Mimi nawajua hawa jamaa vizuri wao wanayo namna ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia udhaifu na makosa ya CCM. CCM ikijisahau na kufanya makosa kwa kuruhusu ufisadi basi hapo ndipo hukomaa na kusimamisha misuri ya shingo.
CCM isipotekeleza sera na ilani ya uchaguzi vizuri. Wao hushupaza...
"Ndugu washiriki kwa busara za mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kufanya uamuzi kwamba mwaka huu tuuadhimishe muungano kwa kufanya kongamano, ameagiza kwamba fedha zilizokuwa zitumike kwenye sherehe ya muungano mwaka huu zitagawanywa kwenda pande zote mbili za muungano na kila upande...
Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais Samia Hassan ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, kama Rais mwenyewe alivyoahidi kukutana na wanasiasa...
Rais Samia Suluhu ameonesha nia ya dhati ya kutaka kufanya kazi na upinzani. Tunaamini Mhe.Rais atakapokutana na viongozi wa vya upinzani watajadiliana mengi hususani mambo yatakayokuza na kuimarisha ushirikiano na demokrasia. Kwa tathmini fupi niliyofanya nimegundua Rais wetu anapenda muafaka...
Leo hii Wapinzani wanafikia hatua hata kukosoa kufutwa kazini wenye Vyeti fake. Wanaona ilikuwa ni makosa wenye vyeti fake kufutwa kazi.
Kuna mambo ambayo huwa kiuhalisia yanatia aibu sana mustakabali wa Siasa za Taifa hili. Miaka zaidi ya 25 ya siasa za Uchaguzi wa vyama vingi bado wapinzani...
Chama cha CHADEMA kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe lililopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma.
Jimbo la Muhambwe liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge Atashasta Nditiye kufariki dunia Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma alikokuwa...
Kama kuna mdau humu atufikishie hili bungeni.
Bunge lione umuhimu wa kuboresha sheria za uongozi wa Umma.
Ili pamoja na mambo mengine kigezo cha Mali kitumike kwanza kumuweka mtu katika uongozi.
Tuache kabisa hii tabia ya kuwapa uongozi watu maskini kwasababu hawana mbinu ya kutufikisha...
Ndugai asiposikia tena hili ndo basi tena. Sauti ya leo ni sauti ya mwisho na asipoelewa atakuwa na tatizo la akili. Wananchi wamesema kwa muda mrefu, wataalamu wamesema, viongozi wa dini wamesema. Lakini ni kama ameweka pamba masikioni. Sasa amezungumza raia namba moja. Ndugai achague kusuka au...
Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.
Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
Kuna hoja nimekuta watu wanaongea, ni kuhusu kile ambacho mama amesema waziri wa fedha akakae na mwenzake wajadili na kusuluhisha katika kero za muungano. Ninaupenda sana Muungano,ninauunga mkono. lakini, nilijiuliza kitu kimoja, mimi kama mtu wa bara sitaki tupigwe pia kama wazenji wasivyopenda...
Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea!
Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
Kama mnakumbuka CAG Prof.Assad alihoji malipo ya matibabu ya Spika zaidi ya dola 12,000,000 mwaka 2017.
Mpaka leo CAG hajajiridhisha na malipo Ndugai hajapeleka nyaraka kufunga hoja.
Humu JF tunataka kuona nyaraka zote zinawasilishwa kwa CAG vyeti vya matibabu na madaktari walifanya...
Kamati ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama imewasilisha hoja maalum katika Kamati ya Bunge ya Uongozi kuhusu migogoro ya fidia kati ya wananchi na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Akizungumza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Jumatatu Aprili 12 2021 Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka...
Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa...
WABUNGE WETU MNAOTOA USHAURI JUU YA MIRADI ILIYOANZISHWA WAKATI WA HAYATI JPM TAFAKARINI SANA KABLA YA KUONGEA.
Nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa muda sasa ila ninachokiona kinasikitisha sana. Wabunge wengi wanaoshauri wanatoa ushauri kama hawakuwepo kabisa Tanzania na ndiyo wanaona yanayotokea...
Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli.
Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule...
Wasalaam wakuu,
Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi.
Katiba yetu iko wazi jinsi...
Madai haya mapya yametolewa mahakamani jijini Mbeya , ambako Mdude Nyagali anaendelea kujitetea dhidi ya tuhuma za uongo alizobambikiwa kinyama za madawa ya kulevya .
Mdude amedai mbele ya Mahakama huku machozi yakimtoka kwamba , baada ya kuanza kujitetea tarehe 25 march 2021 , na kesi yake...
Hoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake
Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa kufanya kampeni mpaka usiku
ilikuwa kila anapopst ujumbe lazima uambatane na kejeli kwa mwendazake...
Mwalimu Nyerere aliwahi kunukuliwa miaka kadhaa iliyopita akitamka kwamba " CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI " hapa alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa unategemea na harakati za kisiasa za chama husika kwa kunadi sera zake hadharani kwa wananchi kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.