hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  2. JamiiForums Tanzania From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

    Huu ushauri wa ma legends kwenda kwa madogo kwenye game ya mapenzi na wanawake. Legend yeyote anaruhusiwa kutoa ushauri kwa hawa madogo wanauouana na kufa kila day sababu ya mapenzi. We legends we admit. Mapenzi yanauma sio siri. But legends have solutions for every thing. Uzoefu ni mwalimu...
  3. JamiiForums Tanzania Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

    1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari. 2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa 4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa 5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wako wapi siku hizi?

  6. JamiiForums Tanzania Siku hizi tumechoka kusafiri tena 'Majuu' au wenyeji wetu wapo 'busy' na wanaona tunawaharibia tu Ratiba zao Muhimu?

    GENTAMYCINE sijasafiri muda mrefu sasa kwenda 'Majuu' sijui nimechokwa au? Ngoja nilazimishe sasa kwenda hata China kwa Makamarada (Comrades) na wao wakinikataa nitaomba kwenda Ukraine au Urusi (kwenye Vita) japo naogopa Kufa kwani naivizia sana 2025 ili nami niweke Historia yangu na siyo...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

    Wananchi wameketa jezi mpya zenye viwango vya dunia hakika Rais wetu anafanya kazi kubwa sana.
  8. JamiiForums Tanzania Ulikuwa unatembea kilomita ngapi kwenda shuleni? Nilikuwa natembea hizi

    Leo nimepima umbali niliokuwa natembea kwenda shuleni sekondari kila siku. Kilomita tano! Kwenda na kurudi 10km. Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.
  9. JamiiForums Tanzania Je, mila hizi zina maana gani?

    Kuna vitu mpaka kufkia utu uzima wangu huu nimeshaviona ila sijawai kujua maana yake. Bila kupoteza muda; Cha kwanza ni hii ya wauza maduka kutokuuza sindano majira ya usiku. Hii niliithibitisha mimi kwenyewe siku moja. Nilitoka usiku kwenda dukani kununua sindano, nikaenda duka la kwanza(kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Shuhuda hizi ni za mchongo?

    Nina mashaka na shuhuda za wachakata mbususu humu ndani, sifa za mabinti wanazotoa mara zote zinafanana tako la kwenda, uzuri wa sura, sauti nzuri, shepu nzuri, guu la bia n.k. Kwamba hamjawahi kuchakata za dada zetu wenye sura ngumu? Hamjawahi kuchakata mbususu za wakina dada wenye english...
  11. JamiiForums Tanzania Siku hizi Baraza la Mawaziri halikai?

    Wadau nina siku nyingi sana nazani takribani mwaka mzima bila kuona Baraza la Mawaziri likiwa limeketi. Wanakaa kwa siri? ama siku hizi halipo? Embu wakae wajadili walau hari ya chakula hapa nchini na maisha magumu kwa wananchi. Huku mtaani kama uchaguzi ukiitishwa leo CCM watatafutana...
  12. JamiiForums Tanzania Diploma za siku hizi za ajabu sana

    Unakuta mtu ana D zake mbili. Anaenda chuo, labda cha kilimo au afya. Anapiga mwaka mmoja Anapewa certificate. Hapo anaweza kwenda kuajiriwa nk. Lakini akiongeza mmoja anakuwa na Diploma. Sasa hii diploma inakuwaje? Maana kawaida syllabus ya diploma na certificate huwa tofauti kabisa. Kuanzia...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wizara ya Kilimo hizi hapa

    Mkuu SHOMBE la Kisomali, uwanja wako wa nyumbani huu sasa.ushindwe mwenyewe kujidai
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta hizi kofia

    Habari ya muda huu wana Jamiiforums, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza., nahitaj kufahamishwa ni maduka gani/wapi naweza pata hizi kofia kwa hapa Tanzania.
  15. 5

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB), mfumo unasumbua kujaza fomu online

    Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali? Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa complicated kiasi hichi nina lisit ya wanafunzi tele hapa imegoma eneo hilo. Simu za bodi hazipatikani.
  16. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Instagram page za Timu Kubwa vs Timu zetu, umegundua nini?

  17. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuamini kama kuna mke mwema mwenye tabia hizi

    Habari ya asubuhi, Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya 1. Wanaofanya Jogging Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu udnunguazi wa makundi makundi jua hauko peke yako na hata ukipata mwanamke humu basi wakumaliza...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wataalam wa Smartphone kati ya hizi simu

    Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e Nokia/Lumia Samsung/Galaxy S6 Tecno/H6, wx3, F1, J8 ... Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10 Naomba ushauri kati ya hizi OnePlus Ace Realme GT Neo 3 Galaxy S10 used Bei zinalingana tu
  19. JamiiForums Tanzania Hizi Gari 110 na Land Cruiser zenye Plate Number za herufi za UW ni za Taasisi gani?

    Halafu ni kwanini Madereva Wao na hata Watu wanaokuwemo Siti ya Mbele mara zote tu huwa ni Watu wa Kununa ( Usununu ) na hawana hata dalili za kutoa Tabasamu?
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hizi zilizowekwa katika barabara za miji ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au Kitu gani?

    Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…