hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanatendwa na michepuko kuwaharibia ndoa zao, tuwasaidie

    Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa Mpaka naanza waza au michepuko kuna dawa wamegundua wanawawekea waume wa watu wakirudi kwao jogoo asiwike? Kwanini...
  2. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Hizi kelele kelele za Henock Inonga imeitwa kwajili ya World cup 2022 au mechi mechi za kirafiki tu

    Kuuliza si ujinga
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kama una gari hizi Prado 95 au Prado 120 (diamond) pitia hapa upate moja mbili, ikuingizie kipato

    Kuna Watu Mmejaaliwa vipandwa na miongoni mwa vipandwa hivyo ni aina ya hizi gari PRADO 95 (MCHAGA),PRADO 120 (DIAMOND) Hizi gari zinaweza kukusaidia kuingiza kipato kwa kukodisha kwa watu binafsi au Makampuni Mie ni Dereva wa tours kwa miaka kadhaa sasa na utafiti Wangu nilioufanya ni kua Gari...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeenda! Imeenda! Hiyo Imeenda! (Naomba Tafsiri Ya Salamu Hizi)

    Kuna chemistry kati ya watu hawa wawili?
  5. Superfly

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vingi vya habari siku hizi vinareport sana matukio ya Mauaji na Vifo?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

    Kwema wakuu, Yapata miezi 4 sasa tangu watu tutume applications za taasisi tajwa hapo juu lakini wahusika ni wako kimya tu hawaiti watu kwenye usaili. Hivi karibuni zimeibuka tuhuma mbalimbali kutoka kwa wadau kuwa kuna watu kutoka hizo taasisi tajwa hapo juu wameajiriwa kimya kimya bila hata...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'Gynaecologists' mlioko hapa JamiiForums hili tatizo la 'Tamu' nyingi Siku hizi Kutema sana inatokana na nini?

    Na hili tatizo la Tamu nyingi Kutema limeanza hasa hasa miaka hii ya karibuni ila Tamu za miaka ya kuanzia 1999 kurudi nyuma ilikuwa ni Nadra kuzikita "zikitema' ila za kuanzia miaka ya 2000 hata kabla hujazila tayari zinakukaribisha kwa 'Kutema' Kwake. Hebu tusaidieni tafadhali ili litatulike.
  8. Ituzaingo Argentina

    JamiiForums Tanzania Jersey kama hizi nitazipata wapi wakuu?

    Kwema wakuu? BOCA JUNIORS wana jezi kali sana , nitazipata wapi kwa hapo dar?
  9. FourTwoNet

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi R na L zimetukosea nini?

    Sipati picha kama JF wangekuwa wameandika jina lao kama "Jamii Folums" ingekuaje. Au jukwaa hili jina lingeandikwa "Habali na Hoja mchanganyiko sijui ingekaaje hiyo. Inaeleweka kwamba kila mmoja ametoka maeneo tofauti, hivyo lugha zetu za mama zinaweza kuchangia namna tunavyoweza kutamka na...
  10. Mkurya romantic

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unashindwa Kuweka Akiba Ya Kipato Chako Kidogo? Tumia njia hizi

    “Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya kazi za kipato cha chini. Ingawa kuweka akiba ni mtihani mkubwa kwa watanzania wengi, lakini ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Why Matola must go, sababu hizi hapa

    Yes Matola amekuwa kocha msaidizi muda sasa! Ili Simba ibadilike inahitaji kocha msaidizi mwingine ili kuja na mawazo mapya MATOLA hana mbinu za kumsaidia mwl refer mechi ya YANGA vs SIMBA tukapoteza matola hakumsaidia ZORAN MATOLA amezoeana sana na wachezaj wengi wa SIMBA inafikia wakati...
  12. mpasta

    JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi matangazo ya kampuni za BETTING yameshamiri sana?

    Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri... Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi laua watu 46 China

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46. Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima. --- Earthquake in...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  15. Daniel Levert

    JamiiForums Tanzania Hizi bei zinatutesa sana

    Hivi ghala za taifa kwa sasa zina chakula cha kutosha siku ngapi?🧐
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nchi tano zenye unafuu wa tozo

    Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani Chanzo: Getty images Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, chama kinachojali wanyonge na masikini kisingekubali tozo kama hizi. Hii sio CCM aliyoiasisi Mwl. Julius

    Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi! Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kwa tabia hizi, Ewe Kondakta wa daladala badilika

    Habari za wakati huu wana jamii forum. Ni siku nyingine tena ya kuelimishana ili kila mmoja wetu aweze kuwajibika kwa nafasi aliyokuwa nayo katika jamii. Leo ningependa kuongea na baadhi ya kondakta wa daladala ambao kiukweli wanapaswa kujirekebisha kwenye baadhi ya maeneo. Kila kazi ina...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania January Makamba alituambia alifanya ukarabati wa miundo mbinu ya umeme iliyochakaa. Sasa hizi hitilafu na katikakatika ya umeme inatoka wapi?

    Tuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu. Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao. Mbaya zaidi umeme unakatika na kurudi ghafla kiasi cha kuharibu vifaa vya umeme vya watu.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tumeshamaliza Sensa ya 'Mibichwa' yetu, na sasa Sensa hizi zinafuata ili Watanzania tuanze kuwekewa Tozo mpaka ya huu Upumuaji Wetu

    Ya Watu ( Mibichwa ) yetu inamalizika rasmi ( Kikanuni ) leo na leo hii hii tena inaanza ya Nyumba zetu ( zenu ) na baada ya hapo jiandaeni kwa Sensa za haya yafuatayo..... 1. Sensa ya Walio na Akili na Wasionazo 2. Sensa ya Wanaotumia Condoms na Sisi Wazee wa Kugongesha Besela ( Tulioapa...
Back
Top Bottom