hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea

    Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea. Ushawai kupotea kariakoo mdau ?
  2. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Hivi SIDO Mbeya ndio wa kushindwa kunichongea spare part hii?

    Nimeshangazwa sana na hawa jamaa wana mimashine mikubwa mpaka ukiingia workshop unaogopa lakini kumbe hamna kitu,niliwapelekea sample ya spare hiyo nichongewe wakasema wanaweza hiyo kazi mwisho wa siku tunaanza kusumbuana mara sijui bits za kutobolea za drilling machine zinavunjika vunjika,je...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ya Nyerere baada ya Vyama vyingi ilikuwa ndiyo hii au yalifanyika mabadiliko baada ya kifo chake?

    Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni bora ukasema hii nchi inachama kimoja na inafanya watakavyo kuliko kuishi kwa kusema kuna democracy watu wajue cha kufanya sio kutumia kuua kuficha

    Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao. Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe. Leo hii kwa kiduku inajulikana maamuzi yake ila wananchi wengi wameshaamua kama ikitokea uwezi wanaweza kuondoka na...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hii kete walioisukuma CCM ni kama inataka kufanikiwa

    Ni kama wamekata maji makusudi ili hii habari itrend zaidi watu wasahahu yaliotokea Oktoba 29, mimi nikishaona habari mbaya mbaya zinapostiwa hadi na TBC kila saa na vyombo vingine machawa vya Tanzania ujue kuna walakini. Shtukeni huu ni mchongo. Wametengeneza tatizo halafu baada ya muda mfupi...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wahitimu Wasiohudhuria Mahafali Wanatozwa hela ya joho mda wa kufuta cheti .je hii ni sawa

    Sio jambo geni wala la kushangaza kwa baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania kukutana na changamoto mbalimbali baada ya kumaliza masomo yao. Kwa kawaida, kumaliza shahada au stashahada ni hatua ya furaha na fahari kwa mhitimu na familia yake. Hata hivyo, baadhi ya vyuo vikuu nchini...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

    Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba. Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya. Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine. Sasa mjinga...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi hii kauli

    Watu wengi au karibia watu wote hutumia hii kauli. Je ni sahihi? Nilimkuta hayupo Unamkutaje mtu alafu mda huo huo anapotea Wajuzi wa lugha tupeni muongozo, hii imekaaje?
  9. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

    Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual, basi hivi ndivyo unaweza...
  10. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Jamhuri Kenya; Je, William Ruto anasoma au anatoa kichwani hii hotuba?

    Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukiona mtu anatetea sana Serikali hii, jua kuna asali ilipita kwake. Mfano Majizzo

    Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia. angalia hapa Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge. Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
  12. pulex

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana mjinga, tazama hii video huenda ujinga utakutoka

    Badala ya kuwatafutia kazi US hata za kulea wazee yeye anawatafutia vurugu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Guys, hii ni vita ya uchumi, maadui zetu wamesababisha uhaba wa maji Dar. Who are you? They think they are still our masters?

    Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha mpaka sasa miaka 64 ya uhuru maji si ya uhakika. Guys, natamani mfunguke mjue hii ni economic...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiuhalisia wananchi wamefanikiwa zaidi kuliko serikali

    Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya . Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Aisee! Kuanzia sasa namtafutia wife msaidizi wa kazi, kumbe ana kazi kubwa namna hii?

    Wife ana mtoto wa miezi miwili leo sijatoka mida ya mchana akaniambia nibaki na mwanangu yeye akachukue mboga aje kunipikia chakula Alivyoniachia dogo alikuwa katulia vizuri dakika tatu badae dogo akaanza kulia bembeleza wapi kidogo namimi nilie aisee mana sikuelewa cha kufanya nadogo analia...
  17. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Msisahau hii ni marathon sio mbio za mbuzi

    Naona nderemo na vifijo upande wa mboga mboga wameanza kuongoza mbio tayari wamejiona washindi pasipo kujua hapa msingi nikumaliza mbio sio kuongoza mbio, wamesahau hata mbio zilizopita tuliongoza mbio sisi, ndugu zangu baada ya kuanguka isitufanye tusiendelee na mbio lazima tumalize mbio .
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa saa 4 asubuhi Serikali 3 : Wafuasi wa Mange 0. Hii ndiyo Tanzania isiyoyumbishwa na mtu yeyote

    Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee. Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
Back
Top Bottom