Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement.

Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi".

Ni maneno mazuri lakini tusome between the lines ya maneno yake! Nini maana ya ubavu na msuli? Kwani Kuna kutunishiana ubavu na misuli?

Kwa wanataaluma ya lugha ya kuongea na mwili ni kwamba Samia amesema, "nimeshaamua, mimi ni mbele kwa mbele na hakuna wa kunizuia kwa namna yoyote". Isipokuwa ametumia kauli ya kiongozi kuficha makali. Hii maana yake yuko tayari kufamfanya lolote atakayetunisha ubavu au msuli.

Je, ubavu na misuli ya TEC haiwezi kumtisha Samia na CCM yake?
 
“Anahangaika na PR” in other word damage control wkt madudu yamesha mwagika
Aliye mdanganya kuwa Pr works ni Nani ? Ni Kama ana worsening her situation . Na hisi she is under control . Sio mahamuzi yake . She is under influence sio akili zake. She can’t be this incompetent . Even to solve simple things, she is already a president PR ya nini ?
 
Itakuwa chawa wake wanamdanganya bila kuangalia damage yake kwa jamii yani hili dubwasha ya bandari limemchafua mpaka basi na asijigambe kuwa hakuna mwenye ubavu ooohooooo kwaninyanakotokea huko wao wamemkosea nini Mungu
 
Wamemfikisha hapo , she should fire them . Mbona simple ?! Nasema something is wrong ? Some one is controlling her . Au she is on depression
 
Actions speaks louder than words na ikivuma sana hupasuka.

60acfc12b163ecbe67a5d82e9ce0aa56.jpg
 
Back
Top Bottom