hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Tech Africa

    JamiiForums Tanzania E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    E-SIM ni teknolojia inayomsaidia mtumiaji wa simu kwa na laini zaidi ya moja kwenye simu hata kama simu hiyo inakisehemu kimoja tu cha kuweka laini. Vitu vya kuzingatia ili kuweza kupata huduma ya E SIM ni vipi? 1. Lazima simu yako iwe ina uwezo wa kupokea mipangilio ya E-SIM, kwa maelezo zaidi...
  2. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Hii picha imebeba ujumbe mzito sana, Wewe umeielewaje?

    Mimi nikiingiaga mtandaoni kilasiku huwa napenda sana kutazama picha mbalimbali zinazohusu sana asili ya kiuumbaji (Nature) ikiwemo picha za Miti, wanyama, watu, Miinuko ya ardhi, n.k) leo katika pita pita zangu za kutazama picha mtandaoni nimekutana na hii picha na hakika nimeitazama sanaaa...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

    Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo. Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado ni ngumu. Huyu mmoja anaetuwakilisha nje siku hatokuwepo na tutarudi enzi za dharau. Say no tu janja...
  4. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wenzangu hii imekaje?

    Muwe mnawataarifu wake zenu mkiwa mnarudi kutoka safari inasaidia kuokoa ndoa .
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

    Huyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
  6. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

    Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka. Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

    Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa, wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekiri kulawitiwa afungwa jela miaka 30

    Mahakama ya Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imemhukumu kifungo cha miaka 30 Jela, Selemani Mustafa Mtipa maarufu kama Sele Mkazi wa Wilaya hiyo kutokana na kumtia hatiani baada ya kukiri kutenda kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi...
  9. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hii kolabo ya kijasusi kati ya mama na binti zao inakatisha sana tamaa vijana waoaji

    Wanajamvi habari za muda huu. Wanaume wenzangu tuwe makini sana kuna aina mpya ya ujasusi unaendelea yan binti anakutambulisha hadi kwa mama yake kumbe wana lao jambo ili wakuaminishe na uchunwe zaidi ukiwa huna hofu yyt. Na kumbe behind the scenes mko zaidi ya watatu na wote mmetambulishwa kwa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

    Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022? Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu...
  11. safuher

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere arekebishe mindset kwanza ndipo aje kwenye Uislamu, asije na mindset hii aliyokuwa nayo

    habari za siku nyingi ndugu msomaji,natumai ni mzima na Mungu aendelee kutubariki. Hivi karibuni msanii wa movie Steve nyerere alionekana akilalamika juu ya yale yanayofanywa na waumini fulani wa Ukristo kwamba ni sio sawa na ni kukashifu dini. Aidha bwana huyu alikuwa akitolea mifano na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo ya ajabu hii, nikisikia mtu kajiua sishangai kabisa

    Habari wadau, hebu waza hii kwanza umezaliwa kwenye familia ya nje na hio familia ya nje ina familia za nje mmmmh apo siongei sn jiongeze mwenyewe Halafu baba na mama yako na wao pia watoto wa nje ambazo zina familia za nje yaan ni maelezo tu hawa wameshare baba hawa wameshare mama...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hii Trending ya kujifanya Mcha-Mungu wakati wa Ramadhani ni kujilisha upepo na ubatili mtupu

    Nipo Sehemu za Uswahilini naona wanawake na wahuni wote wanavaa vizuri wanapiga ushungi Kama wa Madam president so niseme ni Jambo zuri Sana endapo mkaishia hivyo Maisha yenu yote. Imekuwa kawaida watu kumuigizia Mungu wakati wa Ramadhani na baada ya huu Mwezi kuisha watu wanarudi katika uchafu...
  14. Program Manager

    JamiiForums Tanzania Hii ni dalili gani kwenye kifaa hiki cha fridge?

    Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii Timu Imechaguliwa kwa Ubaguzi sana, Alafu kuna Mzungu Mtanzania!

    Naichungulia timu ya Taifa inayokipiga muda huu, siwaoni wachezaji wa timu unayosema ni bora humo, lakini naona kuna mchezaji wa kizungu huyu au ni macho yangu mabovu!. ☝🏾Picha zingekuwa zinafunga magori nadhani Uganda ingeona cha mtema kuni.
  16. N

    JamiiForums Tanzania BBT waanza mafunzo, hii ni safari ya kuelekea katika kilimo cha biashara

    Baadhi ya Vijana wa BBT wakiwa katika kituo atamizi cha Bihawana jijini Dodoma, wakiendelea na mafunzo ya uandaaji na uzalishaji wa miche! Gharama yote ya mafunzo ikiwa ni pamoja na chakula na malazi itagharamiwa na serikali na baada ya Miezi 4 washiriki watapewa mashamba na ruzuku kwaajili ya...
  17. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rekodi hii ya Simba inaweza isivunjwe miaka 20...

    Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa? Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana au isivunjwe kabisa.
  18. Top for B

    JamiiForums Tanzania Foleni kubwa barabara ya kuingia mjini Mwanza asubuhi hii

    Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuna daraja limejaa maji yanapita mpaka juu eneo la Mkuyuni sokoni. Foleni ni kubwa kuanzia mjini na upande wa kuingia mjini foleni magari yamesimama mpaka buhongwa, kama una plan ya kuja au kutoka mjini bora ukae kwako maana njiani...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Mo ingekuwa ni kwa wana Yanga asingekaa

    Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Newton's third law: For every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction. Kanuni hii ipo pia kwenye Siasa

    Kwema Wakuu! Nikiangalia Siasa za awamu hii ni kama zimepoa hivi, hakuna zile mbindembinde, roho mkononi, patashika nguo kuchanana, nikanyage bahati mbaya nikukwarue makusudi. Magufuli Siasa zake zilikuwa kali, na ndio maana alipata response na reactions kali kutoka pande zote. Mama Samia...
Back
Top Bottom