hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania What a blow! What a shame! Ni aibu gani hii..?

    It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata! Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu! Hasira za TK sijui ataangushiwa nani!?😭🤣😎.. Sikusikia wakiulizwa who are you? badala yake nilichokiona ni who are me? TK kawaweza halafu...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  4. D

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ikimuonesha Rais Maduro wa Venezuela akikamatwa na wanajeshi wa Marekani

    Wakuu, Je hii video inayoonesha jeshi la Marekani likiwa pamoja na helcopter ni ya siku ambayo walienda kumkamata Rais wa Venezuela Nicolás Maduro?
  5. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Venezuela ni Rais kutoswa na Jeshi na Vyombo vya Usalama; hii ni wake-up call kwa Colombia!

    Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji mkono wa kutosha ndani ya nyumba yako -- wananchi, jeshi, na vyombo vingine vya usalama. Huo utatu wa...
  6. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania JF Madaktari msaada wenu juu ya hii alama inaongezeka kila kukicha

    jamani hii ALAMA haiwashi wala haiumi ila inaongezeka kila Siku naona mabadiriko
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu hii Application ya X (Twitter) inakula sana nafasi kwenye simu. Nifanyeje?

  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era

    Picha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Leo nimeshauriwa nikatoe sumu kwa njia ya kuweka miguu kwenye beseni ( ya wachina) je hii ni kweli?

    Nimekuwa na unene kiasi nina kitambi kuna mtu kanishauri niende nikatoe sumu kwa Wachina ile unakiweka miguu halafu miguu inalowekwa kwenye beseni halafu kuna mashine Iko kama kafriji na kawaya flani wanakaweka mikononi. Hii kitu ilianza miaka ya mwishoni ya 2000 nikiwa kijana ila Sasa ni mtu...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana uliye juu ya mawe jaribu mbinu hii. Ukikosa ajira najitoa JF milele

    Leo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina. Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi. Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana. 1. Nenda play store...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya HALMASHAURI YA CHALINZE hatujapewa pesa ya kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania "Nguvu iliotumika, inaendana na tukio" Hii kauli msiisahau watanzania

    Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa. Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa. Ila kwakua ni wahuni...
  13. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Chukua hii kuanza mwaka mpya

    Mikopo ya Ushauri Kila mtaa una wale watu wanaokopesha kila kitu—pesa, nguo, kiwanja, nyumba, gari. Lakini aliibuka mtu mmoja yeye, alikopesha ushauri. Ndiyo. ushauri. Alikuwa anaitwa Mshauri, lakini wengi walimwita tu Mjomba Kichwa. Hakukuwa na kitu ambacho hakuwa na maoni nacho. Ukiwa na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanaccm wanaoteswa na Samia. Wanaccm wengine 2026 hii pazeni sauti kama Gwajima! Nanyi hamko salama

    1. Humphrey Polepole. Alikuwa balozi, katibu mwenezi wa ccm taifa na mbunge. 2. Geoffrey Mwambe. Alikuwa waziri wa uwekezaji na mbunge. 3. Daniel Chonchoriro. Mjumbe wa mkutano mkuu CCM. 4. Sinda Mseti . Mgombea udiwani kupitia CCM huko Sirari. 5. Gwajima . Alikuwa mbunge (CCM) Jimbo la...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondokana na hii kero ya madereva wa malori kutekwa au kuuawa nchini DR Congo?

    Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori. Je, nini kifanyike...
  16. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Hii sikukuu niya nini?

    HABARINI WAKUU HIVI LEO NI SIKUKUU YA NINI ?
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ndio stori fupi ya mabaharia wenzagu walipokuwa wakisikilizia mwaka mpya

    Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Raisi feki kwa hii hotuba 2025 kufunga mwaka kama umenifungulia mwaka kwa kunikasirisha kwa kejeli.

    Ila huyu mtu jamani sijui anaona maisha ni kifutio au penseli,yani unaweza kufanya lolote kama ufahamu lolote. Ulipopata kijiti hakuna kilichofanyika umebagaza nchi,umeua,umeteka,ufira,umebaka,umeleta mambo ya ajabu. alafu neno lako unasema "tusitengane kwa tofauti zetu" .kwa hiyo tofauti yako...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ya kufungia mwaka inaitwa “Mwana Ukome”

    Genz wamemchangia Mhe. Tundu Lissu 20M mpaka sasa, Genz wanamwaga Moto. Hawa vijana hawana show za kindezi.. Na ujumbe wanaopeleka una mwangwi mkubwa Sana😂😂😂 Happy new year Tundu lissu the Greatest.. Happy new year Gen Z the unstoppable 💪🏿💗☄⚡
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ishu ya iran ilikuwa mchakato, yalianza mauaji ya binti aliekataa kuvaa hijabu, ikaja vijana wengi kukimbilia ukristo na US kuongeza vikwazo

Back
Top Bottom