hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Link ya kutazama Yanga Vs Mamelodi Sundowns hii hapa, unaweza pia kutazama mechi nyingine za ulaya

    Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns. Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na mwenzako! https://www.livesports088.com/
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya kutokuwa na hisia kwa mpenzi wako

    Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya kimalaya. Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani tena. UZI TAYARI.
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Hello Shalom! Naongea na wakomavu ambao wanahitaji chakula kigumu na si uji tena. Uhai wa Mkristo uko katika maombi, mkristo ambaye haombi huyo ni mkavu, aidha amekufa kiroho au anakaribia kufa kiroho. Hivyo ni wajibu wa kila mkristo kuhakikisha mito ya uzima ndani yake haikauki. Na kuifanya...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hii picha Ina tatizo gani

    Imepostiwa na Page ya club ya Al Ahly katika kurasa zao je? Ina shida Gani!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hii mechi ya Yanga inaitaji pombe kidogo

    Honestly niko na mzee wangu hapa anasema yeye hii mechi lazima aka wake kwanza pombe 🍻🍻mbili tatu ndo anangalia. 90 minutes are very long. bila few drinks na support. ujapiga ganzi kwanza. you move. tupige bia,🍻🍻. it's a failed country any way.
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Ndoto ya kila Mwanaume

  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ndio hii, angalia anguko lake! Fomu ya Urais iuzwe Milioni 200!

    1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ? 1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya mfumo wa chama kimoja (1965, 1970, 1975 & 1980) Rais JK Nyerere hakuwahi kujaza fomu ya kugombea Urais...
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii si Sawa: Afisa Usafirishaji Wanavyokaba na Kupora Raia hapa Arusha

    Hawa vijana wamekosa adabu ya akili zao, sidhani kama wanaweza kukosa 5000/- kila siku wakiwa kijiweni kupakia abilia ila ndio vijana wa ovyo tunaoweza kusema samaki moja akioza..!. Vijana hawa wanatumia pikipiki kwa kuwapora watu jijini Arusha na wanazunguka sana maeneo haya St.Costantine...
  9. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vya nyumbani vinauzwa

    Feni la chini mtungi mdgo wa gas empty(orxy)na dish la azam vyote kwa pamoja nahitaji 120,000
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hii ATCL tuwape Waarabu wa Dubai waiendeshe. Hela za ndege tununue Meli za Uvuvi. Mtanishukuru baadaye

    Wakuu, Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56. Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi? Tuache kung'ang'ania mambo tusiyo yaweza. Haya mambo tuwaachie Kenya. Kenya Airways imedai kupata...
  11. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hii Kampuni ichunguzwe

    Kampuni ya usafirishaji Mabasi, New force imehusika kwenye ajari nyingi sana. Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha.
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi imepitia mambo magumu mno

  13. cold water

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wahasibu na wafanyabiashara

    Nitaongelea zaidi uhasibu, kwa sababu ndo fani Ninayoizungumzia zaidi, katika kazi ya uhasibu ina changamoto mbalimbali, kama kulipa loss etc. Mfano siku umefanya mauzo ya sh milioni moja, lakini baada ya kufunga hesabu zako ukapata laki tisa lazima ulipe laki moja ili hesabu ifunge, ndo hivyo...
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu. Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla. Kwa muonekano huo wa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Msaada Wapi naweza pata huduma ya VPS hosting

    Wakuu kwema? Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online Please nitashukuru sana
  16. Daydream

    JamiiForums Tanzania Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

    Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu. Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya...
  17. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Simba 1-0 Al Ahly Yanga 1-2 Masandawana TP Mazembe 0-0 Petro de Luanda Esperance 2-0 Asec Twende kazi tupia wa kwako…
  18. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kwanini mtaji wako unashindwa kukua

    Habari zenu wadau Leo nimekuja hapa nataka niwashirikishe sababu zinazofanya biashara nyingi kushindwa kukua na Nini cha kufanya ili biashara yako ikue Nipo kwenye biashara kwa muda mrefu Kuna mengi nimejifunza kipindi naanza biashara nilikuwa nayumbisha sana mtaji mtaji kushindwa kukua Kuna...
  19. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Jaribu kufikiria kama kungekuwa na tuzo ya mchezaji anayekaa sana benchi (bench d’or) nani angeshinda tuzo hiyo?
  20. vibertz

    JamiiForums Tanzania Msaada hii ni app gani?

    Wakuu naomba kufahamishwa hii app inaitwaje? Ni app kwaajili ya habari za michezo au ni kwaajili ya kununua tiketi pekee?
Back
Top Bottom