hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ya leo kali sana sana

    Trafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugalo Ndugu zangu; Kila mtu anafahamu wazi, Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police! Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Katiba hii inaua ubunifu umahili na ushindani inaibua machawa na wanafiki haitufai hata kidogo.!

    Katiba hii inatoa nafasi kubwa sana za nafasi za utendaji muhimu sana kwa maisha ya wananchi na maendeleo ya nchi kwa kuteua teua tu. Ukweli ni kwamba hii inawafanya watu wazembe wawekeza sana kwenye kujipendekeza kusifia na kupiga majungu kwa sababu wana uhakika mteuaji ana nafasi kubwa ya...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kufuru ya awamu hii haijawahi tokea

    Kinacho endelea awamu hii ni kufuru. Watu wanapiga pesa, watu wana shusha mijengo. Na tukienda hivi mpaka 2030.. Hakika, kuna mijitu inajichotea mali mpaka basi. Shame on us ambao hatuko kwenye hio Mifereji.. Ukweli ni kwamba, nani asiyependa pesa? Tutakaa tunaongea sana, ila hakuna anaye...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania ya mwaka 1990. Ni kitu gani hakistahili kuwa kwenye picha hii

    Wataalamu wa Photograph reading and interpretation Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania IKULU WIKI HII

  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Hii meseji hii, inasikitisha sana

    Haya mambo yapo kwenye jamii zetu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji mtu wa aina hii.

    ..aliyemrithi aliwaadabisha tiss wa huko uchaguzi ukamleta huyu, sasa naye anafanya sehemu yake, tz imekalia maigizo ya tiss kupitia ccm nchi inazama mstaafu anakuwa na watu wake ndani ya serikali na wanamtii kuliko hata huyo aliyesaini hati za uteuzi wao..Masisi alikataa huo ujinga wa mstaafu...
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

    Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature... The special thing was these feathery friends. Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE

    Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67. : 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
  10. muftee MD

    JamiiForums Tanzania Mudathir jitafakari bro, umekua slow sana hii ni Yanga

    Moja kati ya wachezaji wanaopendwa sana na makocha Yanga huyu jamaa ila mzito sana kufanya maamuzi. Nawasilisha.
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kaniambia nina Kichaa cha Ndoa, hii ni kweli ipo?

    Ingawa kanitukana ila nimejikuta ninacheka sana na kutaka kujua kama kweli kichaa cha ndoa kipo. Wewe uliyepo kwenye ndoa unafahamu nini kuhusu kichaa cha ndoa? Kilishawahi kukupata? Please share your experience.
  12. min -me

    JamiiForums Tanzania Hii ni muhimu kwa wanywa pombe wenzangu

    Kucheki afya yako ni muhimu sana , afya ya moyo , kiwango cha sukari mwilini na nk ni muhimu mno. Sio unagida mipombe bila kujua afya yako ipoje , watoto wadogo kabisa unakuta ni mgonjwa wa sukari bila kujijua ,anagida mipombe tu bila kujua hali ya afya yake🤔, mwisho wa siku tunamchimbia...
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ndejembi Kumtembelea Mama yake Humphrey Polepole Jumapili Hii

    Ndejembi hiyo ziara umetumwa au umeipanga kwa utashi wako? Kama hutakwenda na Humphrey Polepole ni bora usiende kabisa. Hatuhitaji drama katika hili.
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MSITAPELIWE NA HII KAMPUN INAJITA RICHMOTORS MIKOCHEN AMA AGUZA NASI CHINA MADADA NIKICHOKIONA NIMEWAONEA HURUMA HAWANA OFISI UTALIZWA

    ANGALIZO AGUZA=AGIZA NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA NILICHOKIONA NILIUMIA SANA NILIKUTA MADADA WAWILI WANALIA.MMOJA AMESAZA MAVUMBI VIBAYA SANA BAADA YA MDA NA KUHOJI HAYA NDIO...
  15. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania HII NI HABARI YA KWELI HAINA UONGO HATA KIDOGO😭😭😭

    .
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtumishi anapohama asilimia za utendaji katika mfumo wa PEPMIS zinarudi 0, hii inaumiza

    Watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine wanakabiliwa na changamoto ya mfumo wa PEPMIS, ambapo wanapohamishwa, asilimia zao za utendaji kazi zinaonekana kuanza upya kutoka sifuri, hata kama mtumishi alikuwa amefikisha, kwa mfano, asilimia 60 katika Halmashauri aliyotoka. Hali...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuielewa sheria hii ya mafuta na gesi anieleweshe. Sikiliza clip toka Bungeni

    Changu changu , chako chetu
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Henry Kilewo: CHADEMA ya sasa sio ile iliyopita, hii achaneni nayo

    Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho. Kupitia chapisho aliloliweka katika...
  19. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Kwa karne hii mahari ni kitu outdated, tusiwauze mabinti!

    Kwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa. Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume. Zamani mtu akioa anampeleka mkewe nyumbani kwao, na Kwa kiasi fulani yule mke ni kama anapigika kikazi. Aidha, zamani binti...
  20. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
Back
Top Bottom