hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba ABC za hii gari aina ya Tata

    Ninekuja hapa mbiombio, Kuna pahala nimeona wanaitangaza hii mashine. Nahitaji kujua machache kuhusu hii gari. Mahitaji yangu ni Gari yenye kubeba Tani 15 Gari inayo himili njia ngumu rough road Gari inayo himili milima mikali Ipaende na mzigo tani15
  2. K

    JamiiForums Tanzania Huenda sababu ya Rais Samia kukaa kimya ni hii hapa!

    Tofauti na watu wengine Raisi Samia akiongea lolote kuhusu mkataba wa DP world litamfikia mkuu wa wa Dubai. Sasa tatizo ni nini? 1. Kwanza akisema mazuri tu itakuwa vigumu kwenda kwao tena na kurekebisha mkataba 2. Akisema mabaya ya mkataba wazi wazi watajitoa kwenye mkataba mzima kitu ambacho...
  3. JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha Prigozhin hii ni mara ya pili kufa kwa ajali ya ndege

    Bado dunia iko kwenye kizungmkuti cha kinachoitwa kifo cha Boss wa Wagner PMC Prigozhin na wenzake katika ajali ya ndege. Huyu mwamba aliwahi kufeki kifo chake hivihivi kwa jina lake kuonekana lilikuwemo kwenye list ya watu waliosafiri. Hii ilikuwa ni ajali ya ndege iliyotokea Congo mwaka...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta hii Pandora dongle

    Asalam wakuu kwa yoyote anayefahamu mahali au duka naloweza kupata hii box au kama kuna mtu anauza.
  5. JamiiForums Tanzania Wazee wa kazi na dawa, chimbo gani zuri kwa hii wkend?

    Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia. Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi. Wako wapi wazee wa kale, waliishi miaka mia mbili, wengine miaka mia tisa, sasa wako wapi? Kwa sababu tunaishi mara moja, muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

    Shekhe anadai Mwamposa aliingiza million 900 siku ya mkesha wa chako ni chako katika uwanja wa Mkapa kwa kuuza udongo tu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio njia rahisi ya kuwafanya waislamu wote duniani kuwa wakristu au wakristu wote duniani kuwa waislamu

    Duniani kuna dini nyingi ila wakristu na waislamu ndio dini mbili pekee juu ya uso wa dunia ambazo kila moja inajiona ndio dini/imani/ bora, sahihi na yenye haki mbele za Mungu kuliko zote duniani. Waumini wa dini hizi wana share sifa moja inayofanana nayo ni selfishness. Kwa maana ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

    Hapa nilipo nimepoteza hela wakati natoa simu, kawaidi ukishapoteza hela huna haja ya kurudi kutafuta tena.
  9. JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Makamba wizara imemshinda sikiliza video hii

  11. JamiiForums Tanzania Hii nchi naiogopa sana

    Naona vipepeo mnakubali kuingia katika njama ya kidini, protoko za kidini na maazimio ya kusema hadi kieleweke. Idara zikiongozwa kidini yetu macho Nawahakikishia mkiruhusu hili swala liende kidini kama mlivyoanza hamtafika popote na mtalaumiwa. Sasa shindaneni atakayeshindwa atalia tuu sisi...
  12. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ipige marufuku homework kwa watoto wa shule

    Kwa mtazamo wangu, homework ni ushahidi kuwa walimu wameshindwa kutimiza wajibu wao. Mtoto akiwa shule anatakiwa amalize mambo ya shuleni hukohuko. Akirudi nyumbani awe na majukumu mengine ya nyumbani ili akili zake zitanuke katika vizio vyote. Mbaya zaidi ni likizo. Likizo maana yake ni...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

    Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement. Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi"...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, mara ya mwisho kula hii kitu ilikuwa lini?

    Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo. Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameamua kuwa wamoja kulinda Rasilimali zao. Hii haijawahi kutokea

    Tangu mimi binafsi nimezitambua na kuzionja siasa za Vyama vingi hapa Tanzania tangu ianzw rasmi 1992 nakiri kabisa hakujawahi kuwa na umoja kama huu. Vyama mbali mbali vya siasa na asasi za kiraia mbali mbali zimekuwa zikielimisha wananchi kuhusu elimu ya kiraia na kutanabaisha ipo siku...
  17. JamiiForums Tanzania Ifike mahala mji mpya wa Dar ujengwe nje ya Dar na sio kulazimisha kila kitu kufanyia kwenye hii Dar ya sasa

    Wakuu leo nikiwa natafakari upuuzi unaofanywa na TEC nikajikuta nakumbuka ujinga mwingine unaofanywa na wanaoitwa wataalamu wetu. Hii ni kulazimisha kila jambo la maendeleo kufanyia ndani ya jiji la dar hali inayopelekea kuwa na bomoa bomoa nyingi zinazoleta uharibifu mkubwa wa mazingira. Kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Hii hapa rap ya karne kwa African Hip Hop

    https://youtu.be/UiIa2i29PZ4 R.I.P Father Nelly wa Xplastaz Nimesikiliza hii nyimbo tangu nikiwa bwana mdogo mpaka leo nimekuwa broo! Nafikiri tukubaliane sasa kwamba kwa Hip Hop hii ndio rap bora zaidi kwa karne hii kwa African Hip Hop. Hii ngoma ilizingatia vigezo vyote. Mistari inaeleweka...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Kanisa Katoliki: Je huu utakuwa mwisho wa ushawishi wa taasisi hii kubwa?

    Kwa miaka mingi kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi wa namna yake ndani ya nchi. Wakiongea wao, basi jua wamemulika ukweli na uhalisia wa kile wanachokiongea. Juzi baraza la maaskofu limekuja na waraka ambao unatia walakini kidogo, umekaa kisiasa zaidi tofauti na uhalisia. Ikitokea...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkataba wa Bandari: Ukisikia "ndani ntiti, nje ntiti" ndiyo hii sasa!

    Naam wanabidi, Kama mada inavyo jieleza, UKISIKIA NDANI ntiti nje ntiti ndio hii sasa. Leo makanisa ya Wakatoliki yatajaa Nia na madhumuni ni kusomewa waraka wa Maaskofu kuhusu Mkataba wa bandari zetu na DP world. Huko Amerika, Diaspora jana wameandamana wakisema BANDARI ZETU URITHI WETU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…