Chadema jibuni hizi hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Raia (MMKR)

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,948
Mwaka 2015 mhesmiwa Mbowe ilichukua na kufufua magari matatu chakavu na spika tatu chakavu kutoka vyomba vya muziki vilivyokuwa vinamilikiwa na Birricana Club na kuvigeuza kuwa PA kwa thamani ya shs 100,000,000/= akifanya jumla ya shs 300,000,000/=. PA hizi alizitumia kwenye kamepeni jimboni Hai.

Baada ya uchaguzi akaziuza CHADEMA kwa bei ya shs 300,000,000/= kufanya jumla ya 900,000,000/= kwa zote tatu.

Mwaka 2010-2015 CHADEMA ilipokea 900,000,000/= kutoka kwa Mzee Sabodo zitumike kuwapa wabunge kwenye majimbo yote yalikuwa na wabunge wa CHADEMA kwa ajili ya kuchimba visima, mpaka ukaguzi unafanyika hakukukuwa na kisima hata kimoja kilichochibwa.

Aidha CHADEMA ilipokea 100,000,000/= Kutoka kwa Mzee Sabodo kwa ajili ya kujenga makao makuu ya CHADEMA. Hadi leo hakuna msingi uliochibwa.

Tunapendekeza CHADEMA ijibu tuhuma hizi.
 
Mwaka 2015 mhesmiwa Mbowe ilichukua na kufufua magari matatu chakavu na spika tatu chakavu kutoka vyomba vya musiki vilivyokuwa vinamilikiwa na Birricana Club na kuvigeuza kuwa PA kwa thamani ya shs 100,000,000/= akifanya jumla ya shs 300,000,000/=. PA hizi alizitumia kwenye kamepeni jimboni Hai. Baada ya uchaguzi akaziuza CHADEMA kwa bei ya shs 300,000,000/= kufanya jumla ya 900,000,000/= kwa zote tatu.
Mwaka 2010-2015 CHADEMA ilipokea 900,000,000/= kutoka kwa Mzee Sabodo zitumike kuwapa wabunge kwenye majimbo yote yalikuwa na wabunge wa CHADEMA kwa ajili ya kuchimba visima, mpaka ukaguzi unafanyika hakukukuwa na kisima hata kimoja kilichochibwa.
Aidha CHADEMA ilipokea 100,000,000/= Kutoka kwa Mzee Sabodo kwa ajili ya kujenga makao makuu ya CHADEMA. Hadi leo hakuna msingi uliochibwa.
Tunapendekeza CHADEMA ijibu tuhuma hizi
Hii ina mchango gani kwenye umasikini wa taifa hili?
Viongozi gani wa Chadema wanahusika katika ufisadi unaofanyika ktk taifa hili tangu tupate uhuru?
 
Utatukanwa kweli kweli bwashee
 
Hii ina mchango gani kwenye umasikini wa taifa hili?
Viongozi gani wa Chadema wanahusika katika ufisadi unaofanyika ktk taifa hili tangu tupate uhuru?
Kama kwenye ngazi ya chama hamtaki watu kuhoji matumizi ya pesa za chama mkishika dola si mtakuwa mnapiga risasi wanaohoji matumizi ya fedha zao? Kwahiyo kwasababu ya ufisadi serikalini ndo CHADEMA inapata uhalali wa kufanya ufisadi?
 
Ndiyo kidigital sasa ndo unataka taarifa ya 2015 leo imepita miaka mingapi? Au hujui maana hoja za mkaguzi? Huna cha kuandika kausha siyo unaleta vihoja vilivyo jaaa vioja
Kwaiyo ni makosa kihoji ufisadi uliofanywa miaka ya nyuma?
 
Ndiyo kidigital sasa ndo unataka taarifa ya 2015 leo imepita miaka mingapi? Au hujui maana hoja za mkaguzi? Huna cha kuandika kausha siyo unaleta vihoja vilivyo jaaa vioja
Hoja lazima zijibiwe, sisi MMKR majibu ya hoja zetu hayana ukomo- yanakoma zikijibiwa.

Hoja zijibiwe?
Nani walimshambulia Tundu lisu?
Nani alimuua akwilin?
Yupo wapi Ben na ANZORY GWANDA?
Tuanzie hapa?
Kwann uwanja wa ndege chatto na siyo geita?
Kwann ASSADalifurushwa kazi???
 
Back
Top Bottom