hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Survival “skills” kwa Wanaume

    Hizi ni skills ambazo ni lazima mwanaume uwe nazo. 1. Mwanaume lazima ujue kupika. Kupika sio kazi ya wanawake wala sio gender role hii. Haya ni maarifa anayotakiwa kua nayo kila mtu. Kuna watu waliamua kuoa tu kwa sababu wanataka mtu wa kuja kuwapikia. Maana yake kama wangekua wanajua kupika...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ya kuchinja watu kiroho, imekaaje kisheria?

    Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa. 'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi. Kilichonishtua Mwanamama mmoja jasiri...
  3. JamiiForums Tanzania Jamani bei hizi za mafuta

    Rais wa Tanzania ,Waziri wa chakula,hizi bei za bidhaa hizi mnaziona ?Bei ya ngano mumeiona?Bei za nondo mumeziona ? Je kama mlipigiwa kura na watanzania mnaona haya maisha kwa raia wenu ni sawa ?Mnampango gani nahali ya mfumuko wa bei za bidhaa ambazo huku mtaani ni balaaaaaa.
  4. JamiiForums Tanzania Enzi hizi za mitandao watu wanashindwa kabisa kutunza siri

    Siku hizi watu hawawezi kabisa kutunza siri. Kila mtu anataka aonekane anajua kitu fulani kuhusu mtu fulani. Anaona akikisema au kukishea na wengine anaona kama amekuwacool au anapata sifa. Mwambie mtu ishu ndogo tu kesho utashangaa kila mtu anajua. Haiwezekani kabisa kuwa na maongezi kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Yesu angezaliwa na kumtumikia Mungu zama hizi za leo maana yake angefungwa Segerea nasio kutundikwa msalabani.

    No OFFENCE NO OFFENCE Naomba mada isichukuliwe tofauti na pia niweke bayana baadhi ya mambo. Kwanza mimi ni mbatizwa kwa Jina la Joseph ( na sijui kwa nini sisi wenye majina yetu asili uwa tunapewa majina mengine, sitaki kuamini kama Mungu ni mbaguzi kiasi icho). Nilibatizwa mpaka kupata...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ajali za kila mara vipi tena, ni wapi tunakosea?

    Wimbi la ajali linaomgezeka, salamu za pole za Rais zinatolewa, watu tunahuzunika tunasahau Mara ghafla paaap, ajali nyingine tunahuzunika tunasahau. Miaka mitano iliyopita ajali zilielekea kupungua hasa zile zinazopoteza uhai wa watu mengi, ni wapi tumelegea, wenye dhamana mko wapi, hatutaki...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi sikilizeni matakwa ya Wananchi, zama hizi Tofauti

    Kumekuwa na kusigishana baina ya viongozi na wananchi kwa sababu ya tofauti za kimitizamo. Hii imeshuhudia kwenye maeneo mengi. Tokea mto Mara, Katiba Mpya, wamasai Ngorongoro, dhuluma za polisi, nk. Tofauti ni jambo la kheri ila ikumbukwe mwananchi ndiye anapaswa kutamalaki. Viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

    Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time. Don't marry for love but marry for your personal interests which have nothing to do with love. Kama ukioa for ur personal interests basi...
  9. JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

    Steve Nyerere anazungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 22, 2022 “Nawashukuru wasanii wenzangu na Watanzania wote kwa mchakato ambao ulikuwa unaendelea na bado utaendelea. “Muungano na ushirikiano wetu ndiyo utatutoa na kutufikisha mbali, kama tukishikamana tukatoa mioyo yetu chuki...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hizi tigo pesa,mpesa, airtel money kiwango cha mwisho kuweka kwa siku ni shilingi ngapi?

    Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani? Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida? Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa videos zile mbili MO Dewji na GSM wakipiga danadana, nazidi kuthibisha simba tunapigwa kweupe

    Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli. Tukija kwa tajiri yetu MO...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Juzi kati niliona memba humu JF akiandika juu ya taarifa za kemikali zenye sumu kutoka mgodini zilivyoharibu mazingira kwenye Mto Mara na kusababisha vifo vya samaki na pamoja maji kuwa meusi. Baadaye habari hiyo ikasambaa na kuwa kubwa mwisho Serikali ikiingilia kati na kufanya uchunguzi...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

    Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu. Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na...
  14. JamiiForums Tanzania Shule za siku hizi hatuendi kutoa ujinga kama zamani

    Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga. Imepitwa na wakati. Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga. Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu hizi, nalazimika kuamini Zanzibar hawana tatizo la Ajira

    Poleni na majukumu wakuu na hope mko na afya njema, wanaosumbulia na maradhi namuomba mwenyezi MUNGU awaponye na warudi kwenye hali zao za kawaida. Basi bhana! Wazo la kuandika uzi huu limekuja baada ya kuingia huko ajira portal nikiwa ninadhumuni la kuangalia matokeo ya written interview ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ukitumia ugonjwa kuombaomba fedha mtaani, adhabu ni jela miaka 3 au faini Milioni 5

    Machi 7, 2022 niliweka uzi hapa kuhusu watoto kuhusika katika biashara ya kuombaomba mitaani hasa kwenye miji mikubwa. Justine Kaleb ambaye ni Wakili wa Kujitegemea na Mwandishi wa Vitabu vya Sheria, kutoka Kampuni ya Mawakili ya Moriah Law Chambers alifafanua kwa undani kuhusu hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ada za Shule ya ST Mary's, Uleta na ST Mary Goleth

    Habari wana jf. Mimi ni mzazi na nategemea mwanangu kuhitimu daresay la 7 mwaka huu hivyo kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mwaka 2023. Ningependa kujua makadirio ya Ada katika shule hizi mbili za St. Mary's ile ya ULETE IRINGA na MARY GOLETH YA MOSHI Ahsanteni
  18. JamiiForums Tanzania MSAADA : Naombeni Direct Link za Hizi Movies TERMINATOR & SUPERMAN Part Zote Wakuu.

    Heshima kwenu wakuu. Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho. Najua wadau mtanipa muongozo ili niweze kuzi-download mwanzo mpaka mwisho wakuu. Natanguliza shukran zangu za dhati...
  19. JamiiForums Tanzania Je wewe ni mkongwe wa shamba au wa mjini? Umeona sinema ngapi kati ya hizi? Watoto nyie subirini kuangalia seasons

  20. JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947 Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s Salender Bridge 1960s Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!! Seaview-Mawingu House 1960 Arusha-Clock Tower 1966 Dodoma City Center 1974 Bukoba City...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…