hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

    Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani? Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
  2. JamiiForums Tanzania Unamkuta mdada kajikoboa, make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake

    Unamkuta mdada kajikoboa ,make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake ila ananuka kwapa, jasho mpaka unahisi kichefuchefu. Mbaya upande naye kwenye daladala yaani una suffocate hardly,,eti ninyi wa dada mnafeli wapi,wakati deodorant buku 5 tu,spray mpaka za buku 2 zipo,,mnafeli...
  3. JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  4. D

    JamiiForums Tanzania ⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

    Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo! 😂Ushabiki pembeni, Pesa Kwanza!
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania, habari ya kuchunguzana kwanini tunakunywa bia kila siku haifai

    Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake. Hata kama hana kazi alishakuibia? Alishakuja kukuomba bia? Alishakuja kukuomba chakula? Balimi buku jero. Bia nne mtu analewa hoi!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume hii itakusaidia

    Kwenye mchezo wa kandanda kinachohitajika na kupata pointi tatu muhimu, hii ni muhimu Sana, haitajilishi unashinda hyo mechi Kwa goli 1, 2, 3au goli 4 muhimu ni kupata point tatu haijalishi utachezea uwanja wa nyumbani au ugenini. Jambo muhimu ni kupata alama tatu. Ni vizuri uwe na mikakati...
  7. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona wabunge washamba wa kamera kama awamu hii

    Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi camera ikiwazoom kwenye tv la pale uwanjani nadhani mwafahamu wanavyo fanyaga. Kituko hiki...
  8. JamiiForums Tanzania Nimelia sana. Sikutegemea ingefikia hatua hii

    Nilikata miaka kama kadhaa hivi bila kuchovya (kuosha mpini) si sababu sina pesa. Laaah ... Pesa mademu wananilia sana na vile mimi ni mpole na mwaminifu so huwa nakuwa na demu ila akiniambia kuparamiana mpaka tukioana bas namkubalia tu. Jana demu mmoja akanionea huruma akanipa. Daaaaah...
  9. JamiiForums Tanzania Agricultural Manager, Tanzania - mshahara kuanzia milioni 7 hadi 10 na other benefits

    Location - Tanzania Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience Our client is a large established agricultural organisation who is looking for an additional 1 or 2 Agricultural Managers to join the team in Tanzania. Our client is a...
  10. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili-Lloganzila kuanza kupandikiza figo

    Baada ya uwekezaji na uwezeshaji mkubwa kutoka Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inatarajiwa kuingia katika historia tarehe 13/04/2023 kwa kuwa miongoni mwa Hospitali zinazotoa huduma ya kupandikiza Figo hapa nchini Tanzania...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika scenario kama hii ya road accident

    Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki). Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt) Msaada: Katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Dola ya Marekani bado itazidi kuwa hela inayoaminiwa zaidi duniani

    Pamoja na vita na kampeni ya Urusi na China dhidi ya dola ya Marekani tangia vita ya Ukraine ianze, dola ya Marekani imezidi kuonyesha ndio hela stable zaidi duniani. Dola imezidi kubaki imara kama chuma huku fedha za nataifa mengine tajiri zikiporomoka na kuifanya dola kuendelea kuwa hela...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna vipimo vinavyoweza kubaini Mtu ambaye hawezi kuambukizwa UKIMWI?

    Habari za humu ndani? Kuna mazingira niliyokuwa nayaishi miaka mitano iliyopita hayakuwa mazuri kiufupi nilikuwa nakula matunda kimasihara sana afu bila hata ya kuangalia types za matunda yenyewe(kiufupi watu wenyewe tulikuwa hatuendani kabisa yaani) Sasa bwana kuna kipindi nilijiendekeza...
  14. JamiiForums Tanzania Miyeyusho: Kwa hii speed ya tigo kuna mtu anaefaidi internet yao?

    Hawa jamaa naona ni zaidi ya miyeyusho, kwa kipindi kirefu hawataki kubadilika. Na hapa ni jioni tu, ukitaka kuijua speed ya kobe subiri ifike saa mbili usiku.
  15. JamiiForums Tanzania Pasaka hii tukumbuke kuwa yale tunayowatendea Wadogo na Wasiojiweza ndiyo tunayomtendea yule aliyejitoa kwa ajili ya dhambi zetu

    Kikristo ni kwamba tunapaswa kutendeana kwa upendo na ukarimu kama Kristo alivyotutendea. Kama Wakristo, tunapaswa kufuata mfano wa Kristo ambaye alijitoa kwa ajili ya wengine na kuwa mfano wa upendo, huruma, na unyenyekevu. Kadhalika, tunapaswa kuelewa kuwa kila mmoja wetu ana wajibu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mahususi kwa sisi ambao sikukuu hii tupo tu nyumbani wenyewe kama kawaida

    Mimi kesho nitakuwepo tu kama kawaida yangu. Basi naona tupeane moyo tu wanajamaa maana sisi wengine tunastress. Tutumie uzi huu kuwekana bize au kama kunampenzi wa game ile app ya kali linux tuitumie nimesahau jina lake. Kuwekana bize wale wa bebez nyie tugongeeni tu sisi tutapoa.
  17. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuna Coincidence na Coincidence 'coincidencesisha?' Watch this, is this just a coincidence or ime-'coincidencesishwa'?

    Wanabodi Anzia hapa Mkuu Freed Freed , kwanza asante kwa bandiko hili. Wanabodi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa, yaani Happy Birthday yangu, lakini pia leo ni birthday ya last born wangu ambae nae ameitwa Pasco jnr, au PiiJei, yeye alizaliwa tarehe kama ya leo last year na niliposti humu...
  18. JamiiForums Tanzania TANESCO, hii hela ambayo surveyor anadai kulipwa na mteja pale anapotaka kuvutiwa umeme ipo nje ya wajibu wake?

    Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi? Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
  19. JamiiForums Tanzania Unaifahamu njumu?

    Wengi tumezoea yale meno ya kwenye viatu vya mpira ndiyo njumu. Lakini asili kabisa ya neno njumu ni hako kakipele wanakoweka mbele ya rungu. Hako ni hatari sana. Ndiko kanapasua fuvu la kichwa. Wamasai wanatumia sana marungu yenye njumu. Kama kuna mtu anafahamu yanakouzwa anijulishe...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Police hii: Zahera asilaumiwe

    Nipo natizama hapa mechi Yao na Singida yani wanachofanya utadhani wachezaji wa dondo cup. Hawana ubunifu Wala kasi hasa eneo la mbele.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…