kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,182
- 15,622
Rais wa Tanzania ,Waziri wa chakula,hizi bei za bidhaa hizi mnaziona ?Bei ya ngano mumeiona?Bei za nondo mumeziona ? Je kama mlipigiwa kura na watanzania mnaona haya maisha kwa raia wenu ni sawa ?Mnampango gani nahali ya mfumuko wa bei za bidhaa ambazo huku mtaani ni balaaaaaa.