hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October

    Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October ich
  2. Unahitaji funguo ya ushindi wa yanga kimataifa? Well ni hizi hapa..

    Wakuu i salute you kinsmen Mimi kama mimi mwenyewe nimafuatilia sana team yetu tangu mwanzo mwa msimu na mara kadhaa niligusia swala moja moja ila leo nitagusia yote yanayotukwamisha kwa namna moja au nyingine hapa. 1: KOCHA WA FITNESS. ndugu zangu tangu mwanzo ilionekana huyu kocha wa viungo...
  3. Msaada kwa wajuzi: Je hizi brake pads bado zipo vizuri au zimekwisha?

    Wadau wa spare za magari, naombeni mnijuze kuhusu hizo brake pads kama bado zinaweza kutumika au zimeisha kabisa. Ni Toyota genuine parts
  4. Nimeachana na wanawake wawili kwa sababu ya kauli hizi za kipumbavu

    Mmoja nilimwambia kwa kilichotokea ni kikubwa sana bado hapajatulia - akanijibu' YALIYOTOKEA YAMETOKEA NA YAMESHAPITA TANZANIA NI SALAMA NA MAISHA YANAENDELEA MSIKUZE MAMBO. baada ya hapo nikamblock. Mwanamke asie na huruma anaweza hata mimi akaniwekea sumu, halafu huyu ni single mother njaa...
  5. 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  6. GE2025 Wanaompongeza Samia, waambatanishe na picha hizi

    Ni dhahili bila shaka, wale wote wanaompongeza rais Samia, au wanaofurahia ushindi wa Samia, Wasiacha kutembea na picha hizi vifuani mwao. Furaha ipo wapi? Je, Mtahudhuria mazishi au mtaacha waliwe na kunguru? Nini kosa la hwa watoto? Naamini sasa mtakula na kula kwa furaha.. Binadamu...
  7. Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  8. M

    Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

    Taarifa za ndani zinazotufikia si rafiki sana. Inadaiwa…
  9. M

    Tetesi hizi: Ester Bulaya yupo wapi?

    Taarifa kuhusu yeye si nzuri sana
  10. Sasa wewe Murilo, Umeshasema Umemkamata Niffer, Lakini mpaka Sasa Ndugu wanazungushwa Kila Kituo, Hizi Degree zenu za Sheria mnazinunuaga?

    Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani . Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
  11. M

    Ikitokea umeibiwa simu, zingatia hatua hizi

    Watu wengi wanaoibiwa simu hujikuta katika hali ya matumaini ya kukuipata simu haraka iwekenavyo huku wakisahau kuwa wezi wa simu nao huwa na mbinu mbalimbali ambazo huzitumia ili simu waliyoiba isipatikane kirahisi. Sasa ikitokea umeibiwa simu, fuata hatua hizi Hatua za Haraka Tulia na...
  12. Hizi ndio wizara ngumu ambazo zinahitaji mtu aina ya Magufuli kuziongoza

    Niaje waungwana Siku ya leo ningependa kuangazia wizara 2 ambazo ni ngumu kiutendaji, na zinahitaji mtu aina ya Magufuli kuziongoza ili zilete ufanisi, au matokeo chanya kwa wananchi na serikali kwa ujumla. Wizara hizo ni Wizara ya Ujenzi inayoongozwa na Mheshimiwa Abdallah Ulega. Na Wizara ya...
  13. Baada ya Aggrey kushinda tuzo ya mwanaume bora wa mwaka. Naomba kufahamishwa alikuwa anashindanishwa nani?

    Eti mwanaume bora wa mwaka? Wametumia metrics zipi kumuita mwanaume bora wa mwaka? Alikua anashindanishwa na nani?
  14. Hizi hapa lyrics za wimbo mpya wa Roma "Teremsha Bunduki"

    Afande teremsha bunduki, Unawatetea mbona hawakukumbuki, Unatuonea, unatupiga Mabuti, Mara virungu, mara unataka kutushuti, Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande...
  15. B

    Yupo wapi siku hizi Aggrey Marealle?

    Nakumbuka miaka hiyo Aggrey Marealle nilikuwa namuona sana kwenye media akiwa mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya TBL. Yupo wapi siku hizi huyu ndugu kwa anayefahamu.
  16. Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  17. Wanawake hizi tabia mkiwa na ujauzito ni za kweli au ni madharau? wife anasema harufu yangu ina mkera!!

    Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana. Uzi huu hapa...
  18. Je, ukihama bank unakuwa umejiondoa kwenye Direct Debit postings za hizi credit company?

    Naombeni wenye ujuzi wa haya mambo kwa mfano umekopa kwenye hizi micro credit wakawa wanakata hela Moja kwa Moja bank je ukiamua kubadilisha mshahara uuchukulie bank nyingine itakuwa umejiondoa kwenye hako ka mkataba?
  19. L

    Hizi ni Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ

    Wafanya biashara wengi hawajui compliances wanatakiwa kuzifuata kila mwaka ili biashara zao zisipigwe fine. Nimekuandalia e-book inaitwa "Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ kila mwaka" Ni FREE e-book. Nitumie neno e-book kupitia Whatsapp kwa namba hizi 0678131068...
  20. Hizi ndizo kazi ambazo akili mnemba (AI) inaenda kuzifanya na isizoweza kuzifanya

    Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuzidi kushika kasi, kazi nyingi zilizokuwa zina muhitaji binadamu kwa kiasi kikubwa zinaenda kufa na kupotea kabisa. Kwa wale wanaopenda kuajiriwa kazi zifuatazo zinaenda kufanywa au haziwezi kufanywa kwa kutumia akili mnemba (AI). Ukiangalia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…