Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time.

Don't marry for love but marry for your personal interests which have nothing to do with love.

Kama ukioa for ur personal interests basi hata single mother mwenye watoto watano Kila mmoja Na baba ake unaweza kumuoa as long as ur union with her will guarantee ur personal interests.

Mwanamke haolewi Kwa Sababu ya kuwa Na mapenzi kwake. Mwanamke anaolewa Kwa Sababu ambayo haihusiani Na mapenzi kabisa.

Asilimia kubwa ya wanaume wanao lalamika kutendwa Na wake zao , waliwaoa wanawake Hao Kwa Sababu za kitoto kama tajwa hapo juu..

Wanaume wanao waua wake zao Kwa wivu wa kimapenzi nk waliwao wanawake Hao Kwa Sababu waliwapenda Sana ..

MWANAMKE ANAPASWA KUOLEWA KWA MOJAWAPO KATI YA SABABU ZIFUATAZO

Sababu zipo nyingi Sana nyingine utajaziliza mwenyewe.

1. UNAMUOA KWA SABABU UNATAKA MAKARATASI: Wewe ndio huyo upo zako Marekani, ndoto yako ni kuwa na uraia WA Marekani , njia rahisi ya wewe kutimiza ndoto zako ni kuoa mwanamke raia WA Marekani. So unaoa mwanamke wa kimarekani sio Kwa Sababu unampenda ila Kwa Sababu unataka kupata uraia wa Marekani. Hapo Sasa wewe ndio umeoa

2. WA KUKUTOLEA DHAMANA POLISI AU MAHAKAMANI

kwenu Songea umekuja dar kutafuta Maisha huna shughuli rasmi Wala huna ndugu dar, Na Kwa nature ya Kazi zako unaweza kuwa mikononi mwa vyombo vya dola at any given time so unaoa mwanamke ambae atakuwa anakuja kukutolea dhamana polisi au MAHAKAMANI in case umepata tatizo..

Huyo mwanamke utakae muoa atapaswa kuwa mkaazi wa dsm mwenye extended family yake ndani ya dsm. Ukiwa katika kundi hili Na ukawa umeoa mwanamke WA Aina hii bila Shaka utamuheshimu Sana and u can forgive even adultery Kwa Sababu wewe unacho kitaka ni MTU wa kuwa anakusaidia ku organise bail unapokuwa matatani.

Na hapo namzungumzia kijana anae fanya kazi halali kabisa ingawa sio rasmi kama vile umachinga, ufundi n.k . Ama Kwa kijana anae fanya shughuli za mission town basi ikiwezekana amtafute hata shemeji yake Na IGP

3. KWA SABABU UNATAKA MBEGU YAKE: Mfano wewe ni mfupi , unataka kupata watoto warefu , basi nenda pale South Sudan tafuta binti mrefu oa au unataka kuwa na watoto chotara basi unaoa mzungu au mwarabu.

4. WA KUKUHUDUMIA MARADHI AU UZEE : Kama alivyo fanya Mzee Mrema au Mfalme Daud ( 1 wafalme 1:4)

5. KWA SABABU UNATAKA WATOTO FULL STOP

Mwanamke ni shamba linalo tembea. Tofauti Kati ya mwanamke na shamba la babu yako analotumia kulima mbilimbi huko kijijini kwenu Isungachupi ni kwamba Hilo Shamba la babu yako halijijui kama lina exist lakini mwanamke yeye yupo conscious kwamba ana exist.

Wewe Ni mkulima mwenye jembe ( dushe) Ili uitwe mkulima bora ni lazima upate mazao Tena yaliyo Bora . So unahitaji kupata shamba Zuri lililo Na rutuba upande mbegu zako ziwe incubated for 9 months Kisha upewe zao au mazao yako.

So unapoenda kuchagua Shamba Kwa ajili ya Kupanda mbegu zako unatakiwa kuzingatia kanuni ya UDONGO NA MBEGU kanuni ya UDONGO NA MBEGU inasema kwamba ili upate mazao Bora Ni lazima upande mbegu zako kwenye ardhi nzuri.

Ukipanda mbegu zako kwenye shamba lenye ardhi nzuri utapata mazao Bora Kwa Sababu mbegu zako zitakuwa favoured Na ubora wa udongo lakini ukipanda mbegu zako kwenye udongo mbaya basi utapata mazao mabaya au hutopata mazao kabisa..

So ninacho kihitaji kutoka kwake sio heshima Wala mapenzi. Ninacho kitaka kutoka kwake ni watoto. Mkulima sihitaji shamba langu linipende Wala liniheshimu . Ninacho hitaji ni mazao Tu. Heshima akimuheshimu baba Ake inatosha. Kupenda akimpenda mama ake inatosha pia.

The only real thing that u can get back from ur woman is ur children. Other things are nothing but fake and fake only.

Sababu nyingi mno nyingine unaweza kuongezea wewe mwenyewe..

Kikubwa usioe Kwa Sababu eti umempenda mwanamke huyo
Oa Kwa Sababu tofauti na kupenda/mapenzi . Wewe ndio utakuwa umeoa Kwa Sababu ambazo ni sahihi.

Hata wanawake huwa hawaji kwenye ndoa Kwa Sababu eti anakupenda. Noope huja Kwa Sababu tofauti kabisa ambazo hazihusiani na mapenzi kama vile kufuata Mali, urahisi WA Maisha, watoto wake kusoma n.k( Joyce Kiria anasema alikubali kuolewa Na DJ Nelly Kwa Sababu hakuwaga na Kodi ya nyumba so aliamua kuolewa ili akae sehemu bila kulipa kodi

View attachment 2163737

Screenshot_20220325-093644.png
 
Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa.

Mwanamke haolewi Kwa Sababu ya kuwa Na mapenzi kwake. Mwanamke anaolewa Kwa Sababu ambayo haihusiani Na mapenzi kabisa.

Asilimia kubwa ya wanaume wanao lalamika kutendwa Na wake zao , waliwaoa wanawake Hao Kwa Sababu za kitoto kama tajwa hapo juu..

Wanaume wanao waua wake zao Kwa wivu wa kimapenzi nk waliwao wanawake Hao Kwa Sababu waliwapenda Sana ..

MWANAMKE ANAPASWA KUOLEWA KWA MOJAWAPO KATI YA SABABU ZIFUATAZO

Sababu zipo nyingi Sana nyingine utajaziliza mwenyewe.

1. UNAMUOA KWA SABABU UNATAKA MAKARATASI: Wewe ndio huyo upo zako Marekani, ndoto yako ni kuwa na uraia WA Marekani , njia rahisi ya wewe kutimiza ndoto zako ni kuoa mwanamke raia WA Marekani. So unaoa mwanamke wa kimarekani sio Kwa Sababu unampenda ila Kwa Sababu unataka kupata uraia wa Marekani. Hapo Sasa wewe ndio umeoa

2. WA KUKUTOLEA DHAMANA POLISI AU MAHAKAMANI

kwenu Songea umekuja dar kutafuta Maisha huna shughuli rasmi Wala huna ndugu dar, Na Kwa nature ya Kazi zako unaweza kuwa mikononi mwa vyombo vya dola at any given time so unaoa mwanamke ambae atakuwa anakuja kukutolea dhamana polisi au MAHAKAMANI in case umepata tatizo.. Huyo mwanamke utakae muoa atapaswa kuwa mkaazi wa dsm mwenye extended family yake ndani ya dsm. Ukiwa katika kundi hili Na ukawa umeoa mwanamke WA Aina hii bila Shaka utamuheshimu Sana and u can forgive even adultery Kwa Sababu wewe unacho kitaka no MTU wa kuwa anakusaidia ku organise bail unapokuwa matatani.

Na hapo namzungumzia kijana anae fanya kazi halali kabisa ingawa sio rasmi kama vile umachinga, ufundi n.k . Ama Kwa kijana anae fanya shughuli za mission town basi ikiwezekana amtafute hata shemeji yake Na IGP

3. KWA SABABU UNATAKA MBEGU YAKE: Mfano wewe ni mfupi , unataka kupata watoto warefu , basi nenda pale South Sudan tafuta binti mrefu oa au unataka kuwa na watoto chotara basi unaoa mzungu au mwarabu.

4. WA KUKUHUDUMIA MARADHI AU UZEE : Kama alivyo fanya Mzee Mrema au Mfalme Daud ( 1 wafalme 1:4)

Sababu nyingi mno nyingine unaweza kuongezea wewe mwenyewe..

Kikubwa usioe Kwa Sababu eti umempenda mwanamke huyo
Oa Kwa Sababu tofauti na kupenda/mapenzi . Wewe ndio utakuwa umeoa Kwa Sababu ambazo ni sahihi.

Hata wanawake huwa hawaji kwenye ndoa Kwa Sababu eti

A
Kweli Jombaa😎
 
Mkuu umenena eti unaoa Demu mzuri full shape, Sura na uzuri asilia unampenda kufa alafu ukifulia watu wanaanza kukuchapia utamu wako mwisho inakuwa Shida SASA.

Ndugu mm nataka niingie Uswisi Gia yakwanza nikifanikiwa kuingia naoa nieke mambo sawa Staki Ujinga
 
Mkuu umenena eti unaoa Demu mzuri full shape, Sura na uzuri asilia unampenda kufa alafu ukifulia watu wanaanza kukuchapia utamu wako mwisho inakuwa Shida SASA. Ndugu mm nataka niingie Uswisi Gia yakwanza nikifanikiwa kuingia naoa nieke mambo sawa Staki Ujinga
Yes mkuu mfano nataka kujifunza Siri ZA mafanikio ya biashara ya GSM basi nitafanya juu chini nimuoe Twaiba najua kupitia Twaiba naweza kupata ABC na Mimi nikazitumia kufanikiwa.
 
Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed to
Don't marry for love but marry for your personal interests which have nothing to do with love.

Kama ukioa for ur personal interests basi hata single mother mwenye watoto watano Kila mmoja Na baba ake unaweza kumuoa as long as ur union will guarantee it interests.

Mwanamke haolewi Kwa Sababu ya kuwa Na mapenzi kwake. Mwanamke anaolewa Kwa Sababu ambayo haihusiani Na mapenzi kabisa.

Asilimia kubwa ya wanaume wanao lalamika kutendwa Na wake zao , waliwaoa wanawake Hao Kwa Sababu za kitoto kama tajwa hapo juu..

Wanaume wanao waua wake zao Kwa wivu wa kimapenzi nk waliwao wanawake Hao Kwa Sababu waliwapenda Sana ..

MWANAMKE ANAPASWA KUOLEWA KWA MOJAWAPO KATI YA SABABU ZIFUATAZO

Sababu zipo nyingi Sana nyingine utajaziliza mwenyewe.

1. UNAMUOA KWA SABABU UNATAKA MAKARATASI: Wewe ndio huyo upo zako Marekani, ndoto yako ni kuwa na uraia WA Marekani , njia rahisi ya wewe kutimiza ndoto zako ni kuoa mwanamke raia WA Marekani. So unaoa mwanamke wa kimarekani sio Kwa Sababu unampenda ila Kwa Sababu unataka kupata uraia wa Marekani. Hapo Sasa wewe ndio umeoa

2. WA KUKUTOLEA DHAMANA POLISI AU MAHAKAMANI

kwenu Songea umekuja dar kutafuta Maisha huna shughuli rasmi Wala huna ndugu dar, Na Kwa nature ya Kazi zako unaweza kuwa mikononi mwa vyombo vya dola at any given time so unaoa mwanamke ambae atakuwa anakuja kukutolea dhamana polisi au MAHAKAMANI in case umepata tatizo.. Huyo mwanamke utakae muoa atapaswa kuwa mkaazi wa dsm mwenye extended family yake ndani ya dsm. Ukiwa katika kundi hili Na ukawa umeoa mwanamke WA Aina hii bila Shaka utamuheshimu Sana and u can forgive even adultery Kwa Sababu wewe unacho kitaka ni MTU wa kuwa anakusaidia ku organise bail unapokuwa matatani.

Na hapo namzungumzia kijana anae fanya kazi halali kabisa ingawa sio rasmi kama vile umachinga, ufundi n.k . Ama Kwa kijana anae fanya shughuli za mission town basi ikiwezekana amtafute hata shemeji yake Na IGP

3. KWA SABABU UNATAKA MBEGU YAKE: Mfano wewe ni mfupi , unataka kupata watoto warefu , basi nenda pale South Sudan tafuta binti mrefu oa au unataka kuwa na watoto chotara basi unaoa mzungu au mwarabu.

4. WA KUKUHUDUMIA MARADHI AU UZEE : Kama alivyo fanya Mzee Mrema au Mfalme Daud ( 1 wafalme 1:4)

5. KWA SABABU UNATAKA WATOTO FULL STOP

Mwanamke ni shamba linalo tembea. Tofauti Kati ya mwanamke na shamba la babu yako analotumia kulima mbilimbi huko kijijini kwenu Isungachupi ni kwamba Hilo Shamba la babu yako halijijui kama lina exist lakini mwanamke yeye yupo conscious kwamba ana exist.

Wewe Ni mkulima mwenye jembe ( dushe) Ili uitwe mkulima bora ni lazima upate mazao Tena yaliyo Bora . So unahitaji kupata shamba Zuri lililo Na rutuba upande mbegu zako ziwe incubated for 9 months Kisha upewe zao au mazao yako.

So unapoenda kuchagua Shamba Kwa ajili ya Kupanda mbegu zako unatakiwa kuzingatia kanuni ya UDONGO NA MBEGU kanuni ya UDONGO NA MBEGU inasema kwamba ili upate mazao Bora Ni lazima upande mbegu zako kwenye ardhi nzuri.

Ukipanda mbegu zako kwenye shamba lenye ardhi nzuri utapata mazao Bora Kwa Sababu mbegu zako zitakuwa favoured Na ubora wa udongo lakini ukipanda mbegu zako kwenye udongo mbaya basi utapata mazao mabaya au hutopata mazao kabisa..

So ninacho kihitaji kutoka kwake sio heshima Wala mapenzi. Ninacho kitaka kutoka kwake ni watoto. Mkulima sihitaji shamba langu linipende Wala liniheshimu . Ninacho hitaji ni watoto Tu.

The only real thing that can get back from ur woman is ur children. Other things are nothing but fake and fake only.

Sababu nyingi mno nyingine unaweza kuongezea wewe mwenyewe..

Kikubwa usioe Kwa Sababu eti umempenda mwanamke huyo
Oa Kwa Sababu tofauti na kupenda/mapenzi . Wewe ndio utakuwa umeoa Kwa Sababu ambazo ni sahihi.

Hata wanawake huwa hawaji kwenye ndoa Kwa Sababu eti anakupenda. Noope huja Kwa Sababu tofauti kabisa ambazo hazihusiani na mapenzi kama vile kufuata Mali, urahisi WA Maisha, watoto wake kusoma n.k( Joyce Kiria anasema alikubali kuolewa Na DJ Nelly Kwa Sababu hakuwaga na Kodi ya nyumba so aliamua kuolewa ili akae sehemu bila kulipa kodi

A

View attachment 2163737
Zote hazina mashiko. Kama ulichotaka ni kuandika juu ya Mrema, alipata shida ya kusimama, akijaribu kujiamsha, mara 5, huyo mkewe anamkodolea na kumwambia nini sijui.

Hiyo ya kwanza kuna wanaouliwa vile vile licha ya kwamba hazina uhalisia

Ya pili utaoa wangapi, kila sehemu unayoenda kuishi?
 
Ni kweli ulichosema, ila kuwe na mapenzi + vitu vingine, business partner, urafiki, wote wapenzi wa gym, financial and moral support nk. Mapenzi huchuja hivyo lazima na vitu vingine vinawaunganisha.
 
Sijasoma yote nimeishia pale uliposema wanaume wengi wanalalamikia ndoa ni wale waliooa ksbb anampenda na umeandika blah blaah nyingi. Umechemka sana.

Hakuna unachojua. Utafiti wako bure kabisa. Nitakuja nikufafanulia
 
Zote hazina mashiko. Kama ulichotaka ni kuandika juu ya Mrema, alipata shida ya kusimama, akijaribu kujiamsha, mara 5, huyo mkewe anamkodolea na kumwambia nini sijui.
Hiyo ya kwanza kuna wanaouliwa vile vile licha ya kwamba hazina uhalisia
Ya pili utaoa wangapi, kila sehemu unayoenda kuishi?
Ameandika kwa mihemko. Hakuna hata alipopatia
 
Hajapatia NN SASA hata Dini mojaa ya sifa ya mwanamke au mwanaume kuoa zipo hizo sifa sio uoe kisa uzuri wa Mtu eti unampendaaa

Acha hizo hata Mali, Sifa ya ukoo na mengineyo ndo nyinyi mnajiuaga kisa umesalitiwa Oa Kwa njia ujisaidie, msaidiane, au benefit yoyote Ile sio ufate matamanio ya nafsi ya Sura na shape
 
Hii paragraph imenichekesha sana 😂

"So ninacho kihitaji kutoka kwake sio heshima Wala mapenzi. Ninacho kitaka kutoka kwake ni watoto. Mkulima sihitaji shamba langu linipende Wala liniheshimu . Ninacho hitaji ni watoto Tu"
Ndio ukweli wenyewe mkuu.. halafu ngoja Ni edit nilimaanisha kusema ninacho hitaji Ni mazao tu
 
Hajapatia NN SASA hata Dini mojaa ya sifa ya mwanamke au mwanaume kuoa zipo hizo sifa sio uoe kisa uzuri wa Mtu eti unampendaaa Acha hizo hata Mali, Sifa ya ukoo na mengineyo ndo nyinyi mnajiuaga kisa umesalitiwa Oa Kwa njia ujisaidie, msaidiane, au benefit yoyote Ile sio ufate matamanio ya nafsi ya Sura na shape
Afadhali umesema wewe mkuu huyo jamaa ameujua ukweli lakini hataki kuukubali Kwa Sababu unamuuma Na labda amesha kosea kuoa tayari
 
Zote hazina mashiko. Kama ulichotaka ni kuandika juu ya Mrema, alipata shida ya kusimama, akijaribu kujiamsha, mara 5, huyo mkewe anamkodolea na kumwambia nini sijui.
Hiyo ya kwanza kuna wanaouliwa vile vile licha ya kwamba hazina uhalisia
Ya pili utaoa wangapi, kila sehemu unayoenda kuishi?
Umeona ya Mrema Tu mkuu vipi ya Mfalme Daud hujaiona? ( 1 wafalme 1:4)
 
Zote hazina mashiko. Kama ulichotaka ni kuandika juu ya Mrema, alipata shida ya kusimama, akijaribu kujiamsha, mara 5, huyo mkewe anamkodolea na kumwambia nini sijui.
Hiyo ya kwanza kuna wanaouliwa vile vile licha ya kwamba hazina uhalisia
Ya pili utaoa wangapi, kila sehemu unayoenda kuishi?
Uelewa wako upo chini Sana mkuu

Jielimishe acha uvivu

Mtoa maada ameeleweka vizuri mno

Nadhani hili ndio andiko Bora kabisa litakalowasaidia wanaume wanaotamani kuingia kwenye ndoa

Binafsi nitalitumia hili andiko

Asante mtoa maada
 
Back
Top Bottom