Uwa nawaza nikiotea kama 100k haina majukumu niipeleke Puma, tatizo mimi nikiwa na mafuta mengi kwenye gari uchelewi kunikuta Kigamboni nimeenda kuliangalia darajaUnaweza kugombana na pump attendant!
Kujaza mafuta inabidi uwe na discipline. Mimi ratiba yangu haibadiliki kulingana na mafuta niliyonayo.Uwa nawaza nikiotea kama 100k haina majukumu niipeleke Puma, tatizo mimi nikiwa na mafuta mengi kwenye gari uchelewi kunikuta Kigamboni nimeenda kuliangalia daraja
Big Flexa!Wazee wa magari tarehe mbaya hizi na Hormuz imepigwa pin basi inakuwa double trouble.
Mshale wako umesimama wapi? Cc Mad Max
View attachment 3609618
Kwenye ilo nakubali nimeshindwa.Kujaza mafuta inabidi uwe na discipline. Mimi ratiba yangu haibadiliki kulingana na mafuta niliyonayo.
Mkuu wewe si una hybrid, huteseki sana.Uwa nawaza nikiotea kama 100k haina majukumu niipeleke Puma, tatizo mimi nikiwa na mafuta mengi kwenye gari uchelewi kunikuta Kigamboni nimeenda kuliangalia daraja
Dah mshale wako umesimamia ukucha!💪🏿🤣Wazee wa magari tarehe mbaya hizi na Hormuz imepigwa pin basi inakuwa double trouble.
Mshale wako umesimama wapi? Cc Mad Max
View attachment 3609618
Kabisa mkuu, lita 1 km 30, ana shida gani?Huyu anatuchora 😀😀
Lita 7 kwako nyingi sana mkuu, si zaidi ya km 170 hizo?Hii AI au? Aisee.
Juzi naenda naweka wese la 30k kumbe lita 7 tu. Aisee.