Hizi tigo pesa,mpesa, airtel money kiwango cha mwisho kuweka kwa siku ni shilingi ngapi?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,516
Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani?

Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida?

Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka milioni 5 ama zaidi kwa siku moja ?
 
Nijuavyo mimi mwisho ni milion 3 labda kama wameongeza siku za karibuni hapa sijajua
 
Mwisho milioni 3 kuweka ama kutuma kwa mtu kwa siku. Umeshawai kuweka zaidi ya milion 3 ikakugomea ama ?

Naomba experience yako nje ya kusikia.
 
Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani?

Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida?

Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka milioni 5 ama zaidi kwa siku moja ?
Peleka kanisani
 
Mwisho milioni 3 kuweka ama kutuma kwa mtu kwa siku. Umeshawai kuweka zaidi ya milion 3 ikakugomea ama ?

Naomba experience yako nje ya kusikia.
Kwasasa unaweza kuweka milioni 10 ila kutuma kwa siku unaweza kutuma mwisho 5M
 
Back
Top Bottom