Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa.
Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha, akipita hapa JamiiForums anachanganyikiwa.
Huwezi kuua watu vile halafu uwe sawa. Umejitakia mwenyewe.
Kusema tu ukweli utu uzima (adulthood) sio rahisi kwa kila mtu. Watu wako busy trying to make something out of their lives.
Wengine wanadeal na heartbreaks huenda zilizosababishwa na mgogoro wa ndoa, kupoteza kazi, biashara kuyumba au kufirisika, ugonjwa wa kudumu, kufiwa na beloved ones n.k...
ALISIKIKA MLEVI MMOJA SHABIKI WA SIMBA RAHIM SAID AKA DK MANGUNGU
KIJANA BAADA YA MECHI ALISEMA KWA UWEZA WA ALLAH TUTAFIKA ROBO
TUKAULIZA YA SUKARI YA MCHELE
YAKAANZA MATUSI ILA HATIMAE AKAJIBU YA CAF
NIKAENDA KUJIRIDHISHA PT WALIZONAZO KWA KWELI MIUJIZA IPO NA LOLOTE LAWEZEKANA
AKATUAGA...
Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao.
Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo:
day one
no 1
1. omba Toba na Rehema
juu yako
familia yako
ukoo wenu
taja mababu na watoto wako kwa majina
2. ombea anga
kemea pepo wachafu walioshikilia anga lako
ombea anga la wanao na la sehemu...
Wakuu,
Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani.
Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali nikawafuga ili kuongeza idadi yao, Je kuna mahali naweza kupata ili niwafuge au nitumie njia gani...
Habarini,
Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m
02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk
03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja.
Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business...
Habari mjasiriamali,
Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unategemea kuanzisha Kampuni siku za usoni hapa nimekuandalia list ya taarifa 9 Unazoweza kuzibadilisha baada ya Kusajili Kampuni yako.
1. Mtaji wa Kampuni
Mfano ulisajili Kampuni ukaweka share capital 10M badae mtaji ukakua unaweza ku...
Habari mjasiriamali,
Kwema thread iliyopota niliongelea namna ya kujisajili Brela, kwenye thread hii nitaelezea documents 6 unazohitaji ili Kuisajili Kampuni Yako TRA baada ya kumalizana na BRELA.
1. Copy ya TIN certificates za directors
Utatakiwa kuwasilisha printed copies za TIN directors...
Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu?
Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu...
NB, sihamasishi ununuaji ila nataka kushare kauri ambazo nimeshawahi kuzisikia sehemu fulanifulani hapa bongo.
1. Wewe mkaka handsome
2. Yangu haina maji
3. Yangu tamuu njoo
4. Unavua nguo zote kwani wewe ndio una.......
5. We kaka kojoa hii ni biashara
6. Usilete hisia kwenye biashara
7...
1: Uturuki 🇹🇷
2: China 🇨🇳
3: Russia 🇷🇺
4: Iran 🇮🇷
5: Qatar 🇶🇦
6: Pakistan 🇵🇰
Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo...
1. Maisha ya Utumwa na Baharini
•Robert Smalls alizaliwa mwaka 1839 huko Beaufort, South Carolina, nchini Marekani akiwa mtumwa. Akiwa kijana, alipelekwa kufanya kazi kwenye bandari za Charleston. Huko, alijifunza kila kitu kuhusu meli—jinsi ya kuziongoza, ramani za majini, na jinsi jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.