AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,536
- 4,513
Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga.
Imepitwa na wakati.
Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga.
Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena uliosokomezana.
Hii elimu ni ujinga...Ukitaka kuamini angalia wingi wa wajinga waliojaa mtaani kwa kukosa ajira.
Elimu ya zamani ndio iliyokuwa inatoa ujinga...Sasa hivi yajaza ujinga tu.