Msaada wa kutafsiri ndoto hii

Msaada wa kutafsiri ndoto hii

Baba mtakatifu91

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
3,404
Reaction score
7,014
Wakuu nimeota hivi

"Nilikuwa mimi na marafiki zangu tukitembea njiani pamoja tukafika sehemu tukakuta kuna hitilafu ya nyaya za umeme. Tukashauriana tupande juu ili turekebishe nyaya tukajaribu ila tukakosa belt balance position. Ikabidi turuke kwenye paa la nyumba. Ili tusubirie hizo belt position."

Wadau ndoto ya namna hii ina maana gani?
 
Back
Top Bottom