hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Hali kama hii

    Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia Na je ulichukua hatua gani
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

    Why ukisha mvua nguo tu mwanamke ukitoka njee ya kile chumba una kua una mdharau una mchukulia ni mtu wa kawaida sana ata kama uli angaika kumpata? Hii ni kwangu tu au
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Week hii imechangamka ghafla sana. Huku Israel na Irani wanadundana, ukiangalia kule Pakistan na Afghanistan napo pamoto.

    Warmongers msiishiwe mabando tu ila kazi kwenu😂😂
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?

    Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?
  5. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Hii ni Pendeza Booking App, Je itafeli au Itafaulu?

    Habari Wajamii, Mod ukifuta uzi litakukuta jambo... Leo nataka tuzungumze kuhusu kitu kipya ambacho kimezinduliwa hapa Tanzania — Pendeza Booking App — app inayolenga kubadilisha jinsi tunavyohifadhi na kupata huduma za uzuri (salons, barbershops, spas, na zaidi). 📱 App hii ni nini hasa...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KPLC: Same Token, Fewer Units? Hii Ndiyo Sababu! Je tunakubaliana kweli?

    Kenya Power has explained why some customers are now getting fewer electricity units for the same token amount. If you buy tokens worth Ksh 3,000, up to 20% (about Ksh 600) may be automatically deducted to clear arrears, leaving less money to buy units. Also, tariffs depend on your average...
  7. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii inaitwaje?

    Week end njema .🤯🤯🤯🤯🤯😆😆😆😆😆😆😆😆
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jana nimeangalia marudio ya hotuba ya Trump katika bunge la US. Nimegundua uongozi ni karama, uongozi ni zali kwa wengi ila kuongoza ni born-gift

    Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations. Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya. Mwamba amesimama muda wote...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Je, hii ndio Rap Song of All Time kwa Bongo?

    https://youtu.be/UiIa2i29PZ4?si=2FBzIVDQBmQWwV81 Sikiliza mistari, mstari kwa mstari Sikiliza beat, sijui nani aliwatengenezea Sikiliza Father Nelly(RIP) anavyonata na hilo beat Sikiliza ujumbe mzito, ujumbe relevant mpaka leo Ninazijua nyimbo zote za Rap toka 2010s kushuka chini. Nawajua...
  10. canular

    JamiiForums Tanzania hii itunze

    https://tanzaniamassacre.org/?sortBy=last_name&sortDir=ASC&pg=3 https://tanzaniamassacre.org/?sortBy=last_name&sortDir=ASC&pg=3
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanangu wa kubet chukuweni Neema hii hapa

    Wanangu wa kubeti chukuweni notis hii hapa najua itakuwa ngumu sana kuaminika kwasababu wengi wenu wanaamini ni impossible na wengine wataniuliza kwanini mimi sijabeti hivo 😀😃😄 ila any way huu ndo ukweli wa matokeo kama nitadanganya nitukaneni vyovyote mtakavyojua au kama mtabisha subirini...
  12. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Kidiplomasia imekaaje, eti unaenda nchi nyingine kuteka watu, hii ni kama STATE OF WAR....unatangaza vita

    Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana. Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa. Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

    Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume. Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho. Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu. Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Huu uzikaji wa white people uko poa sana watu 10 wanamaliza msiba kabisa.

  16. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Vijana watakaoleta suluhu ya foleni kupewa Milioni 10

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema wanafunzi wa uhandisi watakaoleta suluhu ya changamoto zinazokabili nchi ikiwemo ujenzi na marekebisho ya barabara, pamoja na tatizo la foleni watazawadiwa milioni 10.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanaume wa aina hii mwenye afya na uhuru ?

    Hanywi pombe Havuti sigara / bangi Hahongi wala kununua wanawake Hachezi kamali
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini inanuka rushwa, ichunguzwe!

    Napoandika hii post leo, na siku za karibuni Waziri Mkuu amekuwa ziarani Mkoa wa Kilimanjaro, naomba na kumsihi Waziri Mkuu aifanyie uchunguzi Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini, mipango miji na TARURA kwa kula rushwa na kuuza maneno ya wazi au kuwezesha maneno ya wazi kuuzwa kwa...
  19. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi hii misimamo na mahaba ya namna hii huwa mnayatoa wapi?

    Katika ukuaji wangu Kuna Imani na misimamo nikimuona nayo mtu nabaki namshangaa kabisa Kwa mfano; Hivi inawezekanaje kuwa chawa wa mtu kiasi Cha kushindwa kuona mabaya take?🤔 Hivi mtu unawezaje kujidhuru kwa ajiri ya mapenzi ?🤔 Hivi kipi kinacho Mfanya mtu anashindwa kumuamini Mungu au...
  20. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAi: Nimeuliza hii Ai swali dogo tu na fupi kuhusu jamiiforums ni nini nimepewa majibu yote historia nzima

    Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu. Picha ni JamiiAi Screenshot Picha ya pili 2 1re Picha ya tatu 3 Picha ya nne 4 Picha ya tano 5 picha ya sita 6 Muhimu: Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
Back
Top Bottom