HIZI NI SHERIA ZA NDOA ZA WATIBELI ZINAZOTUFANYA TUISHI DUNIANI KAMA TUPO PEPONI. MKITAKA MNAWEZA KUZIKOPA ZITAKAZOWAFAA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Nimeona serikali ikitaka wadau na wananchi kutoa maoni ya Sheria za ndoa.
Nikasema, Mimi kama Mtibeli nitoe muhtasari wa Sheria za...
Hivi siku hizi imekaaje kwenye mahusiano?
Mnakutana, mnazoeana haraka, mnachat sana, ndani ya muda mfupi tayari mpo relationship. Baada ya hapo mkifanya mapenzi mara ya kwanza tu, ghafla kila mtu anaanza kupotea kimya kimya. Hakuna ugomvi mkubwa, hakuna drama hata… unaona tu mawasiliano...
Ukisafiri toka DAr kwenda mkoa ukapita Kituo cha Kibaha Stendi na Pale Picha ya Ndege utaletewa Chips.
Je, hizi ni chips au unga wa ngano umewekewa rangi na nyanya chungu?
Msamvu je?
Nimeona wanataka aonekane ni rais wa watu na kiongozi mwenye huruma. Lakini kila kona Watanzania wanasema ni maigizo ten ya kitoto.
Mfano rais Kumuwekea mfungwa sikio ili anog'onezwe. Kupiga picha na wafungwa wakiwa wamekaribiana.
Lakini kidonda cha Oktoba 29 hakiwezi kumalizwa kwa drama...
Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu.
Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma.
Kuna machaguo mawili; kozi za Diploma za afya na kozi za Diploma za Uhandisi. Nipo katikati sijajua...
Hili linalojadiliwa na vyombo vya habari vya nje mfano hii FM Radio 47 linatufedhehesha sana.
Tuna kundi kubwa sana la wabunge "machawa" na hawaelewi lugha zinazoruhusiwa bungeni mfano English kiasi kushangilia kama mazuzu na yasemwayo yanatuaibisha WaTZ wote. Kama ni lazima kuwaingiza bungeni...
PUSSY ilikuwa ni CAT/PAKA
SEX ilimaanisha GENDER/JINSIA
BITCH ilikuwa FEMALE DOG/MBWA JIKE
DICK ilikuwa ni NAME/JINA
BANG ilikuwa SOUND/KISHINDO CHA SAUTI
RUBBER ilikuwa ERASER/KIFUTIO
ASS alikuwa ANIMAL/MNYAMA PUNDA
SCREW ilikuwa TOOL/ZANA
HEAD ilimaanisha PART OF BODY/SEHEMU YA MWILI
BALLS...
1.Unafungiwa kwenye chumba chako kizuri hotelini ila hutakiwi kuongea na mtu yoyote kwa miezi 6,uko tu mwenyewe na muziki na video za ngono na unaletewa chakula unachotaka wewe chochote kile kwa muda wowote ule ila hutoki nje hata kunyosha miguu kazi yako ni kila siku kupiga nyeto bao zaidi ya 2...
Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu.
Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili .
Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa? Watanzania au wananchi wa karne hiii hamtaweza tena kuwadanganya kitoto tena...
Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie
1. The Wolf of Wall Street
“Jinsi ya Kumfanya Mteja Aseme NDIYO Haraka”
2. Glengarry Glen Ross
“Ukishindwa Kufunga Deal, Umefeli Maisha”
“Hakuna Huruma Kwenye Sales”
3. Boiler Room
“Jinsi ya Kuuza Bila Aibu (Na Kufunga Deals)”
4...
Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa.
Alafu kuja kudanganya umma eti kuna vijana walililpwa fedha ili waandamane Oktoba 29 hii haiwezi kuisaidia CCM...
Japo Jenerali Ulimwengu anasema hakuwa na urafiki wa karibu na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, wawili hao wana historia ya kufanya kazi pamoja, tangu wakiwa gazeti la Daily News miaka ya 1973- 74 na baadaye walipokutana kwenye siasa.
Hata hivyo, ilifika mahali wawili hao wakatofautiana na hapa...
My Take
Kwa wale tulioko kwenye sekta ya Kilimo ,hizi takwimu zinakatisha tamaa na zinalazimisha kurudi kwenye drawing board.
https://www.threads.com/@thestarkenya/post/DXZ5Ey4jQ-b?xmt=AQF0I7ra76rglfFzjxe5u6sxGi2YPqdh3zZJ9wuksUZgTpM7mQGwAQJMz-9oOcbbZfeauGA5&slof=1
Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m.
Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa...
Baada ya hukumu ya mahakama ya rufani kuruhusu Chadema iweze kufanya siasa zake hapo ndipo mambo yamejidhihirisha wazi kuwa Chadema ina kubalika na ina nguvu.
Mikoa yote ya Tazania bara ilikuwa ni shangwe na nderemo.
Swali kubwa la kujiuliza ni kwa nini Chadema inazidi kupata nguvu ikiwa...
Kuna hizi pesa zinatajwa kutolewa eti kwa Jina la Goli la mama, na Yanga wamekabidhiwa milioni 60 wakati ukalali wao ni milioni 20. Jee kwa vile muhusika na mpanga mipango ya fedha hizo ni wewe huu sio WIZI?
Ni aibu kwa mtu ambaye pia ni msemaji mkuu wa Serikali kuwa mwizi au kushiriki wizi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.