Kuendelea kuwa masikini katika karne hii nikujitakia wenyewe

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
63
Reaction score
269
Nashangaa sana kuona vijana wengi tunaendelea kuwa maskini katika Karne hii ambayo imejaa fursa kibao just imagine watu kama kiboko ya wachawi , na manabii kibao

Akina chif godlove wanatajirika kwa ujinga ujinga tu akina mwijaku na wengine wengi kibao alafu kuna akina sisi ambao tunaendelea kutafuta pesa kwa njia halali 😀😃😄 ndo maana tunakuwa maskini

Just imagine mtu anafungua group lake la betting anakuwa anatoza watu kwa kupata preduction ambazo mara nyingi ni za uongo cha ajabu anapata pesa , mtu anaanzisha sijui vikoba , sijui kundi la dada poa sijui nini alafu unashangaa wanapata pesa kibao

ZAmani tulikuwa tunajua produits ni vitu
Ila kwasasa produits ni watu
Kila nikiwaza yote haya najiuiliza kwanini naendelea kuwa maskini kabisa na wakati mimi nina nyota ya unabii 😀😃😄
 
Basically unatuambia wewe umetaka,umeamua kuwa masikini na umeridhika,right?
 
Uzi wa kisenge kuliko hata usenge wenyewe,huwezi amini huyo Godlove anaishi maisha ya shida kuliko hata watanzania wengi tu,mtoa mada kaathiriwa na maisha ya mtandaoni
 
Back
Top Bottom