hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi hasingekuwa TISS ilifaa atumbuliwe, Sasa kwa Sasa ukimtumbua TISS Wana wewe, Shooo, utajuta kuzaliwa watampa nchi hii.

    NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari. Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
  2. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  3. R

    JamiiForums Tanzania Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

    Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27 Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
  4. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

    https://vt.tiktok.com/ZS4J6KuBH/ Soon veri soon....
  5. JamiiForums Tanzania Huu sasa ndo uwajibikaji! Hii ni India

    Siku chache zilizopita huko nchini India kulikuwepo na maandamano makubwa ya wanafunzi kupinga uvujaji wa mitihani ya wanafunzi wanaosomea udaktari. Yalikuwa ni maandamano makubwa sana yaliyofanywa na Cockroach Janta Party au kwa kifupi CJP. Kwa taarifa zaidi kuhusu hiyo CJP unaweza kuingia...
  6. JamiiForums Tanzania Andaa tiba hii ya vidonda vya tumbo (ulcers) na ulete mrejesho

    mtomoko mjaafari kokwa la parachichi Chukua mimea ifuatayo:1.Unga wa matunda ya mtomoko (Annona Cherimola) 500 gm2.Unga wa kokwa la parachichi (Persea Americana) 500 gm3.Unga wa mizizi ya mjaafari...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi duniani kuna starehe kama hii?

    Upo zako mahali, unakunywa pombe Kali na vichanganyo vya baridi, wakati huo nnje huko Kuna jua Kali sana linawaka 🔥🔥 Wakati unakula vimiminika wanapita walimbwende wewe kazi Yako ni kuwapiga makofi ya 🍑 Oyaaa ndio maana CCM wanakuwa wabishi kutoka mana kama Mimi naenjoy hivi hao wakina sigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hii Kitu haiwezi Kutokea KAMWE.

    Nawaza tu. 2030 kamati kuu wamfanyie Figisu Imma, asiorodheshwe kwenye 5 bora ya watia nia nafasi ya Uraisi. Alaf Imma akaamua kwenda Chadema. Mind you Lissu pia yuko Huru. Huo Mtanange wake utakuwa sio wa kitoto.💥💥💥💥 Yale ya 2015 yatajirudia. Anyway . Haiwez kutokea hili. NB: Tumeona...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
  10. JamiiForums Tanzania Wamarekani wataweza kuifanya hii operesheni??

    Wanajiandaa kutuma wanajeshi plus special force zao zote kwenda Iran kubeba vifaa vya nyuklia plus rasilimali zote zinazohusika na urutubishaji !!!Wataweza?? Pentagon eyeing megaraid to steal Iran’s nuclear stockpile – media The Pentagon is contemplating what could become “the most...
  11. JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  12. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Civilian-Coin kutafuta MKE au girlfriend ni hii

    https://youtu.be/pYos49unMLM?si=GFK-r4XxqDHMLptU
  13. JamiiForums Tanzania Community Coin Banks/ Street Coin Banks: Hii ni kwaajili ya sekta au watu wasio na mifumo rasmi ya maisha

    Habari Tanzania !.... Naomba kuweka hapa jukwaani wazo la kuwezesha jamii au watu ambao wanakipato cha chini sana; kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kuwasaidia kutoka katika umasikini na kupata thamani ya kufanya maisha wayatakayo. Naiomba jamii ipokee hili wazo. Tuanzishe Benki za kutunza Sarafu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya Radiolojia katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Wakuu, naomba mlifuatilie suala hili, mimi ni mgonjwa ninayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa-MOI. Kuna changamoto kubwa katika idara ya Radiolojia, hasa kuhusu kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya MRI na CT Scan. Wagonjwa hufanya vipimo lakini majibu huchukua muda mrefu kutoka, wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Wachaga kwanini hamsemi mbege inanenepesha namna hii?

    Huyu Dada analetaga mbege kwenye bar moja maarufu jijini Darusalama. Mfanyakazi wake kibinti cha 2008 ndo aliesababisha niwe nanunua mbege hapo. Ghafla nimekuwa addicted na mbege plus nimenenepa.... Naonekana sasa kama mgonjwa wa akili kwa sababu naamini unene ni ugonjwa wa akili. Kunenepa...
  16. JamiiForums Tanzania Sasa kidume unakuwa shoga, nyama kama hii ale nani?

    Kidume unaamua kuwa choko, unachagua kupelekewa moto, sasa watoto wazuri kama hawa, awale nani? Baadhi ya vidume mliochagua kuwa machoko mnafanya kizazi chetu cha kiume kichukuliwe poa sana. Mimi ningekuwa Rais wa nchi hii ningepiga risasi machoko wote. Najua mpo humu nawamaindi ile mbaya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tunazilaumu Kamati za Usajili bure kumbe Wachezaji 'Top Class' Afrika hii ni Adimu sana au Wameisha

    Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi wanaocheza mpira ndani ya Africa hii, wana mfanano mkubwa sana wa kisoka... Ni nadra sana kupata...
  18. JamiiForums Tanzania Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapenda muziki tu

    Haya wakuu tangazo hilo hapo soma NB: ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu Ukitaka mpk la 400 watts ni ww naposema 400 watts ninamaanisha zile zenyewe kabisa pure siyo zile za kichina 2000 watts 😀😀😀😀 kumbe watts pure ni iliyomo ni 40 tu...
  20. JamiiForums Tanzania Ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu

    Haya wakuu tangazo hilo hapo soma NB: ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu Ukitaka mpk la 400 watts ni ww naposema 400 watts ninamaanisha zile zenyewe kabisa pure siyo zile za kichina 2000 watts 😀😀😀😀 kumbe watts pure ni iliyomo ni 40 tu....... Nakusukia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…