Wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyovimiliki

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,681
12,255
Ndugu zangu jana nilipata Ajari na pikipiki yangu nikiwa na abiria wangu {pole sana boss lady hope unendelea vizuri} ajari hiyo niliipata pale Sinza africa sana...kuna gari ilipoteza break ikagonga bajaji, bajaji ikapoteza uelekeo nikajikuta nagongana nayo uso kwa uso.😭😭😭

IMG-20231211-WA0004.jpg

Ndugu zangu wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyo vimiliki kwasababu kama hainiingii akilini kuwa kama gari ina service nzuri Iferi break. jana nilikuwa nakichungulia kifo hivi hivi.

lakini namshukuru Mungu naendelea vizuri nilichubuka tu kidogo japo abiria wangu aliumia nae kidogo😭😭😭

hii imenifanya niiogope sana kazi yangu ya boda boda jana nimeiogopa sana pikipiki na barabara uendeshaji wangu ni wakistaarabu sana ila ndio hivyo bado nasababishiwa ajari...!

hata hivyo nimekumbuka kuwa huu ni mwisho wa mwaka matukio ya ajari huwa ni mengi...hivyo ndugu yangu msomaji kama huna umuhimu wa kusafiri ni bora tu ukae nyumbani hadi mwaka uishe...!

jana mwenzenu nilikichungulia kifo​
 
Ndugu zangu jana nilipata Ajari na pikipiki yangu nikiwa na abiria wangu {pole sana boss lady hope unendelea vizuri} ajari hiyo niliipata pale Sinza africa sana...kuna gari ilipoteza break ikagonga bajaji, bajaji ikapoteza uelekeo nikajikuta nagongana nayo uso kwa uso.😭😭😭

View attachment 2840307

ndugu zangu wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyo vimiliki kwasababu kama hainiingii akilini kuwa kama gari ina service nzuri Iferi break. jana nilikuwa nakichungulia kifo hivi hivi.

lakini namshukuru Mungu naendelea vizuri nilichubuka tu kidogo japo abiria wangu aliumia nae kidogo😭😭😭

hii imenifanya niiogope sana kazi yangu ya boda boda jana nimeiogopa sana pikipiki na barabara uendeshaji wangu ni wakistaarabu sana ila ndio hivyo bado nasababishiwa ajari...!

hata hivyo nimekumbuka kuwa huu ni mwisho wa mwaka matukio ya ajari huwa ni mengi...hivyo ndugu yangu msomaji kama huna umuhimu wa kusafiri ni bora tu ukae nyumbani hadi mwaka uishe...!

jana mwenzenu nilikichungulia kifo​
Pole sana ndugu,ajali za kusababishiwa huwa zinakera sana,kuna ajali moja ilitokea pale Kibamba,fuso limechomoka tairi likaifata Suzuki Vitara ilikuwa inakwenda upande wa pili tena taratibu tu,jamaa alikuwa na mkewe,hawakuumia ila gari yao iliharibika sana...
 
Rekebisha kichwa cha uzi.
Hakuna neno AJARI KWA MUKTADHA WA UNACHOKIMAANISHA.

Kwenye mada sasa.

Bora yako wewe umepata bahati ya kukichungulia kifo.
Kuna wenzio wanatamani wakione na hawakioni
 
Shukuru Mungu una uhai bado...

Bodaboda sio chombo salama sababu ukipata ajali hata kama ni ndogo, uhakika wa kupata majeraha ni 90% sababu bodaboda haina body
Jana nimeshuhudia uhai ulivo rahisi kutoka , wamegongana boda wawwili. Huku naona na wote wakafariki hapo hapo ! Yaani nimesikia kishindo paah nasogea. Nikaokoe jamaa ndo wanakata roho .
Ajali za boda boda kupona ni majaliwa
 
Naona ndugu yetu hapo aliyepoteza mguu yuko na gongo lake ndio anaelezea mkasa mzima wa ajali. Lol

Pole sana rafiki, umenikumbusha nilivyompoteza rafiki yangu kwa ajali ya pikipiki miaka kadhaa iliyopita.
Alikuwa rafiki yangu pekee wa kiume aliyeniheshimu sana, R.I.P Shaban 😭
 
Pole sana ndugu,ajali za kusababishiwa huwa zinakera sana,kuna ajali moja ilitokea pale Kibamba,fuso limechomoka tairi likaifata Suzuki Vitara ilikuwa inakwenda upande wa pili tena taratibu tu,jamaa alikuwa na mkewe,hawakuumia ila gari yao iliharibika sana...
inahudhunisha sana kwakweli
 
Naona ndugu yetu hapo aliyepoteza mguu yuko na gongo lake ndio anaelezea mkasa mzima wa ajali. Lol

Pole sana rafiki, umenikumbusha nilivyompoteza rafiki yangu kwa ajali ya pikipiki miaka kadhaa iliyopita.
Alikuwa rafiki yangu pekee wa kiume aliyeniheshimu sana, R.I.P Shaban 😭
pole Nifah kwa kumpoteza rafiki yako...inawezekana jana na mimi mngenipoteza kama nisingekuwa nimevaa HELMETS maana kichwa changu kilipigiza kwenye kioo cha bajaji hadi kika vunjika...kisha nikatupwa huko... namshukuru Mungu niko poua...!​
 
Naona ndugu yetu hapo aliyepoteza mguu yuko na gongo lake ndio anaelezea mkasa mzima wa ajali. Lol

Pole sana rafiki, umenikumbusha nilivyompoteza rafiki yangu kwa ajali ya pikipiki miaka kadhaa iliyopita.
Alikuwa rafiki yangu pekee wa kiume aliyeniheshimu sana, R.I.P Shaban 😭
Umenifanya niangalie tena picha kumcheki huyo gongo
 
Back
Top Bottom