kadhaa iliyopita akitamka kwamba " CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI " hapa alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa unategemea na harakati za kisiasa za chama husika kwa kunadi sera zake hadharani kwa wananchi kwa kutumia...
  16. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja ya Rais Mama Samia, ninadhani hoja ya Dkt. Kigwangalla tulitumia rungu kumdhibiti

    KIGWANGALA alitoa hoja ya namna anavyodhani tunaweza kukabiliana na corona kwa sasa. Kwenye hoja zake alisema haoni hata umuhimu wa tanuru la kujivukiza pale hospitali ya Mhimbili. Wakati wa uchangiaji wa hoja ya Mhe Kigwangala wengi walimshambulia personal na kusema kuwa kwa nini hakushauri...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

    Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania TZ Trends & Analysis: Hoja 30 za The Economist Kumhusu President Samia. Kuna za Kweli, za Uongo na Uzushi na Kutaka Kumpangia Watakacho Mabeberu, Jee?

    Wanabodi, Salaam, Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis. Kwenye print media ndio...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ni yapi maoni ya wabunge wa CCM kuhusu hoja ya makusanyo ya Kodi iliyotolewa na Mhe. Rais?

    Naanza kujiuliza upi msimamo wa Waziri wa Fedha kwenye kukusanya mapato? Bado ataendelea kusimamia mfumo wa mabavu? Makamu wa Rais pia alikuwa Waziri wa Fedha wakati wafanyabiashara wananyanyaswa, leo trilioni mbili anazoelekeza litakusanywa kwa mfumo wa zamani au njia aliyoelekeza Rais...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tutakukumbuka Mzalendo ambaye hukupenda kusikia ukweli na hoja kinzani

    Mwaka 2015 mara baada ya Mh. Rais kuapishwa, kila mwezi takwimu zenye kuvunja rekodi kuhusu makusanyo ya kodi zilikuwa zikitangazwa na watu wakiweka vifua mbele kwamba nchi yetu inaelekea kuwa donor country. Muda ulivyozidi kwenda, tulishuhudia sekta mbalimbali zikisinyaa. Biashara za kati...
Back
Top Bottom