Hii baridi, sio hili baridi

Hii baridi, sio hili baridi

Hili baridi la chuga ni kwere jombi. Kunae njeve ile mbaya.
IMG_9176.jpeg
 
Jamaa mmoja nilimnasa vibao baada ya kuniambia, "leta funguo yangu". Baada ya kichapo hicho nikamuambia, unatakiwa kusema ufunguo wangu.

Hakukosea tena mbona!
Mimi nilivyokuwa clinical officer nilimtembezea mkong'oto wa haja mgonjwa flani mahabara alipokuja nakuniambia nimekuja kupima mavi. Baada ya kichapo nikamkumbusha asirudie tena kusema kupima mavi bali aseme kupima choo.

Nilimqindi kichizi.

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom