Hizi ndio aina za watu wa dunia hii na asili zao

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,721
10,224
1706773905073.jpg
HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains.

Bahari Yao Inaitwa BLACK SEA, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama.

Tofauti na sisi great lakes ZETU za CHIMBUKO la mababu ZETU zote zinaruhusu viumbe (samaki) kama Victoria, Tanganyika na Nyasa.

Katika aina za watu duniani Kuna aina kuu TATU

1. AFRICAOIDS (negroids) AMBAO ni sisi tuna WEUSI na brown, Yani tupo aina MBILI, lakini kufanana kwetu kupo KWENYE DNA, tuna 100% ya DNA ya homosapiens(MWANADAMU kamili). Lakini pia ni FULL MELANATED (tuna UTAJIRI wa melanin). Tuna maarifa, ndiomana ukiangalia Babu ZETU waliweza kujichonga na kujichora tupate picha zao ila wao hawakuweza. Pia mapango yetu Yana michoro yakwao hayana michoro. Sisi ni watu wa kwanza kuwepo Duniani. Tuliishi miaka ZAIDI ya milioni ndipo races nyingine zikatokea.

2. MONGOLOIDS, hii ni aina ya watu wa Brown (India, china na wengine wa east Asia)). Hawa ni nusu, half melanated ndiomana Wana kautamaduni KIDOGO kakueleweka. Hawa asili Yao ni Mongolia na milika ya Himalaya. Ndiomana wanaitwa mongoloids, wana melanini KIASI. ila sio full melanated kama muafrika.

3. CAUCASOIDS (Caucasians). Ndio hao wanaotokea hapo. Mfano wazungu Wana melanin kiduchu ndiomana jua huweza kuwapa kansa. Lakini pia EURASIANS (Yani wa ulaya na Asia) hawana DNA ya homosapiens Kwa 100%. Wao DNA Yao ni ya NEANDARTHALS. tafuta neandarthals utaona kama mtu kama mnyama. Yani sio full MWANADAMU.

KUMBUKA tangu mwanzo WA Dunia waafrika tulitawala Dunia KUPITIA kush, Kisha tukaangushwa na WAGIRIKI miaka ya 320 BCE. lakini pia Watu weusi walitawanyika maeneo mbali mbali kama Australia, america, ulaya, Asia nk kustaaraabisha wengine. MFANO MOORS walikua ni weusi waliostaarabisha ulaya , Ambao nao pia waliangushwa Huko ulaya miaka ya 1400. Ndomana wazungu wanatucontrol tusijue historia ya kuanzia miaka ya 1400 kurudi nyuma😂
 
Tuendelee kujifariji watoto wa kishua wenye utajiri ambao unamilikiwa na watoto wa masikini wenye akili zao.
 
Back
Top Bottom