Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi.

Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati zako unawasiliana na mpenzo wako, na hata msipowasiliana basi utamkuta online huko WhatsApp, Instagram na kwingine. Lakini Mkikutana au mnapokuwa pamoja, simu yake haiingizi Notification kabisa na wengine huwa wanaificha uioni, Yaani haiingii akilini hata Notification ya YouTube ulizo subscribe zisiingie jaman.

regular_1708x683_Untitled-7a6f29f9f75803fcfe301947faae1426.png

Hii inatokea kwa mtu ambaye siyo mwaminifu na ana wasiwasi wa mtu kumtafuta au kumpigia, hivyo hataka mwenzi wake ajue simu imeita au sms imeingia muda ngani, ngapi. Unakuta kashawaaga kawaambia amelala au yupo kwa mama.

istockphoto-1226961655-612x612.jpg

Tuseme sawa anakuheshimu na anakupa attention lakin ndo hadi notification kweli? mean huna wasiwasi na simu za muhimu yani anakuwa kashajipanga kutokuwepo hewani muda flan.

vijana Redflag sio lazima zikuumize kuna nyingine zinaanzaga kimasihara tu ila badae itakuumiza tu, wasio waaminifu wanaanzaga hivyo hivyo..
 
Watu wengi Mnashndwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mwanamke.

Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati zako unawasiliana na mpenzo wako, na hata msipowasiliana basi utamkuta online huko WhatsApp, Instagram na kwingine. Lakini Mkikutana au mnapokuwa pamoja, simu yake haiingizi Notification kabisa na wengine huwa wanaificha uioni, Yan haiingii akilini hata Notification ya YouTube ulizo subscribe zisiingie jaman.

View attachment 2888806

hii inatokea kwa mtu ambaye siyo mwaminifu na ana wasiwasi wa mtu kumtafuta au kumpigia, hivyo hataka mwenzi wake ajue simu imeita au sms imeingia muda ngani, ngapi. Unakuta kashawaaga kawaambia amelala au yupo kwa mama.

View attachment 2888821

Tuseme sawa anakuheshimu na anakupa attention lakin ndo hadi notification kweli? mean huna wasiwasi na simu za muhimu yani anakuwa kashajipanga kutokuwepo hewani muda flan.

vijana Redflag sio lazima zikuumize kuna nyingine zinaanzaga kimasihara tu ila badae itakuumiza tu, wasio waaminifu wanaanzaga hivyo hivyo..
Atajua yeye maadam bwambaaa ananipaa hayo menginee atajua mwenyewe..
 
Siku akija tu....
Telegram na-mute notification

JF nalog out then naswitch email

Mchepuko ambao unasumbua sana nachat nae Kwa email

Watsup nakua nagrey tick tu, ko sms ikiingia zinapop nyingi kwa wakati Moja plus notifications za magroup ya kikazi🧐
 
Back
Top Bottom