Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,301
Reaction score
39,837
Tofaut na zaman ambapo ilizoeleka mishangazi inajiweza kiuchumi. Kwa sasa mishangazi mingi midangaji tu. GenZ stuka usipoteze nguvu kwenye show za mishangazi. Bora upige punyere tu. Utunze kibunda.
 

Attachments

  • 6cf7248c-b9cf-4c56-abc2-bb57b5617473.png
    6cf7248c-b9cf-4c56-abc2-bb57b5617473.png
    2 MB · Views: 50
Tatizo ni kua wanawake wanakua mishangazi kwenye umri mdogo, miaka 26 tu tayar anajipa hizo sifa kisa ana toto 3.

Enzi zile mshangazi ni wale waliofika menopause, sasa hivi 35 tu anajipa cheo cha mshangazi.

Poor Brain Marioos platform ambassador unaliongeleaje hili??
 
Iringa jau sana. Bill ya laki mbili tu vinywaji vinaletwa na msafara wa wahudumu wamebeba ile light board. Mpaka nikajishtukia kuendelea kuagiza maana sipendi attention ya watu. Nimeondoka hata kibunda kimoja hakijaisha
Pole vijijini dorime ni kawaida sana hata ukiagiza cha 150k tu! Sasa kama hujavitumia vyote unaonaje unipatie kimoja nipige nacho picha mkuu🙂
 
Back
Top Bottom