Unaifahamu njumu?

Unaifahamu njumu?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,072
Reaction score
19,211
Wengi tumezoea yale meno ya kwenye viatu vya mpira ndiyo njumu. Lakini asili kabisa ya neno njumu ni hako kakipele wanakoweka mbele ya rungu.

Hako ni hatari sana. Ndiko kanapasua fuvu la kichwa. Wamasai wanatumia sana marungu yenye njumu. Kama kuna mtu anafahamu yanakouzwa anijulishe.

29e227_f1361b6e9c1c4fd99ec2a7d6496cfb6e~mv2.jpg

f4e064e7-4ed3-4bf7-98f7-b1bad92eb5e4.jpg


Njumu zinahistoria ndefu sana. Toka enzi za wamisri wa kale ziliwekwa kwenye marungu.
mace.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom