hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Zahanati ya Mashati (Rombo) kuwa hatarini kutokana na nyufa ni dalili za kukosekana uwajibikaji Serikalini

    Nimeona hili habari, isome kisha nami nitatoa maoni yangu... Zahanati ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, iliyotajwa kujengwa zaidi ya miaka tisini iliyopita ipo hatarini kuanguka baada ya zahanati hiyo kuwa na nyufa hali ambayo inatishia usalama wa wagonjwa pamoja na watoa huduma...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jana nimekatwa shilingi 1500 nikinunua umeme baada ya shilingi 1ooo hii 500 imeongezeka lini?

    Tangu zoezi lianze miaka michache iliyopita nimekuwa nikikatwa elfu moja,lakini jana ikakusanywa 1500 bila maelezo hiyo 500 imeongezekaje. Sijajua kwenu wakuu imekuaje pia kama mmekutana na ongezeko hilo.Mamlaka husika imeshawahi ongelea ongezeko hilo na hiyo tsh 500 inaenda kumfanyia nini...
  3. JamiiForums Tanzania Bashe, Isaidie saccos ya uwamigo ili ituokoe kwenye tatizo la sukari

    Habari wanaJF. Hii makala ni kwa waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe. UWAMIGO SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED yenye namba ya usajili PRI-MRG-KLS-DC-2023-5249, inapatikana kijiji cha Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. SACCOS hii ina wanachama zaidi ya mia nne(400) ambao kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mwitikio wa watu kusoma shahada ya Umahiri (Master's dgree) kupungua?

    Habari ya muda wanajamvi. Nimejaribu kufuatilia udahili wa vyuo vikuu kwa miaka mitano nikagundua hamasa ya watu kusoma master's degree imepungua sana. Hata mtaani ni wachache sana utasikia wanasema wanataka kusoma Master, ukilinganisha na miaka 10 iliyopita hasa 2010 hadi 2015 hamasa ilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ujenzi wa makanisa mengi ya KKKT huwa hauishi?

    Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki. Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha. Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha. Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndio aina za watu wa dunia hii na asili zao

    HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa BLACK SEA, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama. Tofauti na sisi great lakes ZETU za CHIMBUKO la mababu ZETU zote...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Observation hii ya Youssoph Dabo, Azam FC wana safari ndefu sana.

    Nilikuwa ninaangalia Mahojiano ya Kocha wa Azam bwana Youssoph Dabo kupitia Azam FC TV, kuna mengi kwenye interview ile kuhusu Mpira wetu; mfano kuna swali aliulizwa juu ya wachezaji wa Tanzania akisema; Tanzania kuna wachezaji wazuri sana, ila tatizo kuu ni moja 'hawana ukorofi wa kimpira'. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

    Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

    Wataalam, Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga. Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia...
  11. JamiiForums Tanzania Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

    Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu. Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenye Smart Watch hii Inakuhusu usije tuletea andiko Humu JF Kama Ushuhuda

    Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 😃😂!.
  13. JamiiForums Tanzania Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

    Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi. Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati zako unawasiliana na mpenzo wako, na hata msipowasiliana basi utamkuta online huko WhatsApp, Instagram...
  14. JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya ya sheria za FIFA ndiyo yamechangamsha AFCON hii

    Kabla ya mwaka 2004 FIFA ilitaka mchezaji achezee timu ambayo yeye ni raia tu wa nchi hiyo. Mwaka 2004 walibadili sheria. Mchezaji aliweza kuamua kuchezea timu ya taifa lolote alilotaka. Kilichotakiwa ni kuwa awe hakuwahi kucheza mechi za mashindano ya timu za taifa lingine. Mwaka 2021 FIFA...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Serikali au Taasisi Binafsi naomba muwekeze kwenye michezo hii miwili niliyobuni kutokea hapa hapa Tanzania

    Hello heshima kwenu ndugu zangu! Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo. Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

    Maneno yasiwe Mengi. 1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu 2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema 3.. Katibu Mkuu - John Heche 4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali 5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
  17. JamiiForums Tanzania Je ratiba kama hii ina afya kwa timu husika ?

    Habari jf ,mfano hii ni Ratiba ya viporo ya Simba Sc ,Yanga nao ratiba tight .Kuna haja TFF ratiba zao kuzi review vizuri . Na hii hapa ni fixture ya Yanga. Tarehe 2/2 Kagera vs Yanga Tarehe 5/2 Yanga vs Dodoma Tarehe 8/2 Yanga vs Mashujaa Tarehe 11/2 Prisons vs Yanga
  18. G

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya baadhi ya wanafunzi wa Saint Francis na shule za seminari kupungua uwezo darasani wakienda shule nyingine form 5 ama chuo

    Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu...
  19. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC kwahiyo mlidhani kuwa mtaificha hii Taarifa ya Kocha Benchika kuwakataa Adebayor na Manzoki na haitojulikana nasi?

    Benchika kiboko hakyanani yaana baada tu ya Wachezaji hawa kutua Dar es Salaam kimya kimya na kwenda Kwanza kutambulishwa Kwake (anakoishi) na kuambiwa na Uongozi kuwa Unawasajili ili watumike Kikosini Yeye bila ya Kuchelewa akauambia Uongozi (wa Simba SC) na Bonge la Sonyo kuwa wachague nani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana

    Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana. Kwenye Math... Anasoma namba mpaka 1 million?!!! Class 2 kasoma 100 to 999. Mtoto ambaye ku add namba 3 ni mtihani kwake!! Kwenye Science... Anasoma hadi What is physics? What is chemistry?!! Pia, science ya class 5 imeletwa class...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…