Faida za wapinzani nchini japo hawajashika madaraka ni kama hizi....

Ndio waasisi wa neno ufisadi. Wasingekuwa wao wananchi wasingekuwa wanajua maana ya neno ufisadi
 
Jana bwashee johnthebaptist nilifurahi kusikia sauti ya dume ya dada yangu Halima pale mjengoni akipepetana na "supika". Nikammiss kweli. Bado ana ile damu ya kizalendo labda tu anatetea ugali wake kuwepo pale.
 
Akina zitto kabwe, akina godwin mollel, akina mwita waitara, akina nape nnauye leo wasingekuwa wanajulikana
 
Wamesaidia kujenga awareness kwa wananchi kuhusu masuala yanayoendelea kwenye nchi
Ila machawa wa kijani a.k.a mafisi wa kijani hayataki kuusikia ukweli huu😂.Ila Bongolala wote watakuja kuzinduka usingizini wakati mafisadi Papa wamesha meza vyote,na watakapo tafuta hata walivyokuwa wanajifariji navyo hata hawata vioa tena🤸🤸🤸🤸
 
Japo kuna watanzania wanaowaona wapinzani kama wapiga kelele wasiokuwa na tija lakini ki ukweli wao ndio waliowasaidia watanzania kuamka walikuwa wamelala
 
Back
Top Bottom