hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Niaje waungwana Leo naomba niwaletee njia mbili ili mchague wenyewe wapi kwa kuelekea. Njia ya kwanza ni Russia. Russia ilianza vita yake na Ukraine miaka 4 iliyopita, na mpaka leo haijaonesha lengo wala nia ya kutaka vita hiyo isimame. Vita hiyo iliyoanzishwa na Russia yenyewe ikiongozwa na...
  2. O

    JamiiForums Kenya “Mapenzi siku hizi ni biashara? Nani anatumia nani kati ya wanaume na wanawake?

    Haya uwanja ni wetu Leo tuseme kinaga ubaga nani anatumiwa sana
  3. aise

    JamiiForums Tanzania Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

    Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani. Kule zinakotengenezwa Kuna madini au Kuna mabadiliko fulani yamefanyika? Pia soma: Sarafu bandia za 200 ni...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Chama cha riadha kidhibiti hizi marathon za kihuni zinazofanyika kiholela kama hii Akili Marathon

    Mimi kama mdau mkubwa wa riadha ninaandika kwa huzuni kutokana na malalamiko ya watu kuhusu mbio za Akili Education Marathon. Walioshiriki wamejitokeza hadharani na kutupa lawama za kutosha kwa waandaaji. Wanasema mbio zilichelewa kuanza na huduma barabarani zilikuwa za kishenzi sana. Maji...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali zifute hizi taasisi kwa manufaa ya umma

    1. Wakala wa vipimo (WMA). Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji. Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu. Huu si wakati wa kusoma ripoti ya CAG na kusahau

    Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa. Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
  7. Olsea

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nichukue lipi kati ya magari haya?

    Habari wakuu,naombeni ushari nilikuwa na gari aina ya toyota belta nataka kubadilisha na nimepata toyota premio second generation (T240) namba E engine 1NZ na nyingine ni toyota Premio new model (T260) namba D engine 2ZR...je nichukue ipi kati ya hizo gari mbili ikiwa bajeti zao hazipishani sana?
  8. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Ukiona Redflags hizi, usioe

    UKIONA REDFLAGS HIZI USIOE 🚩 Sio kila anayekupenda anafaa kuwa mke wako, Wengine ni majaribu ya maisha. Kabla hujaoa, fungua macho yako vizuri 👇 1. Hana tabia ya kukubali makosa Kila kitu ni kulaumu wengine(sababu kibao)… hana “samahani” ya kweli. 2. Anatafuta attention kwa wanaume...
  9. Dr. Zaganza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hello Kenyans, Naomba contacts za wauza old cosmetics hizi

    Dr Mussa Zaganza: I am looking for these old cosmetics They are sold at Isirii shops : Plaese help me to contacts of sellers My number is : +255 713 039 875 Dr.Mussa Zaganza Pamoja, tunaweza!!
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kuna Maudhui Mengine kwenye Social Media yanapaswa kuzuiwa Tanzania

    Siingilii personal life na najua watu hasa hawa walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Hitler wa Zama Hizi?

    https://youtu.be/5uVhOvh4AvY?si=a9aETLRZuF9El3ww
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hizi teams ambazo tumegoma kuzipa Ufadhili msimu huu zikicheza nasi zinauma sana meno

    Tumeona... Kuna huo ujinga kuwa kwa sababu hatujazidhamini basi zinakomaa zinapocheza na Yanga. Ili sasa kuvutia GSM iweke dau. Huo ni ujinga mbwah nyie. Yanga bado ni team bora Afrika kwa sasa. Na ina uwezo mkubwa sana. Tupo nayo na tunatamba nayo. Msimu huu pia tunachukua Kombe. Mtake msitake...
  13. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hizi Tume Magufuli alizikataa ni kuchezea Kodi za Watanzania sio kila Jambo linaitaji Tume

    Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
  14. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Nguzo 5 muhimu za kufanikiwa kimaisha hizi hapa

    Mafanikio yapo katika pembe(angle) nyingi katika maisha. Mafanikio nini, kila binadamu ana tafsri yake kuusu mafanikio, mwengine ana amini kuwa na pesa nyingi ni mafanikio, mwengine kuwa na furaha ndio mafanikio. Mafanikio yapo katika angle tano muhimu ambazo ukielewa utakuwa na mafanikio ya...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa laki 2 ( 200,000) Fanya biashara hizi

    Nataka niwatie moyo vijana wanaohangaika na mitaji mikubwa, basi tumieni hicho kidogo ulicho nacho Hakuna pesa isiyofanya biashara, pesa yoyote ina uweZo wa kufanya biashara na kuzaa nyingine Hapa nitashare na wadau biashara ya kufanya ukiwa na mtaji kiduchu 1. Nunua WiFi 3 Kwa 70,000 funga...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Masafa, Dar mpaka Mwanza unaondoka na ipi kati ya hizi ?

    LC 300 LC 300 HILUX NISSAN Y62 PRADO J250 Lx FORTUNER LAND ROVER DEFENDER FORD RANGER LEXUS
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hizi breaking news za waarabu wa Mbwinde kwamba Netanyahu kauawa, source yake ni wapi ?

    Imekuwa too much sasa, kila kona uwakutapo waarabu wa Mbwinde utawakuta wakipeana habari za Netanyahu kuuawa. Ni wapi wanazitoa hizi habari ?
  19. Vien

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

    Kuna jambo nimekuwa nikiliangalia sana kwenye mahusiano ya siku hizi. Dunia imebadilika, na hata namna ya kuanzisha mahusiano imebadilika. Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa kutongoza. Mwanaume alikuwa anakaa chini, anatafuta maneno mazuri, anahangaika kweli kweli mpaka mwanamke aelewe kuwa...
  20. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anavaa shanga na hajui kukatika ni matumizi mabaya ya shanga

    Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
Back
Top Bottom