hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Miliki apartments hizi kwa kuanza na 30% ya bei ya apartments kisha lipa taratibu ndani ya miezi 20 mpaka 24

    Mango tree residence ni mradi mpya na wa kisasa ambao utakuwa na apartments za makazi na biashara Unaojengwa Msasani beach nyuma ya kwa Nyerere mikocheni Dar es salaam. Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa trip hizi za Waziri Kombo abroad, ame squander mabilioni mangapi

    Travelling all over the world kumkingia Kifua mteuzi wake, ametumià mabilioni mangapi? Kipi amekifanikisha cha kuwasaidia watanganyika? ( Maana wa zenji hawana shida , hela si zao). Anajua kuwa anachota maji kwenye mtungi uliotoboka, lakini kwa vile kuna anazoa mahela, basi bora liende, mkono...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo nchi valentine day imepigwa stop

    Russia Malaysia Qatar Pakistan Somalia Saudi arabia Indonesia Unajua ni kwanini hizi nchi haziitambui hio siku?? NB: sisi tunapendana kila siku hatusubiri siku ya kuigiza (valentine)
  4. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania Mwenye hizi nyimbo za TOT na TamTam tafadhali anibariki

    Tafadhali sana: 1. Bad Bakule akiwa na TamTam wimbo unaitwa Chande( kazi hutaki kufanyabkwa vile kaka ana mali.) 2. Mpende akupendaye - TOT plus
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hesabu za bolt bodaboda nawahurumia, pesa wanaingiza hadi laki kwa siku ila kinachobaki kidogo

    Mfano Hesabu 100,000 TOA Kamishen ya bolt 24% - 24,000 Mafuta - 20,000 Chakula - 10,000 Ofa za bolt kwa wateja - 10.000 kifurushi - 2,000
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hizi thread za eti JPM ni chanzo cha uovu wote uliopo, ni za kishamba na kujaribu kumuosha anayepaswa kunyongwa na kupelekwa ICC

    Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29 Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Aprtments hizi zineanza kuuzwa karibu utembelee mradi wetu

    Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2. Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama una tabia hizi usioe mpaka uwe umebadilika

    MWANAUME KAMA UNA TABIA | SIFA HIZI, TAFADHALI ACHANA NA MASUALA YA NDOA | KUOA HADI PALE UTAKAPOAMUA KUKUBALIANA NA HALI HALISI Ndoa si ya kila mtu Ndugu zangu, kama bado hujajiandaa kiakili, kimwili na kitabia. Ukijiona Bado Una hizi Tabia hapa Chini, Basi Usioe | Usivute Jiko 🚩 Una hasira...
  10. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza nondo alizotoa Muhongo utagundua Tanzania ina changamoto hizi

    Usimamizi mmbaya wa rasilimali. Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani. Uongozi butu!. Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

    Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad. Mwenyezi Mungu alishatoa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni kampeni zisizo rasmi zinazonikera mno mtandaoni

    1. Usile wanga 2. Usioe single mother 3. Unaweza anza biashara bila hata mtaji 4. Usioe asiye bikra 5. Usioe mwanamke mwenye miaka 30+ 6. Usipeleke mtoto A - level.. mpeleke chuo. ONGEZEA ZINGINE
  13. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hawa mbu wa siku hizi ni Toleo Jipya au ni walewale wa zamani?

    Nauliza tu kwa kutaka kujua hawa mbu ninaowaona siku hizi ni toleo jipya au? Maana hata uwapulizie na nini hawafi
  14. FabNXTzqEtcgazfbjjfo

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis zimepatwa na nini?

    Habarini za Muda Huu Wana JF Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo .. Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
  15. O

    JamiiForums Tanzania AUDIO DOCK ZA SAMSUNG KAMA DA-E750, DA-E670, and DA-E550, IPI NI BORA ZAID KATI YA HIZI NAFIKIRIA HII 550 KAMA KUNA MTU KADHATUNIA NIPE UZOEFU

    Vipi kuhusu ubora WA sauti, uimara n.k Extrovert
  16. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Wilayani Bunda chukueni hizi dondoo

    Jana nimetumia ukurasa huu kulipongeza Jeshi la Polisi wilayani bunda kwa operation iliyofanyika majuzi ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa wahalifu watatu waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma nyingi za uhalifu. Hao ni sehemu ndogo tu ya wahalifu ambapo kwa makisio ya haraka 90% ya vijana...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ameamua kuishi kama mkimbizi, anajificha amekataliwa. Urais una raha gani? Ajiuzulu asione aibu

    Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa. Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha, akipita hapa JamiiForums anachanganyikiwa. Huwezi kuua watu vile halafu uwe sawa. Umejitakia mwenyewe.
  18. k-bee

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata baskeli za aina hizi kwa Tanzania Bara

    Rejea mada tajwa..! Natafuta baskeli za umeme je niwapi? Kwa Tanzania bara ambapo nitapata mwenye kujua anijuze
  19. X

    JamiiForums Tanzania Bro to bro: Ukiona wana siku hizi hawakutafuti usiwaone fake friends adulthood sio poa

    Kusema tu ukweli utu uzima (adulthood) sio rahisi kwa kila mtu. Watu wako busy trying to make something out of their lives. Wengine wanadeal na heartbreaks huenda zilizosababishwa na mgogoro wa ndoa, kupoteza kazi, biashara kuyumba au kufirisika, ugonjwa wa kudumu, kufiwa na beloved ones n.k...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Maisha yanaenda kasi sana, leo hii mabinti wanafundishwa cat walk plus malingo na kijana wa kiume

Back
Top Bottom