thatHUMBLEguy
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 223
- 522
Nilikuwa ninaangalia Mahojiano ya Kocha wa Azam bwana Youssoph Dabo kupitia Azam FC TV, kuna mengi kwenye interview ile kuhusu Mpira wetu; mfano kuna swali aliulizwa juu ya wachezaji wa Tanzania akisema; Tanzania kuna wachezaji wazuri sana, ila tatizo kuu ni moja 'hawana ukorofi wa kimpira'. Kwa ufupi ni kuwa tuna 'uungwana uchwara' sana ambao wenzetu hawana na wanautumia to their advantage.
Lakini alipozungumzia changamoto ya Azam kutofanya vyema licha ya investment zote anasema shida kuu ni MINDSET ZA WACHEZAJI NA VIONGOZI KUONA KUWA NAMBA MOJA NA MBILI NI ZA YANGA NA SIMBA, WAO NAFASI YAO NI YA TATU, HIVYO WANAPAMBANA ILI TU KUMANTAIN NAFASI HIYO YA TATU NA SI KUWA TOP.
Huku viongozi wakidai ni fitina, kocha anasema ni fikra tu!
Kwenu wanalambalamba. 😄