hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Changchun yatai

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, hii kodi ya 30% tunayokatwa kwenye gratuity wewe ndiye uliyeipitisha?

    Mheshimiwa Dr. Mwigulu sisi wafanyakazi wa Shule ya sekondari St Margaret Maria Alakok hapa Igunga mkoa wa Tabora kila tumalizapo mikataba yetu tunapaswa kulipwa gratuity ambayo ni asilimia 10% ya mshahara kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha mkataba wako, sasa cha ajabu ni kwamba hiyo pesa kwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Hebu tuijadili hii tabia ya kunyolewa ndevu na mwanaume mwenzio!

    Nimezaliwa kijijini ambako maadili ya 'kiuanaume' yanalindwa sana. Moja kati ya meeengi ya kiuanaume ni kwamba ndevu unanyolewa na mkeo tu au mpenzi wako. Kwa maneno mengine ni kwamba unyoaji wa ndevu ni kazi ya wanawake. Sasa siku hizi imekuwa kawaida kumkuta dume ananyolewa ndevu na mwanaume...
  3. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

    Za usiku. Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu? Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu. Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii hapa orodha ya wanahiphop bora wa muda wote Tanzania

    Wakuu pamoja na kupenda siasa za CCM ila pia mimi ni mnazi mkubwa wa muziki wa Hiphop. Tangu utotoni nimekua nikipenda Hiphop. Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za GWM, Mr II, Dollar Soul, JCB & Watengwa, Nako2Nako, Juakali, hadi hawa waliopo kwenye chati kina PMawenge. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda...
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Wenye Hotels na Lodges hasa mikoa hii. Mablanket yenu huwa mnafua kweli?

    Arusha, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa. Haya mablanket yenu huwa mnafua kila mara kweli? Kuwa kila anapoondoka mteja mnabadilisha mnaweka jingine? Au tunaendelea kulalia na sisi wengine tukija? Mimi sioni dalili ya kuwa haya yanabadilishwa. Nikiangalia hivi sioni kabisa hizo dalili...
  6. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

    Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari. Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning. Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana ipi

    Wakuu habari Kuna binti mmoja nilikuwa na mfukuzia mwezi wa nne sasa, ni mdada anafanya kazi bandarini Field ya shipping. Lakini Jana nimeongea nae kwa Simu kwa mara nyingine Nikamwambia namuhitaji I need to build relationships then marriage soon as possible lakini jibu alilonipa leo asubuhi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

    Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti. Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
  9. OGTV

    JamiiForums Tanzania PS5: Hii ndio final fight katika game ya God of War Ragnarok

    Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu). Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana na pia graphics ziko poa, na fight zake ziko amazing sana.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tufikirie science kidogo The theory of relativity says that the faster the speed, the slower time passes by Albert Einstein

    Ina maana kuwa nikienda mwezini na chombo chenye speed inayokaribia na speed of light (you can not attain the speed of light anyway), basi sitazeeka maana time itarudi nyuma! Ageing process will slow down. sasa kwanini tusiwe na mashine yenye speed kubwa kiasi kwamba time will slow down na...
  11. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Ni dharura: Je, hili ni kawaida kwenye hii mimba?

    Tarehe ya mwisho kuona perion ilikuwa tar 28 Oct. Calculations zinasema EDD yake ni 03 July...na huyu mjamzito mpaka leo hii tar 06 August, bado hajajifungua wala uchungu...? Je kuna hatari? Kama ipo nini kifanyike...? Na kama ni kawaida hakuna hatari...hii inaweza ikafika mpaka lini..? Na kama...
  12. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Mnaikubuka hii movie?

    Mnaikubuka hii movie ya Ajay davigan inaitwa Vijay path aise Kuna song umo demu alikua anawaza baada ya mshikaji kumualika kunywa chai aise vya kale zahabu zile alaaa zinavyopigwa Yan madogo wa ckuiz wanazngua. Ule uhalisia wa bollywood hakuna Tena nachi inaimbwa Kama amapiano
  13. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hii ni nchi gani ambayo maghorofa yanafika hadi mawinguni?

    Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅 Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara wa Babeli
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hii dawa ninaweza kuipata wapi?

    Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
  15. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Hii nchi wanavituko mno!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter". Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu hilo jina nimekuta mavijana ya ovyo kibao ya hapa JF yameshalitumia hilo jina😂😂,Daaah hatari sana...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume. Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo. Mabarabarani nako utakutana na wasichana...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Hii pikipiki ntaipata wapi wakuu

    Ni kwa ajili ya usafiri wa haraka sina budget ya gari nimependa hii kitu naipata wapi? Ongeza ushauri zaidi
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hii mikataba ilisomwa na kueleweka kabla ya kusainiwa ?

    Kuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli . Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness . Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
  19. Aladeen04

    JamiiForums Tanzania Hili la kuhusu usalama wa pesa za pensheni za Wastaafu limekaaje?

    Heri ya nanenane kwenu nyote mtakaopitia uzi huu. Ndugu zangu kwa sasa wazee wetu wastaafu wanapitia suala gumu sana linalohusiana na kikokotoo malalamiko yapo kila pahala. Nina imani Serikali yetu sikivu inasikia na inafanyia kazi jambo hilo ili wazee wetu wapate stahiki zao zote bila...
  20. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha wanaozilazimisha bodaboda ziwe pikipiki za michezo wanapukutika sana na kupata vilema vya kudumu kwa kujitakia wenyewe

    Wanatumia pikipiki ya kichina zisizo za michezo kufanya michezo, hawana helmet, gloves ngumu, guard ya viwiko, guard ya magoti, safe jacket, suruali ngumu, buti, begi lenye sponji, n.k. mwendo wa Ngiri mkia juu, kasi ya kuwapumzisha wadudu inazidi kuwa kubwa, vifo vingne nikujitakia sio Mungu...
Back
Top Bottom